Tuesday , March 26 2019

Home / 2018 / October / 07

Daily Archives: October 7, 2018

CHELSEA YAIDUNGUA 3-0 SOUTHAMPTON MECHI YA EPL

4837842-0-image-a-13_1538922678815

Kiungo Ross Barkley (kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake Eden Hazard (kulia) na Olivier Giroud (katikati) baada ya kuifungia bao la pili Chelsea dakika ya 57 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. Mary’s. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Hazard …

Read More »

WATANZANIA WAASWA KUPIMA MACHO MARA KWA MARA

DSC_0775

Washiriki kutoka taasisi mbalimbali za serikali na sekta binafsi wakiwa katika maandamano kuadhimisha wiki ya afya ya macho yaliyofanyika jijini Dodoma mapema leo. Kaimu Mganga Mkuu Wa Serikali Dkt. Eliud Eliakim akipata maelezo kutoka Titus Nyange jinsi mashine ya Perkins inavyochapa nukta nundu zinazosomwa na watu wenye ulemavu wa macho …

Read More »

DKT TIZEBA AZUIA HALMASHAURI KUTOA VIBALI VYA UNUNUZI WA KAHAWA

DSC_0924

Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb) akitangaza zuio la Halmashauri kutoa vibali vya kununua kahawa wakati akihutubia maelfu ya wanachi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uwanja wa Changarawe Wilayani Karagwe kwenye muendelezo wa ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa (Mb) aliyoianza Jana …

Read More »

Wataalamu Muhimbili Wawasili Musoma Kutoa Huduma za Afya

002

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Musoma mkoani Mara, Dkt. Joachim Eyembe akiwakaribisha wataalamu wa afya kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) baada ya kuwasili leo Musoma kwa ajili ya kutoa huduma za afya kwa kushirikiana na wataalamu wenzao wa hospitali hiyo. Wataalamu wa afya wa Muhimbili na wa Hospitali …

Read More »

WAZIRI KANGI LUGOLA AFIWA NA MDOGO WAKE

1

Na Felix Mwagara, Mwanza. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amefiwa na mdogo wake aitwae Josiah Chitage Lugola, aliyekua anaishi jijini Mwanza. Waziri Lugola ambaye ndiye Msemaji wa familia hiyo, alisema mdogo wake Josiah (51) alifariki dunia leo asubuhi Oktoba 7, 2018 na mwili wa marehemu umehifadhiwa …

Read More »

ARSENAL MAMBO NI MOTO,YAICHAPA FULHAM 5-1 UGENINI

4836400-0-image-a-31_1538915971668

Washambuliaji Alexandre Lacazette na Pierre-Emerick Aubameyang wakishangilia baada ya kila mmoja kuifungia Arsenal mabao mawili katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Craven Cottage mjini London. Lacazette alifunga dakika za 29 na 49 na Aubameyang dakika za 79 na 90, wakati bao la …

Read More »

ZIARA YA MAJALIWA WILAYANI KARAGWE

PMO_1515

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Kiwanda cha Kukoboa Kahawa cha Kaderes kilichopo eneo la Nyakatuntu wilayani Karagwe Oktoba 7, 2018.  Kulia ni Mkewe Mary na kushoto ni Mkurugenzi  wa kiwanda, Leonard Kachobonaho. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco  Elisha Gaguti. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakiwapungia …

Read More »

MFUMO WA UTAMBUZI WA MATUKIO YA BINADAMU KUHARAKISHA MAENDELEO

J37B2338_700x600

Na Ismail Ngayonga MAELEZO DAR ES SALAAM SERIKALI inatekeleza Mpango wa Pili wa Maendeleo ya Taifa wa miaka mitano (2016/17- 2020/21) unaolenga katika kuimarisha ustawi na maendeleo ya jamii kwa kuongeza upatikanaji wa huduma bora za jamii ikiwemo elimu, afya na maji. Ili kufanikisha malengo hayo, Serikali imeweka utaratibu wa …

Read More »

OCD KYERWA ATUHUMIWA KUSINDIKIZA KAHAWA YA MAGENDO

PMO_1442

………………………… *Waziri Mkuu aagizwa achukuliwe hatua   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi awachukulie hatua askari polisi wote wa wilaya ya Kyerwa wanaotuhumiwa kusindikiza kahawa ya magendo inayouzwa nchi jirani akiwemo Mkuu wa Polisi wa Wilaya hiyo, Justin Joseph. Ametoa agizo hilo leo (Jumapili, Oktoba …

Read More »

RUDI TTCL KUMENOGA-MWANRI

1

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(katikati) akipata maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania juu ya huduma mbalimbali zinatolewa na Shirika hilo jana wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya RUDI NYUMBANI KUMENOGA mkoani humo. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiwapungia mkono wakazi wa Manispaa ya …

Read More »

NAIBU WAZIRI NYONGO AAGIZA MAAFISA MADINI KUWASILISHA KWAKE TAFSIRI SAHIHI YA MAWE YANAYOKATWA KABLA YA KUTOA MAAMUZI YA USAFIRISHWAJI WAKE NJE YA NCHI

PICHA NA 1

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (kushoto) akiangalia moja ya mawe yanayochongwa na  Mgodi wa Mawe unaomilikiwa na Sisti Mganga katika eneo la Itiso lililopo wilayani Chamwino mkoani Dodoma katika ziara yake ya siku  moja katika machimbo yaliyopo katika Wilaya ya Chamwino yenye lengo la kusikiliza na kutatua kero mbalimbali …

Read More »

MOJA BETI YAUTAMBULISHA MCHEZO WA BOOM PESA JIJINI MBEYA

002

KAMPUNI ya moja Beti inayojishughulisha na mchezo wa kubahatisha imeutambulisha mchezo mpya wa kubahatisha Jijini Mbeya, unaofahamika kwa jina la ‘BOOM PESA’, na kuwataka wakazi wa Mkoa huo kujitokeza na kununua tiketi ili waweze kujishindia fedha taslimu papo hapo. Akizungumza leo Jijini Mbeya wakati wa kuutambulisha mchezo huo wa kubahatisha, …

Read More »

SERIKALI KUHIFADHI UTAMADUNI WA MAKABILA YALIYO HATARINI KUPOTEA

PIX 5(a)

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi.Suzan Mlawi akipongeza uongozi wa Four Corner Cultural Programme (4CCP) kwa  kuendesha  lenye kuenzi Utamaduni,Mila na Desturi za makabila  manne yanayopatikana barani Afrika  ambayo niyakujivunia leo katika sherehe za kufunga tamasha hilo lililofanyika katika Kijiji cha Hydom Wilaya ya Mbulu Vijijini. …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA MAKATIBU WAKUU 11 WILAYANI MBARALI KWA AJILI YA KUTAFUTA SULUHU YA MGOGORO WA MPAKA WA HIFADHI YA TAIFA YA RUAHA NA VIJIJI VYA WILAYA HIYO

N2

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora (asiye na miwani) pamoja na Mabatibu Wakuu wakisikiliza maelezo ya Mtaalam kutoka Ofisi za Bonde la Maji la Mto Ruaha Bw.Idris Msuya walipotembelea katika Mfereji wa Mnazi kuona uharibifu wa uchepushaji maji katika Mto Ruaha mkuu Wilayani Mbarali Mbeya, …

Read More »

TANESCO YATAKIWA KUKAA MEZA MOJA NA MWEKEZAJI KAMPUNI YA NEELKANTH ILI KUANGALIA UWEZEKANO WA KUMPATIA NISHATI YA UMEME -MGALU

IMG-20181007-WA0008_1538894808157_1538894933309

Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu ,akizungumza jambo na baadhi ya viongozi wa shirika la Umeme (TANESCO) Makao Makuu ,Kanda ya Dar es Salaam na Pwani  ,wakati alipotembelea mgodi wa kampuni ya Neelkanth inayochimba madini ya Magnesite ,katika kijiji cha Kwaruhombo, Chalinze wilaya ya Bagamoyo Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu ,akizungumza na …

Read More »

MAJALIWA: VIWANDA VIMEPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA

PMO_1114

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema changamoto ya upatikanaji wa ajira hususani kwa vijana imeanza kupungua nchini baada ya viwanda vingi kuanza kufanya kazi. Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli imedhamiria kukuza uchumi kutoka wa chini hadi wa kati kupitia sekta ya viwanda ifikapo mwaka 2025. Aliyasema hayo …

Read More »

TANZIA: Msiba Ujerumani Wa KONDO MOHAMED MSUMI a.k.a Mguu Mtupu

Marehemu Kondo MOhamed Msumi

Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU e.V) kwa masikitiko makubwa tunawataarifu kifo cha Mtanzania mwenzetu   Kondo mohamed Msumi  ambaye alikuwa akiishi  Bochum,nchini ujerumani. Marehemu Kondo Mohamed Msumi amefariki usiku wa 2.kuamikia 3 Oktoba 2018 akiwa hospitalini akipatiwa matibabu,  kamati ya Umoja  wa Watanzania Ujerumani UTU e.V imewasiliana na ndugu wa marehemu …

Read More »

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA TANICA NA BUKOP MJINI BUKOBA

PMO_1189

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kopo la kahawa wakati alipotembelea kiwanda cha kusindika kahawa cha TANICA kilichopo mjini Bukoba, Oktoba 6, 2018 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama paketi ya kahawa  wakati alipotembelea kiwanda cha kusindika kahawa cha TANICA mjini Bukoba, Oktoba 6, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo kusindika kahawa wakati …

Read More »