Monday , February 18 2019

Home / 2018 / October / 08

Daily Archives: October 8, 2018

NYONI,KOTEI NA DANTE WAPELEKWA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF

nyoni-1024x683

  Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 5, 2018 ilipitia taarifa na matukio katika mechi za Ligi Kuu ya Tanzania (TPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL) zinazoendelea hivi sasa.  Pia Kamati ilipitia malalamiko mbalimbali yaliyowasilishwa mbele …

Read More »

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPANDA KWA ASILIMIA 3.4

D1

Na.Alex Sonna,Dodoma Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Seotemba 2018 ambao umeongezeka hadi asilimia 3.4 kutoka asilimia 3.3 kwa mwaka ulioishia Mwezi Agosti,2018. Akizungumza na Waandishi wa habari Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw.Ephraim Kwesigabo,amesema kuwa …

Read More »

KAMANDA SENGA AWATAJA WALIOFARIKIA KWENYE AJALI BABATI

PICHA AJALI

Na John Walter-Babati. Watu wanne wamefariki dunia na 11 kujeruhiwa baada ya kupata ajali mbaya ya gari la abiria  walilokuwa wakisafiria kutoka Arusha kuelekea Mbeya mara baada ya dereva kushindwa kulimudu wakati akikata kona kwenye eneo la Mlima Haraa wenye kona kali kata ya Bonga mjini  Babati. Kamanda wa polisi …

Read More »

UBA Foundation and Gavi Launch a New Partnership for Africa

GAVI (1)

The UBA Foundation and Gavi will leverage the United Bank for Africa’s network and expertise to invest in Africa’s health system, starting with Nigeria.   Dr Seth Berkley, CEO of Gavi, the Vaccine Alliance and Mr. Kennedy Uzoka, UBA Group CEO and Chairman of the UBA Foundation as they announce …

Read More »

FAHAMU UNDANI WA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI

IMG_0737

Washiriki wakifuatilia semina kwa umakini.   Katika kuendelea kusimamia haki na usawa kwa watoto wakike na makundi yaliyopo pembezoni, TGNP Mtandao kupitia semina zake za Jinsia na Maendeleo(GDSS) wanakukaribisha mkazi wa jiji la Dar es salaam na maeneo ya karibu katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani pamoja …

Read More »

TAKUKURU JIRIDHISHENI NA HUDUMA ZINAZOTOLEWA KWA WANANCHI-MAJALIWA

PMO_1320

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa TAKUKURU wajiridhishe huduma zinatolewa kwa wananchi bila ya rushwa, watakapobaini rushwa wachukue hatua. Pia, Waziri Mkuu amewataka watumishi wa umma wajiepushe na vitendo vya rushwa pamoja na matumizi mabaya ya fedha za Serikali katika utendajikazi wao. Ameyasema hayo leo (Jumatatu, Oktoba 8, 2018) wakati akizungumza …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

RPC 1

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewaua majambazi wawili katika mapambano ya majibizano ya kurushiana riasi na majambazi hao huko katika Lodge ya Vatican iliyopo Mtaa wa Calfonia –Nyegezi kata ya Nyagezi Wilaya ya Nyamagana Jiji na Mkoa wa Mwanza. Tukio hilo limetokea tarehe 07/10/2018 majira ya saa 23:40hrs, hii …

Read More »

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUITEMBELEA HOSPITALI YA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA

2

Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed kulia akifanya ziara ya kutembelea Hospitali ya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja kuangalia Miradi na mafanikio mbalimbali yanayo patikana katika hospitali hiyo. Daktari wa Hospitali ya Makunduchi Vuai Abdalla (MD) akimuelezea Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed maendeleo na changamoto zinazowakabili katika Hospitali …

Read More »

MIRADI YA MAJI KYERWA ITAKAGULIWA NA WAZIRI WA MAJI-MAJALIWA

PMO_1320

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nkwenda wilayani Kyerwa baada ya kukagua kiwanda cha kukoboa kahawa cha Nkenda, Oktoba 7, 2018. Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwasalimia wananchi katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu ,Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Kayanga Changarawe, Karagwe, …

Read More »

MHAGAMA APONGEZA MIRADI KAMBI YA JKT MLALE

????????????????????????????????????

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na Kikosi 842 cha Jeshi Kujenga Taifa (JKT) Mlale, alipofanya ziara ya kikazi kuona shughuli za uzalishaji mali zinazofanywa na kikosi hiko. Mkuu wa Kikosi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mlale, …

Read More »

Matukio Mbalimbali Ya Benki Ya Biashara Ya DCB katika Picha

05

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Diamond Platinumz (kulia) akipozi kwa picha na Mkuu wa Mikopo wa Benki ya Biashara ya DCB, Isidori Msaki katika hafla ambayo msanii huyo alikuwa akiadhimisha matukio ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake ambapo aliweza klutoa misaada kwa vikundi mbalimbali huku DCB ikimuunga mkono …

Read More »

Dkt Kalemani Aendelea Kuwasha Umeme Vijijini

tano

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (wa Pili kushoto) akizindua huduma ya umeme katika Kijiji cha Madebe wilayani Handeni mkoani Tanga. Wa Pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe. Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (kushoto) akimkabidhi kifaa cha UMETA, Mbunge wa Bumbuli, January Makamba ambaye pia …

Read More »