Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / October / 09

Daily Archives: October 9, 2018

Raia Wakigeni Wakamatwa JNIA Kwa Kutorosha Mamilion

FSAM1149

Kamishna Msaidizi na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Barnabas Mwakalukwa akinyanyua juu moja ya bunda la Dola za Kimarekani zilizokamatwa leo kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), zikisafirisha isivyo halali na raia wa Sudan Kusini Bi. Nada Zaelnoon Ahamed na Bw. Mohamed Belal, raia wa Syria. …

Read More »

MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE YANALETA ULEMAVU

index

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila akifungua semina ya uraghibishaji na uhamasishaji wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kwa viongozi wa mkoa na Wilaya kwenye ukumbi wa halmashauri wa Benjamin Mkapa Jijini Mbeya.Kulia ni Ofisa mpango toka Wizara ya Afya Osca Kaitaba na mwisho ni Mkuu wa Wilaya ya Kyela …

Read More »

MBARAWA ASUBIRI MAJI KWA SAA MBILI NA NUSU

WhatsApp Image 2018-07-20 at 15.58.36

Na Ahmed Mahmoud ,ARUSHA WAZIRI wa  Maji na Umwagiliaji Prof.Makame Mbarawa amelazimika kupiga kambi katika kijiji cha Levolosi Kata ya Kimnyaki Wilayani Arumeru kwa masaa mawili na nusu akisubiri kisima kinachochimbwa kitoe maji kabla ya kwenda kusaini mkataba. Aidha amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kumrudisha Wizarani mara moja Mhandisi …

Read More »

TBL YATUNUKIWA TUZO YA KIMATAIFA YA MWAJIRI BORA NCHINI TENA!

TOP PHOTO

Meneja wa ukuzaji vipaji vya TBL,Lilian Makau akifurahia ushindi Meneja wa Ukuzaji Vipaji wa TBL,Lilian Makau akifurahia tuzo hiyo wakati wa hafla iliyofanyika nchini Afrika ya Kusini Nembo maalum ya tuzo hiyo Kikombe cha Tuzo ya Mwajiri bora kilichotolewa na taasisi ya Top Employers Institute kwa kampuni ya  TBL ……………………… Taasisi ya …

Read More »

TANGA UWASA YANUFAIKA NA RUZUKU YA ZAIDI YA BILIONI 1.2

IMG_9256

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Geofrey Hilly kulia akielezea mipango ya mamlaka hiyo wakati wa ziara ya ugeni kutoka KFW ya nchini Ujerumani kutembelea mradi wa maboresho ya huduma ya maji safi Jijini Tanga Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi …

Read More »

MKURUGENZI MKUU NIDA ANZA KWA KUKAGUA SHUGHULI ZA USAJILI KWENYE OFISI ZA WILAYA; NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

IMG_0148

    Mkurugenzi Mkuu wa NIDA Dkt. Anold Mathias Kihaule akiweka saini katika kitabu cha wageni ofisi ya Usajili wilaya ya Kinondoni wakati alipofanya ziara kukagua namna shughuli za Usajili zinavyofanyika kituoni hapo. Pichani ni mmoja wa wakazi wa Kinondoni akimuelezea Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulish vya Taifa(NIDA), Dkt. …

Read More »

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BAJETI YA SHIRIKA LA MAGEREZA KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019 MKOANI MOROGORO

Pix 4

Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike akisalimiana na Kamishna wa Utawala Gaston Sanga pamoja na viongozi waandamizi wa Jeshi la Magereza alipowasili katika  Ukumbi wa Mikutano wa Mwamvita  Mkoani Mororgoro tarehe 9 Oktoba 2018. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Jacob Gideon Kingu akisalimiana …

Read More »

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAHAWA CHA AMIMZA MJINI BUKOBA

PMO_2448

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu usindikaji wa kahawa yenye viwango vya juu  kutoka kwa Mkurugenzi  wa Kiwanda cha kahawa cha AMIMZA kilichopo Bukoba, Bw. Amiri Hamza (wapili kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho, Oktoba 9, 2018. Watatu kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage na wapili kulia ni …

Read More »

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI, LATOA ZAWADI, VYETI KWA WASHINDI WA UANDISHI WA BARUA

IMG_3037

Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Hassan Mwang’ombe akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, jijini Dar es Salaam leo, ambapo washindi wa shindano la kimataifa la uandishi wa barua walizawadiwa zawadi mbalimbali pamoja na vyeti. Kushoto ni Meneja Rasilimali za Shirika Macrice Mbodo.  Postamasta Mkuu wa …

Read More »

PROF.MBARAWA SERIKALI YAJIPANGA KUMALIZA SHIDA YA MAJI 2020

index

Na Ahmed Mahmoud Arusha Serikali imejipanga kuhakikisha miradi ya maji hapa nchini inatekelezwa kwa kasi kubwa kwa majiji unafikia asilimia 95 ambapo miji ya wilaya asilimia 90  na vijijini kwa asilimia 85  ifikapo mwaka 2020  ambapo kwa jiji la Arusha inatekeleza mradi mkubwa wa maji utakaozalisha lita million 200 kwa …

Read More »

WAZIRI MKUU AWAONYA WALIMU KUTOJIHUSISHA NA WIZI WA MITIHANI

PMO_2418

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Nyakato wilayani Bukoba baada ya kupokea madarasa ya Shule hiyo yaliyojengwa kwa msaada wa serikali ya Japan. Madarasa hayo yalikabidhiwa kwa Waziri Mkuu na Mwakilishi wa Balozi wa Japan chini, Bw. Katsutoshi  Takeda, Oktoba 9, 2018. Madarasa ambayo Waziri …

Read More »

BABAWATOTO CENTRE WATIA FORA TAMASHA LA URITHI WETU, DAR

????????????????????????????????????

Mgeni rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Balozi Ali Abeid Karume  akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa kikundi cha Baba Watoto Bwana. Mgunga Mwamnyenyelwa mara baada ya kikundi hicho kumaliza onesho lake jukwaani kwenye tamasha la Urithi Wetu, mwishoni mwa wiki Jijini Dar es Salaam kundi hilo la …

Read More »

TIMU ZA LIGI KUU ENGLAND ZAANZA KUMSAKA MBWANA SAMATTA

43433437_328824004561357_5369003492763500544_n

Nyota ya Mtanzania, Mbwana Ally Samatta anayekipiga katika klabu ya KRC Genk huko Ubelgiji imezidi kung’aa baada ya kuanza kuwaniwa na vilabu vikubwa barani Ulaya. Taarifa ambazo zipo mitandaoni hivi sasa kutoka vyanzo kadhaa huko England zinaeleza kuwa nyota huyo anawaniwa na klabu tatu zinashoriki ligi kuu England. West Ham, …

Read More »

WATU 27 WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA YA UKAHABA WATIWA MBARONI JIJINI DODOMA

E79A5174

Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto akionesha baadhi ya Silaha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) baaada ya kuwatia Mbaroni Watuhumiwa Mbalimbali katika Operesheni  heka heka Vijiwe iliyofanyika katika jiji hili …………………………….. Na.Alex Sonna,Dodoma Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma linawashikilia watuhumiwa 29 wakiwemo makahaba 22 waliokuwa wakifanya …

Read More »

WAFANYAKAZI WA ZANTEL WAFANYA USAFI SOKO KUU LA TANGA

1f

Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakifanya usafi soko la Mgandini jijini Tanga, kama sehemu ya huduma zao kwa jamii. Wafanyakazi wa Zantel walikuwa jijini Tanga kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni yake mpya maalum kwa mikoa ya Pwani, ijulikanayo kama BAO. Baada ya Usafi, Zantel ilikabidhi vifaa vya …

Read More »