Saturday , March 23 2019

Home / MCHANGANYIKO / RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA BI. BELLA BIRD NA UJUMBE WAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA BI. BELLA BIRD NA UJUMBE WAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

W (1)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini B. Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2018

W (2)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo  na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini B. Bella Bird na ujumbe wake walipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2018

W (3)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini B. Bella Bird na ujumbe wake walipokutana na kuzungumza Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2018
Picha na IKULU
index

About Alex

Check Also

_MG_1453

ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MIKOA YA KANDA YA KASKAZINI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WALEDI

 Mwenyekiti wa kikao kazi ,Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Arusha Mrakibu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

nineteen − fifteen =