Friday , March 22 2019

Home / 2018 / October / 10

Daily Archives: October 10, 2018

MNEC THERESIA MTEWELE ALICHANGIA MILION MOJA KWA UWT NJOMBE

IMG-20181007-WA0390

 Mbunge viti maalum Neema Mgaya akikabidhiwa hati   ya pongezi na Mgeni rasmi MNEC Bi. Theresia Mtewele kwa kutoa mchango mkubwa wa kuijenga jumuiya hiyo Mwenyekiti wa UWT (W) Njombe  Bi. Angel Mwangeni akikabidhiwa hati ya pongezi na Mgeni rasmi MNEC  Bi. Theresia Mtewele Mbunge viti maalum Dkt. Suzan Kolimba akikabidhiwa hati …

Read More »

WATUMISHI WANNE WA HALMASHAURI NA MWENYEKITI WA BODI YA SHULE WAWEKWA NDANI KUFUATIA UTEKELEZAJI MBOVU WA MIRADI YA ELIMU

2

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akikagua ujenzi wa bweni katika Shule ya Sekondari Tumatu wilayani Mbulu Mkoani Manyara Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akitoa maelekezo kwa Viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Mbulu kuhusu ujenzi wa bweni la Wasichana uliofanyika …

Read More »

TEKNOLOJIA YA KITALU NYUMBA KUWAKOMBOA VIJANA

Pic 1

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na viongozi na watendaji (hawapo pichani) alipowasili Halmashauri ya Mufindi, Mkoani Iringa kwa ajili ya ziara ya kuhamasisha vijana na kukagua maeneo yalitengwa kwa ajili ya ujenzi wa kitalu nyumba. …

Read More »

MTENDAJI MKUU MABASI MWENDO KASI APEWA ONYO

IMG_6334

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo,akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa Taarifa ya kumuonya Mtendaji Mkuu wa wakala wa usafiri wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es saalam Dart Mhandisi Ronald Lwakatare ……………………….. Na.Alex Sonna,Dodoma Waziri wa nchi …

Read More »

WAZIRI MKUU ABAINI UBADHILIFU HALMASHAURI YA MPWAPWA

PMO_3169

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kibakwe wilayani Mpwampwa, akiwa kwenye ziara mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018 ………………. WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema atatuma timu maalum kuchunguza wizi unaofanyika kupitia ukusanyaji wa mapato katika halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa na kwamba hakuna atakayethubutu kuharibu ushahidi kwa kuwa nyaraka zote …

Read More »

IKUPA:TEKNOLOJIA YA KITALU NYUMBA KUWASAIDIA VIJANA

4

Mkurugenzi aliyesimama akitoa Taarifa kwa Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na watu  wenyeulemavu,Stella Ikupa, alipowasili Ofisini hapo kwa ziara ya kikazi ya kuhamasisha vijana na kukagua maeneo yalitengwa kwa ajili ya ujenzi wa kitalu nyumba Mkoa wa Kilimanjaro. Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na watu  …

Read More »

WAZIRI MKUU ATOA SIKU 10 KWA MKURUGENZI WA MPWAPWA

PMO_3158

*Awe ameshatoa fedha za mikopo kwa vijana, wanawake na walemavu   WAZIRI MKUU Kassim ametoa siku 10 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa, Bw. Peter Swea awe ametoa fedha za mikopo kwa ajili ya vijana, wanawake na walemavu.   “Leo ni tarahe 10 nataka hadi ikifika tarehe 20 ya mwezi …

Read More »

TaSUBa Imezalisha Wataalam Na Wasanii Wengi Duniani-Dkt.Makoye

IMG-20160628-WA0008(1)

MTENDAJI mkuu wa Taasisi ya sanaa na utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)Dkt.Herbert Makoye amesema kuwa TaSUBa toka kuanzishwa kwake imeshatoa wataalamu mbalimbali wa sanaa wakiwemo maafisa utamaduni katika halmashauri za wilaya ,manispaa ,majiji pamoja na sekretariet za mikoa , watendaji wakuu wa Taasisi za serikali kama Bodi ya Filamu na Baraza la …

Read More »

Mkurugenzi Mtendaji Mpya Benki Ya CRDB Abainisha vVipaombele Vyake

833A7935

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza na waandishi wa habari, kuelezea mipango na mikakati ya Benki hiyo katika mkutano uliofanyika kwenye hoteli ya Serena, Jijini Dar es salaam, Oktoba 10, 2018.   Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Benki ya CRDB Ndugu Abdulmajid Mussa Nsekela amewahakikishia Wateja, Wanahisa  na …

Read More »

IMANI ZA KISHIRIKINA BADO TATIZO KWA JAMII KUSHINDWA KUWAPELEKA WAGONJWA WA AFYA YA AKILI HOSPITALI

IMG_6301

Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhammad Kambi,akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) Wakati akitoa taarifa ya kuadhimishwa kwa Siku ya Afya ya Akili Duniani ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 10 ya mwezi wa Oktoba …………………… Na.Alex Sonna,Dodoma Imani za kishirikina kwa jamii zimetajwa kuwa ni moja ya changamoto …

Read More »

SERIKALI YATAKA WATANZANIA KUENZI UTAMADUNI

PIX 1

Katibu  Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi.Susan Mlawi  akiwata watanzania kuenzi vya kula vya asili,mila nzuri,desturi na lugha za asili kwa lengo la kutangaza utalii wa kiutamaduni wa taifa katika ufunguzi wa Tamasha la Urithi Festival leo jijini Arusha katika uwanja wa Shekhe Amri Abed. Katibu  Mkuu …

Read More »

WATU 50 WAFARIKI KWA AJALI YA BASI NCHINI KENYA

ajali-2

WATU 50 wamefariki dunia leo, Oktoba 10, 2018, na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya ajali ya basi la abiria lililokuwa likitokea Nairobi kuelekea Kisumu kuacha njia na kupinduka katika eneo la Fort Tenan, barabara ya Londiani-Muhoroni, Kaunti ya Kericho, Kenya. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Kericho, James Mogera,  …

Read More »

MAJINA YA WACHEZAJI WA TAIFA STARS WALIOELEKEA CAPE VERDE

Stars leo

Kikosi cha Taifa Stars kimeondoka alfajiri ya leo kuelekea Cape Verde kwa ajili ya kibarua cha kuwania tiketi ya kufuzu kucheza AFCON. Katika orodha ya msafara wa wachezaji hao, walioondoka ni hawa wafuatao:- Aishi Manula (Simba) Shomari Kapombe (Simba) John Bocco (Simba) David Mwantika (Azam) Salum Kimenya (Prisons) Abdallah Kheri …

Read More »

Letshego Bank Express Commitment In Improving Services Aiming At Reaching SMEs

0D6A8062

Dar-es-Salaam, Tanzania – Wednesday, 10 October 2018:Letshego Bank Tanzania has expressed its commitment to serve Tanzanians especially, financially underserved micro and small entrepreneurs with simple and accessible financial solutions. The Bank’s newly appointed Chief Executive Officer Mr Thabit Ndilahomba said in Dar es Salaam yesterday that extending Letshego’s reach and …

Read More »

WAZIRI ASITISHA ZIARA AKISUBIRI KISIMA KITOE MAJI

IMG-20181010-WA0041

Mhe Mbarawa akiongozwa na wataalamu wa kampuni ya Sinohydro Corporation Ltd kuangalia mwamba unaotoa maji ardhini kwa kutumia camera maalumu. Picha na Vero Ignatus.  Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof Mbarawa akikagua urefu wa kisima katika kijiji cha Levolosi kata ya Kimnyaki akiwa ameambatana na wahandisi toka wizara ya maji …

Read More »

MTANDAO WA ELIMU WA TESEApp WAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

MBU_0791

  Muanzilishi wa TESEApp Abdul Mombokaleo, akionyesha Tablet ambayo mwanafunzi anaweza kutumia katika kusoma katika mtandao wa TESEA  ikiwa tayari imewekwa mtandao maalumu wa masomo ya sekondari (Kidato 1 – 4) na (kidato 5 – 6) akiwa na  Mwenyekiti wa Taifa wa wamiliki wa shule na vyuo binafsi nchini (TAMONGSCO) …

Read More »