Friday , March 22 2019

Home / 2018 / October / 11

Daily Archives: October 11, 2018

WAJASIRIAMALI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MIKOPO

IMG_0148

  Meneja Mahusiano wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini Christabel Hiza  kulia akitoa elimu kwa mkazi wa Jiji la Tanga Maulidi Omari wakati alipotembelea banda lao WAJASIRIAMALI nchini wametakiwa kuchangamkia fursa za mikopo zinazotolewa na Benki na NMB ili waweze kuimarisha biashara zao na hivyo kukuza kipato chao na …

Read More »

UZINDUZI WA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI-CHAMANANGWE KASKAZINI PEMBA

DSC_0651

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba (kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Rashid Ali Juma Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed …

Read More »

SERIKALI YAWASHUKIA WALIOSHINDWA KUENDELEZA VIWANDA

20181010_115340

  MTWARA Na,Omary Hussein. Naibu waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Stella Manyanya amewataka wawekezaji walioshindwa kuendeleza maeneo yao kwa muda mrefu, hususani wamiliki wa viwanda vilivyo binafsishwa, kutumia busara kwa kueleza ukweli ili serikali ichukue hatua ya kuviwezesha viwanda hivyo kufanya kazi. Naibu waziri ameyasema hayo Mkoani Mtwara akiwa katika …

Read More »

WAZIRI MKUU ATOA SIKU 10 KWA MKURUGENZI WA MPWAPWA

PMO_3605-310x165

*Awe ameshatoa fedha za mikopo kwa vijana, wanawake na walemavu WAZIRI MKUU Kassim ametoa siku 10 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa, Bw. Peter Swea awe ametoa fedha za mikopo kwa ajili ya vijana, wanawake na walemavu. “Leo ni tarahe 10 nataka hadi ikifika tarehe 20 ya mwezi huu uwe …

Read More »

MUBASHARA MECHI YA TAIFA STARS VS CAPE VERDE KUPITIA DStv

DStv Afcon Qualification Soccer League Cape Verde vs Tanzania ads Inst

  Si vibaya ukisema hii ni habari njema kwa kuwa  Watanzania wataishuhudia timu ya taifa, Taifa Stars Mubasharaa ikiivaa Cape Verde ugenini, kesho. Mechi hiyo ya kuwania kufuzu Afcon, itaonyeshwa moja kwa moja na chaneli ya SuperSport10 kupitia king’amuzi cha Dstv. Katika taarifa iliyotolewa na Multichoice Tanzania, mechi hiyo itarushwa …

Read More »

VIONGOZI WA NSSF UGANDA WAFANYA ZIARA YA KIKAZI TBL

ROBERTO 7

  Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group, Roberto Jarrin, akieleza uendeshaji wa kampuni hiyo kwa ujumbe wa Maofisa Waandamizi wa Shirika la Hifadhi ya Jamii la Uganda (NSSF) walipotembelea ofisi za TBL Makao makuu Ilala Jijini Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi jana, (kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa NSSF Uganda, …

Read More »

IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI TAKUKURU

4

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Diwani Athuman wakizungumza na Maofisa Wakuu wa Polisi waliopo Makao Makuu ya Polisi wakati wa kikao cha kuweka mikakati ya kuzuia na kupambana na rushwa. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon …

Read More »

WAFUGAJI SIMIYU KUBORESHA UFUGAJI KUPITIA UHIMILISHAJI

PICHA A

Mkuu wa Wilayaya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga akifungua kikao cha wadau wa mifugo mkoani Simiyu, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Anthony Mtaka  kilichofanyika Mjini Bariadi Oktoba 10, 2018 kwa lengo la kujadili Utekelezaji wa Mpango mkakati wa kuboresha ng’ombe wa asili   kwa njia ya uhimilishaji. Mratibu wa …

Read More »

WAFANYABIASHARA MKOANI SONGWE WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUPATIWA HUDUMA YA NAMBA YA UTAMBULISHO YA MLIPAKODI INAYOAMBATANA NA ELIMU YA KODI

PICHA 2.

Afisa Mkuu Mwandamizi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bi. Rose Mahendeka (kushoto) akiwaeleimisha baadhi ya Wafanyabiashara wa Tunduma wakati wa Kampeni ya Usajili na Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea Mkoani Songwe. Baadhi ya Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) (kushoto) wakiwasajili na kuwapatia …

Read More »

SHULE YA LAKE BABATI YAFANYA MAHAFALI YA 11 TANGU KUANZISHWA

malinga

………………………. Na John Walter-Babati Wazazi na walezi wametakiwa kuwasaidia watoto wao  pindi wanakaporudi nyumbani kusubiri matokeo ya kidato cha nne na sio kuwaozesha ili waweze kufikia ndoto zao. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi mtendaji  wa wilaya ya Babati Hamisi Malinga alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari Lake Babati …

Read More »

ATAKAYEDOKOA MALI YA UMMA HATOVUMILIWA-MAJALIWA

PMO_3605

*Awasisitiza watumishi wa umma wawe waadilifu na waaminifu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema vitendo vya udokozi wa mali ya umma havitavumiliwa na Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli, hivyo amewataka watumishi wawe waadilifu na waaminifu wanapotekeleza majukumu yao. Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Oktoba 11, 2018) …

Read More »

MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA USIMAMIZI WA SDGs KATIKA BUNGE

MATIBU KAMATI 2

  Mwenyekiti wa Kikao cha cha kuandaa Taarifa kuhusu Usimamizi wa Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) katika Bunge Ndg. Athuman Hussen akiongoza kikao hicho  kilichowahusisha Makatibu Kamati kutoka Ofisi ya Bunge kilichofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.  Makatibu Kamati wa Ofisi ya Bunge wakiwa katika kikao …

Read More »

POLISI TANZANIA FC YAPOKEA VIFAA KWA AJILI YA FDL

1

Mwenyekiti wa Timu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi daraja la kwanza Tanzania bara, Naibu Kamishna wa Polisi DCP Charles Mkumbo (Kulia) akipokea vifaa kutoka kwa Meneja masoko wa kampuni ya Shellys Bw.Humphrey Sekwao kwa ajili ya kuisaidia timu hiyo ili iweze kufanya vizuri na kupanda kucheza ligi kuu Picha na …

Read More »