Saturday , October 20 2018

Home / MCHANGANYIKO / IGP APOKEA KAMERA MAALUM KUSAIDIA MAPAMBANO YA UHALIFU

IGP APOKEA KAMERA MAALUM KUSAIDIA MAPAMBANO YA UHALIFU

1 2

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akipokea kamera maalum (Drons) kutoka kwa Mwakilishi wa kampuni ya Kifaru Ifigenia Anselmi walipokutana Makao Makuu ya Polisi ambapo kampuni hiyo imetoa kamera tatu kwa ajili ya kusaidia mapambano ya uhalifu hapa nchini

Picha na Jeshi la Polisi

About Alex

Check Also

S1

LIVE : MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA IGP SIMON SIRRO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

six + three =