Thursday , November 15 2018

Home / MCHANGANYIKO / WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA WILAYANI KONGWA

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA WILAYANI KONGWA

PMO_3471
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Kongwa ambaye ni Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, wakati akiwasili Wilayani Kongwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_3509
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimuangalia mtoto Magreth Laurent wa Shule ya Saint Francis Kongwa , akizungumza kuwakilisha watoto katika siku ya mtoto duniani, kabla ya kuzungumza na watumishi wa Halmashari ya Kongwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018. 
PMO_3569
Mbunge wa Kongwa ambaye ni Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Kongwa kwenye ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Wilayani Kongwa Dodoma, Oktoba 11, 2018.
PMO_3591
PMO_3605
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Kongwa, kwenye ukumbi wa Halmashauri Wilayani hapo, kwenye ziara ya kikazi mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018. 
PMO_3612

PMO_3523

Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akizungumza nao akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About Alex

Check Also

PIX 5

ZIARA YA CGP KASIKE GEREZA LA WILAYA MAKETE, MKOANI JOMBE

Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini (CGP) Phaustine Kasike akiwasili Gereza Makete tayari kwa ziara …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ten + 15 =