Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / October / 13

Daily Archives: October 13, 2018

WAZAZI WATAKIWA KUWAPATIA ELIMU WATOTO BILA UBAGUZI

3

Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Kishapu, Joseph Swalala akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yaliyofanyika katika kijiji cha Bunambiyu wilayani humo. Sehemu ya wanafunzi wakiwa katika maandamano ya kupinga vita vitendo vya ukatili kwa watoto wa kike wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa …

Read More »

Mhini, Sonia Waonyesha Cheche Zao Katika Olimpiki ya Vijana, Argentina

Pic 1

Dennis Mhini ‘akichapa maji’ katika mchezo wa kuogelea. Sonia akionyesha ufundi wake katika kuogelea Dennis akionyesha umahiri wake katika staili ya backstroke Mwenyekiti wa Chama Cha Kuogelea (TSA) Imani Dominick akisisitiza jambo …………………… Na Mwandishi wetu Dar es Salaam. Muogeleaji anayekuja kwa kasi katika mchezo huo hapa nchini, Dennis Mhini …

Read More »

OKWI AFUNGA MAWILI UGANDA YAICHAPA LESOTHO 3-0 KUFUZU AFCON

DpZerOnW4AAT5nf

TIMU ya taifa ya Uganda, The Cranes imejiimarisha kileleni mwa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Lesotho jioni ya leo Uwanja wa Mandela, Namboole mjini Kampala, Uganda. Kwa ushindi huo, Uganda inafikisha pointi saba baada ya kucheza mechi …

Read More »

YANGA YAICHAPA 2-0 MALINDI FC MECHI YA KUMUAGA CANNAVARO

NGASSA

Na Mwandishi Wetu, ZANZIBAR YANGA SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya mabingwa wa Zanzibar, Malindi FC katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar jioni ya leo. Nyota wa mchezo wa leo alikuwa mkongwe, kiungo mshambuliaji Mrisho Khalfan Ngassa aliyefunga bao moja na kuseti moja katika …

Read More »

JK AKUTANA NA MCHEZAJI SAMUEL ETOO JIJINI DAR LEO

GY1A8524

 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.   Rais …

Read More »

WAZIRI MHAGAMA AFUNGUA BONANZA LA MICHEZO MKOANI TANGA

????????????????????????????????????

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na vijana wakati wa ufunguzi rasmi wa bonanza la michezo kwa vijana ikiwa ni wiki ya vijana inayoendelea mkoani Tanga. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, …

Read More »

TAIFA STARS YAWASILI KINYONGE DAR

Stars Uwanja

  Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imewasili jioni ya leo ikitokea Cape Verde kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kucheza Fainali za Africa 2019.  Katika mchezo huo, Stars ilikubali kuchapwa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji nchini kwao. Kikosi hicho kimekwenda moja kwa moja kambini kujiandaa na mchezo wa …

Read More »

CCM Yahamasisha Ajira Viwandani…Viwanda Vyakubali kuajiri Wazawa

IMG_20181012_173540

Mwenyekiti wa CCM kata ya Themi Hill Thomas Munisi akiwa na wajumbe wake walipotembelea viwanda mbalimbali katika kata hiyo jana picha zote na ahmed mahmoud arusha   …………………… Na Ahmed Mahmoud Arusha Chama cha Mapinduz CCM kimeanza kutekeleza kwa vitendo suala la ujenzi wa viwanda  kwa kuanza kuvitembelea viwanda vya …

Read More »

MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI MBARALI YAWANUFAISHA WAKULIMA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI

Picha No.5

Katika Picha Mhandisi Elibariki Mwendo kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji akizungumza kuhusu maboresho yaliyofanywa katika banio (halipo pichani) lililopo katika chanzo cha maji cha mto Mbarali kinachopeleka maji katika skimu ya umwagiliaji ya Igomelo, nyuma pichani ni mto Mbarali. Vijana wanaofanya kazi katika shamba la vitunguu kwenye skimu ya …

Read More »

CCM YAIPONGEZA SERIKALI YAPONGEZWA KWA KUTELEZA VIZURI ILANI

3

Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tabora Janath  Kayanda akitoa maelezo ya awali kabla ya ufunguzi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa huo jana cha kupitia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tabora Hassan Wakasuvi akifungua Kikao maalumu cha Halmashauri Kuu ya …

Read More »

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA TAIFA YA VIJANA MKOANI TANGA

NSSF2

AFisa  madai wa shirika la Taifa ya  Hifadhi ya Jamii NSSF Athuman  Bakari akitoa amelekezo kwa wananchi wa mkoa wa TANGA waliotembelea kwenye maonyesho ya wiki ya kitaifa ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Tangamano Tanga Afisa Uhusiano wa  Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF Bi Aisha Sango akitoa maelezo kwa  wananchi waliotembelea katika badna la NSSF kwenye maonyesho ya wiki ya Kitaifa …

Read More »

UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA LIWALE NA KATA 37 ZA TANZANIA BARA WAFANYIKA LEO

TUME

  Wananchi wa jimbo la Liwale wamepongezwa kwa kujitokeza kwa wingi na mapema kwenda kupiga kura kuwachagua viongozi wanaowataka,     Hayo yameelezwa na Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Balozi Ramadhani Mapuli akiwa anafuatili uchaguzi mdogo katika Jimbo la Liwale.  Balozi Mapuli amesema kwamba, ameridhishwa na utaratibu wa upigaji …

Read More »

NGUMI KUPIGWA OCTOBAR 20 CCM MWIJUMA MWANANYAMALA

super d promotion

Na Mwandishi Wetu MABONDIA mbalimbali kutwangana Octoba 20 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala wakiongwazwa na mpambano wa Issa Nampepeche atakaezipiga na Hashimu Chisora mpambano wa ubingwa raundi kumi  akizungumzia mpambano uho mratibu Ibrahimu Kamwe ‘BigRaght’ amesema kuwa siku hiyo ni kwa ajili ya burudani ya mchezo wa masumbwi kwani …

Read More »

Benki ya Biashara ya Mkombozi Yazindua Tawi la Tegeta

MD

 Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mhashamu Eusebius Nzigilwa akijaza fomu ya kuweka fedha wakati wa uzinduzi wa Tawi la Tegeta Jijini Dar es Salaam.  Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mhashamu Eusebius Nzigilwa akikata utepe kuzindua Tawi la Tegeta Jijini Dar es Salaam …

Read More »

SIKU YA KIMATAIFA YA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA DUNIANI

index

Tarehe 13 Oktoba ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Athari za Maafa Duniani. Katika kuadhimisha siku hii, Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayosimamia Mkakati wa Kimataifa wa Upunguzaji Athari za Maafa hutoa kaulimbiu ya mwaka husika.  Kaulimbiu ya mwaka huu inasema: “UPUNGUZAJI WA HASARA ZA KIUCHUMI ZINAZOSABABISHWA …

Read More »

WAZIRI MWAKYEMBE AWAPIGIA DEBE WASANII NA WABUNIFU AFRIKA MASHARIKI

????????????????????????????????????

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamduni na Michezo Mhe. Dkt Harson Mwakyembe akipata maelezo kutoka kwa msanii wa sanaa za kuchora wa Nchini Uganda, Msanii Tibirusya Rolands ambaye alichora mchoro maalum unaoonesha taswira ya Sanaa kwa nchi za Afrika Mashariki. Waziri wa Habari, Sanaa, Utamduni na Michezo Mhe. Dkt Harson Mwakyembe …

Read More »

MASAUNI AWASILI JIJINI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI

PIX 2

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiweka saini katika daftari la wageni baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), tayari kwa ziara ya kikazi jijini Arusha.Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Kilimanjaro,Mrakibu Msaidizi Zauda Mohamed na …

Read More »