Friday , March 22 2019

Home / 2018 / October / 14

Daily Archives: October 14, 2018

Wadau wataka Kiswahili kitumike kama Lugha ya Kufundishia

Mwakyembe+pic

Na Shamimu Nyaki – WHUSM Wadau mbalimbali wameishauri Serikali kufikiria namna ya kutumia lugha ya Kiswahili kama lugha ya kufundishia shuleni ili kukuza na kuendeleza lugha hiyo ambayo ndio utambulisho wa Taifa letu. Ushauri huo umetolewa leo Jijini Dodoma katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius …

Read More »

MANGULA- AZINDUA KAMPENI ZA CCM JANG’OMBE Z’BAR

DSC_0347

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzaia Bara Ndugu Philip Mangulla(katikakati)akimkabidhi bendera ya CCM Mgombea wa nafasi ya Uwakilishi katika uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Jang’ombe ndugu Ramadha Hamza Chande(wa kwanza kushoto) akiwa amesindikizwa na Mbunge wa Jimbo hilo ndugu Ali Hassan King( wa kwanza kulia), katika uzinduzi wa kampeni za CCM …

Read More »

KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU JIJINI TANGA

DSC_3746

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein akipokea Mwenge wa Uhuru Kitaifa kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Nd,Charles Francis Kabeho katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa,Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu  Julius K.Nyerere na Wiki ya …

Read More »

ARUMERU YAMUENZI MWALIMU NYERERE

3

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe Jerry Muro Leo amewaongoza waumini wa Kanisa la kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Meru Usharika wa MARUVANGO katika Mtaa wa Maruvango katika ibada ya Kuadhimisha miaka 19 ya Kifo Cha Baba wa Taifa hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere  Katika Ibada hiyo pia Mhe Muro …

Read More »

Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota Mtwara kupatikana Usiku wa Leo

IMG_20181014_120922

Mshiriki aliyeingia wawili Bora kwenye shindano la kusaka vipaji la Tigo Fiesta Supa Nyota toka Mtwara,Mbuta The Swagz akionesha uwezo wake kwenye steji, na jioni ya leo atapanda jukwaa la Tigo Fiesta kupata mwakilishi wa Mtwara. Mshiriki aliyeingia wawili Bora kwenye shindano la kusaka vipaji la Tigo Fiesta Supa Nyota …

Read More »

Wasanii Rukwa Waomba Uwekezaji kwenye Utayarishaji wa “Audio” na “Video”

Charles Kiheka_CO

Baadhi ya wasanii mbalimbali waliokuwa wamehudhuria kwenye kikao kilichoitishwa na afisa utamaduni wa manispaa ya Sumbawanga ili kujua changamoto zinazowagusa wasanii hao pamoja na namna ya kutafuta ufumbuzi.  ………………………….. Wasanii wa fani mbalimbali mjini Sumbawanga, Mkoani Rukwa wameeleza kilio chao juu ya utayarishaji mbovu wa sauti za muziki na picha …

Read More »

KAMPUNI YA MZALENDO KUJENGA KIWANDA CHA PIKIPIKI ARUSHA

IMG_20181012_172004

Na Ahmed Mahmoud Arusha Kampuni ya kichina ya Kutengeneza vifaa vya  pikipiki ililyopo Njiro Jijini Arusha hapa Nchini kimeahidi kuanza kutengeneza Pikipiki ifikapo mwaka 2020.Akiongea wakati alipotembelewa na Kamati ya siasa ya chama cha Mapinduzi kata ya Themi Mkurugenzi wa kiwanda hicho,Zhang You Chin amesema mapango huo upo mbioni kukamilika …

Read More »

MASAUNI ASEMA SERIKALI KUFUNGA CCTV KATIKA MIJI NA MAJIJI

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Yussuf Masauniiiiiiiiiiiiiiii

Na Ahmed Mahmoud Serikali imesema ipo mbioni kufunga kamera maalum (CCTV camera) kwenye miji na majiji mbalimbali nchini ili kudhibiti masuala ya uhalifu ikiwemo suala la utekaji unaofanywa na watu wasiojulikana.  Aidha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuph Masauni amewaonya wanasiasa uchwara wanaotumia matatizo yanayotokea nchini …

Read More »

MBUNGE WA CHADEMA BABATI MJINI AJIVUA UBUNGE NA KUJIUNGA CCM

Pauline-Gekul

  Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini, Pauline Gekul,  amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na Chama Cha mapinduzi (CCM). …

Read More »

WANAFUNZI WA KIKE MANAGHA WAPATA CHUMBA CHA KUJISITIRI

IMG-20181014-WA0001

Na John Walter-Babati Shule ya msingi Managha iliyopo kata ya Singe mjini Babati imefanikiwa kujenga choo na chumba maalum kwa ajili ya watoto wa kike kwa msaada wa Shirika la Uingereza la lijulikanalo kama Living Stone Trust. Inakadiriwa kuwa SIKU nne za kila mwezi watoto wa kike huwa wanashindwa kuhudhuria  …

Read More »

WAGONJWA WA MACHO 379 KITETO WATIBIWA BURE

IMG-20181011-WA0204

Mkazi wa eneo la Kibaya Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, akipatiwa maelezo ya matibabu bure ya ugonjwa wa macho.  Mganga wa macho wa hospitali ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, akimpima macho mkazi wa mtaa wa Kaloleni, Juma Ally.  Mganga wa macho wa hospitali ya Wilaya ya Kiteto, Mkoani Manyara, Dk …

Read More »

HATIMAYE JIMBO LA LIWALE LAPATA MUWAKILISHI BUNGENI

IMG_20181014_112001_199

 Msimamizi wa uchaguzi mdogo Jimbo la Liwale Luiza Mlelwa akimkabishi chetu mbunge mteuliwa wa Jimbo la Liwale Zuberi Kichauka. Picha na Vero Ignatus Wa pili kutoka kulia ni Msimamizi wa Uchaguzi mdogo Jimbo la Liwale Luiza Mlelwa akiniandaa kumtangaza mshindi wa kigi cha ubunge Jimboni hapo. picha na Vero Ignatus …

Read More »