Tuesday , March 26 2019

Home / 2018 / October / 15

Daily Archives: October 15, 2018

WAZIRI NDALICHAKO ASHIRIKI KONGAMANO LA ELIMU PANGANI,ASEMA WANAFUNZI WANAOTUMIA MTAALA MPYA WATAENDELEA KUSOMA KWA KIPINDI CHA MIAKA SABA

_MG_1454

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknologia Proffesa Joyce Ndalichako akizungumza katika kongamano la Wadau wa elimu wilayani Pangani ambalo lilikwenda sambamba na harambee ya kuchangia ujenzi wa mabweni shule ya Sekondari Mwera kulia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso …

Read More »

WAANDISHI WA HABARI ZA KILIMO SAYANSI WAPIGWA MSASA JIJINI DODOMA

1

Mwanaharakati na Mwandishi wa Vitabu kuhusu Sayansi ya Kilimo kutoka nchini Uingereza Mark Lynas (kulia), akitoa mada kwenye mafunzo ya uandishi wa habari za kilimo  Sayansi kuhusu Teknolojia ya Uhandisi Jeni (GMO) kutoka mikoa mbalimbali na nje ya nchi yaliyofanyika jijini Dodoma leo.  Wanahabari wakiwa kwenye mafunzo hayo.     …

Read More »

MWENYEKITI WA CCM KIBAHA VIJIJINI MURTALA MKUMBA AFARIKI DUNIA

IMG-20181014-WA0099

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Kibaha Vijijini Mkoani Pwani, Murtala Mkumba amefariki dunia octoba 14 mwaka huu,katika hospital ya Taifa Muhimbili ambapo alilazwa kutokana na kuugua kwa muda mfupi ,Mkumba  amezikwa octoba 15 huko Visiga, na alijulikana  kwa namna yake katika tasnia ya siasa za Mkoani Pwani kwa …

Read More »

MMOMONYOKO WA MAADILI NCHINI NI CHANZO CHA WATANZANIA KUSHINDWA KUENZI UZALENDO WA TAIFA LAO

PIC 1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na washiriki waliojitokeza katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius K.Nyerere uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha St. Johns University of Tanzania. …………………….. Na.Alex Sonna,Dodoma  Mmomonyoko Wa Maadili nchini ni miongoni mwa sababu kubwa …

Read More »

KISHAPU YAIBUKA KIDEDEA MBIO ZA MWENGE 2018

4-37-768x512

Na Robert Hokororo, Kishapu Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imeibuka kidedea kikanda katika mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2018 baada ya kufanya vizuri katika miradi ya maendeleo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Mhe. Jenista Mhagama ametangaza ushindi huo …

Read More »

MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WAONGEZA MAPATO YA SERIKALI

JPEG. NA. 1

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (kulia) akipata maelezo kuhusu Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kutoka kwa Mhandisi wa Usafirishaji Masafa wa TTCL, Marwa Chacha wakati wa ziara yake ya kukagua namna Mkongo huo unavyopeleka mawasiliano Burundi kwenye kituo cha Biharamulo, Kagera Naibu Waziri wa Uchukuzi na …

Read More »

UZINDUZI WA MSIMU MPYA WA VICHEKESHO VYA MWANTUMU

2

Mkuu wa Masoko wa kampuni ya MultiChoice Tanzania, Alpha Mria akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa msimu mpya wa vichekesho vya Mwantumu iliyofanyika katika makao makuu ya ofisi ya MultiChoice Tanzania. Mchekeshaji maarufu nchini Lucas Mhuvile maarufu kama Joti  akizungumza wakati wa uzinduzi.  Joti amebeba uhuska wa  aina tatu tofauti …

Read More »

FAMILIA YATOA TSH.BILIONI 1 ATAKAYEFANIKISHA KUMPATA MO DEWJI

44094694_1955344037890736_7718039884266471424_n

Familia ya Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’, aliyetekwa siku ya Alhamisi na watu wasiojulikana, imezungumza na wandishi wa habari leo mchana katika ofisi za kampuni ya MeTL Group zilizopo katika jengo la Golden Jubilee Towers ghorofa ya 20 mtaa wa Ohio, Posta jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo, familia hiyo imetangaza …

Read More »

MKUTANO WA KIHISTORIA NA WA KWANZA KATI YA MAHAKAMA YA TANZANIA, MADALALI NA WASAMBAZA NYARAKA ZA MAHAKAMA WAFANYIKA MJINI MOROGORO

3

Jaji Kiongozi, Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akifungua Mkutano wa Mashauriano kati ya Mahakama ya Tanzania na Madalali wa Mahakama na Wasambaza Nyaraka uliofanyika katika hoteli ya Morogoro mkoani Morogoro. Sehemu ya Washiriki wa Mkutano huo wakifuatilia kinachojiri. Jaji Kiongozi, Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer …

Read More »

MKUU WA MAJESHI JWTZ AIPONGEZA NMB KUKUZA MCHEZO WA GOLF

DSC_0172

Mgeni rasmi na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali Yakub Mohamed (wa pili kulia) kwenye Mashindano ya NMB Kombe la Mkuu wa Majeshi mchezo wa Golf akimkabidhi kikombe mshindi wa jumla katika mashindano hayo, Richard Mtweve (kulia). Kutoka kushoto wanaoshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara NMB, Donatus Richard, Mwenyekiti …

Read More »

TFS YAHAMASISHA UTALII WA KIIKOLOJIA KWA WATANZANIA

3K

Afisa Misitu Mkuu kutoka Wakala wa Huduma za Misitu nchini(TFS),Arijanso Mlog akizungumza na Waandishi wa habari katika Onesho la Kimataifa la  Utalii (SITE)linaloendelea katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Meneja Masoko na Uwekezaji wa Wakala wa Huduma za Misitu Nchini, Mariam Kobelo akieleza huduma za …

Read More »

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UGAWAJI VIWANJA

119A5669

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula akitoa maelekezo kwa Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Simiyu Godwin Tumaini mara baada ya kukagua majalada na mfumo wa ukusanyaji kodi ya ardhi katika halmashauri ya walaya ya Rorya mkoani Mara. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo …

Read More »

Mesen Selekta na Gutta Wapagawisha Tigo Fiesta -Vibe Kama Lote Mtwara

Mesen n Gutta

Msanii Mesen Selekta na Gutta wakionesha uwezo wao wa kutawala jukwaa kwenye Tamasha kubwa la Tigo Fiesta -Vibe Kama Lote lililofanyika uwanja wa Nang’wanda Mjini Mtwara usiku wa kuamkia Jumatatu Mshindi atakayeiwakilisha Mtwara kwenye kinyang’anyiro cha kumsaka Tigo Fiesta Supa Nyota, Siraji Mbuta a.k.a Mbuta The Swagx akionesha uwezo wake …

Read More »