Friday , March 22 2019

Home / 2018 / October / 16

Daily Archives: October 16, 2018

Chaneli ya Utalii Kuzinduliwa Disemba Mwaka Huu

UT1-1024x653

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Susan Mlawi akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kamati inayoshughulikia uanzishwaji wa Chaneli ya Runinga ya Utalii leo jijini Dodoma. Chaneli hiyo inaanzishwa kufuatia agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipotembelea studio za Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) mnamo …

Read More »

KAMATI YA CCM BAGAMOYO HAIJARIDHISHWA NA UKUSANYAJI MAPATO HALMASHAURI YA CHALINZE NA KUIAGIZA IONGEZE KASI

IMG_20181016_134347

NA MWAMVUA MWINYI,CHALINZE KAMATI ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Bagamoyo ,haijaridhishwa na kushuka kwa ukusanyaji wa mapato ya halmashauri ya Chalinze, kipindi cha mwaka 2017/2018 ,na kuiasa iongeze jitihada ili kuinua ukusanyaji huo. Kwa miaka miwili mfululizo halmashauri hiyo imesifika kwa ukusanyaji mzuri unaovuka malengo lakini …

Read More »

TAA Yasaidia Mafuta Kinga Jua Kwa Walemavu Wa Ngozi

3

Katibu Mkuu wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS) Bw. Mussa Kabimba (aliyesimama) akizungumia changamoto wanazokutana nazo watu wenye Ualbino. Katikati ni Kaimu Meneja Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bi. Naomi Semadio na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Jeshi la Wokovu, …

Read More »

Arif Abri Apongezwa na Wazazi CCM Iringa kwa kusaidia CCM

IMG_20181016_123853

Mwenyekiti wa jumuiya ya  wazazi wa  chama  cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Iringa vijijini  Marco Kihongo (kushoto)  akipokea msaada wa fedha  kiasi  cha shilingi milioni 1  kwa ajili ya ununuzi wa kadi  za chama ,kutoka kwa mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa  Arif Abri    katibu  mstaafu wa CCM …

Read More »

KOTECHA AWASHUKIA VIONGOZI

DSC06562

Diwani wa Kata ya Nyamagana (CCM) Bhiku Kotecha akisistiza jambo wakati akihutubia mkutano wa hadhara jana uliofanyika jirani na eneo la Kivuko cha Kamanga jijini Mwanza. ……………….. NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA NAIBU Meya wa Jiji la Mwanza (CCM) Bhiku Kotecha ameshauri na kuwasihi viongozi wenye dhamana kuisaidia serikali ya awamu …

Read More »

KIKWETE AWATAKA VIJANA KUMUENZI NYERERE KWA KAZI ZAKE.

????????????????????????????????????

Mbunge wa jimbo la chalinze Ridhiwani Kikwete ………………………………………………………………………… Na Shushu Joel,Dar MIAKA 19 iliyopita taifa nilitapwa na msiba mkubwa ambao kamwe hautozibika katika taifa hilikwa kuodokewa na aliyekuwa mwasisi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla Hayati Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyere ambae alipatwa na umauti huko nchini Uingereza. …

Read More »

ZAWADI ZATAJWA KICHOCHEO CHA UKEKETAJI TARIME

1

Mwanasheria wa Shirika la Kupinga Ukatili wa Kijinsia la ATFGM Masanga wilayani Tarime, Dora Luhimbo akitoa elimu ya kupinga masuala ya ukeketaji na ndoa za utotoni lililoandaliwa na shirika hilo na kukutanisha shule 10 za msingi na sekondari ambalo lilifanyika katika Shule ya Sekondari Kemambo wilayani humo. Wanafunzi wa shule …

Read More »

CWT Kilolo chawazawadia bati walimu wastaafu

IMG_20181011_123821

Viongozi wa CWT  Kilolo (kulia)  wakiwakabidhi walimu wastaafu 25 zawadi ya bati 20 kila  mmoja  Afisa utumishi  wilaya ya  Kilolo  mkoani Iringa Joseptah Kayombo (kulia)  akiwa na  viongozi wa chama cha walimu Tanzania (CWT)  wilaya ya  Kilolo wakiwakabidhi bati  walimu  wastaafu 25  kila  mmoja bati 20  ……………………………………………………………………………………. CHAMA  cha  walimu  …

Read More »

UN, Serikali wazungumza na vijana

JENISTA SPEECH

Wanafunzi wakifurahia mara baada ya kushiriki michezo mbalimbali wakati wa bonanza la wiki ya vijana lililofanyika jijini Tanga na kudhaminiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) kuelekea kilele cha mbio za Mwenge. Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Mh. Jenista Mhagama …

Read More »

TANROADS TABORA YAAGIZWA KUANGALIA UWEZEKANO WA KUWEKA TAA ZA BARABARANI ZINAZOTUMIA MWANGA WA JUU

1

Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Msalika Makungu(kulia) akimkaribisha Mkuu wa Mkoa huo Aggrey Mwanri(katikati)  ili naye amkaribishe Naibu Waziri wa Ujenzi Elias John Kwandikwa(kushoto) kwa ajili ya kuzungumza na Menejimenti ya Mkoa huo alipopita Tabora akiwa safarini kwenda Mkoani Shinyanga jana. Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Sekretarieti ya Mkoa wa …

Read More »