Monday , February 18 2019

Home / MCHANGANYIKO / KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI

KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI

PIC 1

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Oscar Mukasa akielezea jambo alipokuwa akiongoza Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana leo Jijini Dodoma kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka 2015 iliyowasilishwa na Watendaji kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya hapa nchini wakiongozwa na Kamishna Jenerali Rogers Siyanga

PIC 2

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Godfrey Mgimwa akichangia jambo katika Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana hii leo Jijini Dodoma kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka 2015.

PIC 3

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi wakifuatilia jambo kwenye Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka 2015 iliyowasilishwa na Watendaji kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya hapa nchini wakiongozwa na Kamishna Jenerali Rogers Siyanga.

PIC 4

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Flatei Massay akichangia jambo katika Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana hii leo Jijini Dodoma kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka 2015.

Picha na Ofisi ya Bunge

About Alex

Check Also

AA

WASICHANA WATATU NA MMOJA KATI YA WAVULANA SABA WAFANYIWA UKATILI WA KINGONO KABLA YA MIAKA 18

Takwimu za vitendo vya ukatili kwa watoto nchini¬† vinaonyesha kuwa mmoja kati ya wasichana watatu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

five × 4 =