Monday , December 10 2018

Home / BIASHARA / MKUU WA MKOA WA PWANI AKUTANA NA MKURUGENZI NA MTENDAJI MKUU WA BENKI YA CRADB BW. NSEKELA

MKUU WA MKOA WA PWANI AKUTANA NA MKURUGENZI NA MTENDAJI MKUU WA BENKI YA CRADB BW. NSEKELA

JO1

Mheshimiwa mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng Evarist Ndikilo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Bibi Theresia Mmbando pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bibi Jokate Urban Mwegelo mapema amekutana na Benki ya CRDB katika  mkutano wa pamoja wa kujadili maandalizi ya wiki ya Maonesho ya Viwanda ya Mkoa wa Pwani na Mkurugenzi Mtendaji  na  Mwendeshaji  wa Benki ya CRDB Ndugu Abdulmajid Nsekela , wengine ni Wakuu wa idara mbalimbali kutoka benki ya CRDB , Teddy Maganga Mratibu wa Matukio pamoja na Philomena Kasanga ambaye ni katibu wa mkuu wa Mkoa wa Pwani

JO2

About bukuku

Check Also

002

Milioni 10 za Tigo Jigiftishe zaenda kwa mtumishi wa afya

Mshindi wa zawadi ya wiki ya shilingi milioni 10 katika promosheni ya Jigiftishe na Tigo, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

four + 15 =