Friday , March 22 2019

Home / 2018 / October / 17

Daily Archives: October 17, 2018

WANAFUNZI WATAKIWA KUWA NA MAADILI MEMA:JAJI MKUU

IMG_1302

JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. PROF. IBRAHIM HAMIS JUMA AKISALIMIANA NA  WAALIMU WA SHULE YA SEKONDARI NYAMPULUKANO ILIYOPO WILAYANI SENGEREMA ALIPOFIKA ILI KUZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA SHULE HIYO KUHUSU MASUALA YA MAADILI. SEHEMU YA WANAFUNZI WA SHULE HIYO WAKIWA TAYARI KUMSIKILIZA JAJI MKUU …………………………… Na Lydia Churi- Sengerema Mwanza Jaji Mkuu …

Read More »

Wilaya ya Uyui Yadhamiria Kukuza Kiwango cha Elimu

2

Mkuu wa Wilaya ya Uyui  Mkoani Tabora Mhe. Gift Isaya Msuya akisisitiza jambo kwa watendaji na wananchi wakati wa ziara yake yakukagua miradi ya maendeleo katika Kata ya Miyenze Wilayani  humo. Mkuu wa Wilaya ya Uyui  Mkoani Tabora Mhe. Gift Isaya Msuya (katikati) akiwa na wanafunzi wa shule ya msingi …

Read More »

Wizara Zakutana kujadili Kamera za kudhibiti Uhalifu

PIX 2

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Radhiya Rashid Haroub (kushoto), wakati wa Kikao cha kubadilishana uzoefu juu ya suala la ufungaji wa kamera maalumu …

Read More »

SERIKALI YAWATAKA WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI KUSIMAMIA VIZURI RASILIMALIWATU ILI KUWEZESHA UTOAJI HUDUMA BORA KWA WANANCHI

001

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akiendesha kikao kazi cha Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu kinachofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) jijini Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro …

Read More »

LIBYA YAVUTIWA NA SERA ZA UWEKEZAJI NCHINI

????????????????????????????????????

Kaimu Rais wa chama cha Wafanyabiashara,wenye viwanda na Kilimo TCCIA Bw.Octavian Mshiu akisalimiana na Kaimu Balozi wa Libya Nchini Tanzania Bw.Saleh Kusa Arze kwenye Makao Makuu ya TCCIA yaliyopo Posta Jijini Dar Es Salaam mara baada ya Kaimu Balozi huyo kutembelea ofisini hapo na kujadiliana masuala ya kibiashara. Kaimu Rais …

Read More »

IGP AKUTANA NA BALOZI WA KOREA NCHINI

4

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na  Balozi wa Korea nchini Song, Geum-young wakati balozi huyo alipotembelea Makao makuu ya Polisi Dar es Salaam ambapo walizungumza mambo mbalimbali ya kuimarisha Uhusiano. (Picha na Jeshi la Polisi). Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akimkabidhi …

Read More »

ADEM TASWIRA YA MAENDELEO YA SEKTA YA ELIMU NCHINI

index

Na Ismail Ngayonga- MAELEZO-DAR ES SALAAM MAENDELEO  ya jamii yoyote yanahitaji elimu ili wananchi wake waweze kushiriki kikamilifu katika kukabiliana na changamoto zinazowazunguka. Matarajio ya elimu bora ndani ya jamii yanatokana na mafunzo bora ya walimu ambao ndiyo watendaji wakuu katika mchakato wa kujifunza na kufundisha katika ngazi zote za …

Read More »

Hakuna cha msalia mtume usipotekeleza sheria- Profesa Kikula

????????????????????????????????????

…………………………………………………………………………………… Na: Rhoda James – Singida Mwenyekiti wa Tume ya madini, Profesa Idris Kikula amesema kutokujua sheria ya madini si kigezo wala sababu ya kukwepa adhabu ya ukiukwaji wa sheria hiyo na kuwataka wachimbaji wa madini kuzingatia na kufuata sheria na taratibu za kujihusisha na biashara hiyo. Ameyasema hayo jana …

Read More »

JITIHADA ZA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI KUTOKOMEZA KIFUA KIKUU

mtu-alieathirika-na-kifua-kikuu

Na. Immaculate Makilika – MAELEZO     UGONJWA wa kifua kikuu ni kati ya magonjwa matatu ikiwemo malaria na ukimwi yanayotokea sana kwa watu masikini duniani, ambapo asilimia 98 ya wagonjwa wanapatikana katika nchi zinazoendelea.                 Tanzania ni ya 15 kati ya nchi 22 ambazo zimeathiriwa sana na ugonjwa huu, ambapo …

Read More »

UBELGIJI NA UHOLANZI ZATOKA SARE YA 1-1 MECHI YA KIRAFIKI

5106590-6283685-image-a-35_1539723426666

Mshambuliaji wa Uholanzi, Memphis Depay akipambana na mchezaji wa Ubelgiji katika mchezo wa kirafiki usiku wa Jumanne Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussels timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Dries Mertens alianza kuifungia Ubelgiji dakika ya tano, kabla ya Arnaut Groeneveld kuisawazishia Uholanzi dakika ya 27 PICHA ZAIDI SOMA HAPA 

Read More »

BRAZIL YATWAA KOMBE JEDDAH KWA KUICHAPA ARGENTINA 1-0

5105862-6283369-image-a-65_1539722060731

Neymar akiwa ameshika Kombe pamoja na Roberto Firmino baada ya ushinid mwembamba wa Brazil wa 1-0 dhidi ya Argentina usiku wa leo bao pekee la Joao Miranda dakika ya 90 na ushei Uwanja wa King Abdullah Sports City mjini Jeddah, Saudi Arabia katika mchezo wa kirafiki PICHA ZAIDI SOMA HAPA 

Read More »

TANZANIA YAJITOSHELEZA KWA CHAKULA MIAKA MITANO MFULULIZO-DKT TIZEBA

1R6A0076

Waziri wa Kilimo, Dkt Charles Tizeba (Mb) akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani Kitaifa ambayo yamefanyika kwenye viwanja vya JK Nyerere katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma Leo tarehe 16 Octoba 2018. (Picha Zote Na Mathias Canal,WK) Kikundi cha ngoma ya asili cha Mkoani …

Read More »