Thursday , March 21 2019

Home / MICHEZO / UFARANSA YAITANDIKA UJERUMANI 2-1 MECHI YA LIGI YA MATAIFA YA ULAYA

UFARANSA YAITANDIKA UJERUMANI 2-1 MECHI YA LIGI YA MATAIFA YA ULAYA

 

 

Antoine Griezmann akiinua mkono juu kushangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao yote mawili Ufaransa dakika ya 62 akimalizia pasi ya beki Lucas Hernández na dakika ya 80 kwa penalti baada ya Blaise Matuidi kuangushwa kwenye boksi katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Ujerumani kwenye mchezo wa Kundi la Kwanza Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Bao la Ujerumani lilifungwa na Toni Kroos dakika ya 14 kwa penalti pia PICHA ZAIDI SOMA HAPA 

About Alex

Check Also

1

MAANDALIZI TIMU YA NYIKA YANOGA

MAANDALIZI ya Timu ya Taifa ya Mbio za Nyika kuelekea mashindano ya Dunia yatakayofanyika mjini …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

one × one =