Friday , March 22 2019

Home / 2018 / October / 18

Daily Archives: October 18, 2018

Onesho la Tigo Fiesta Latua Moshi na Ofa kabambe ya Data Kama Lote Inayowapa Wateja Hadi Mara Mbili ya Thamani Ya Intaneti Watakayonunua Kutoka Tigo

Rosa

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Nancy Bagaka(katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo  jinsi wapenzi wote wa muziki mjini Moshi watakavyofurahia promosheni tatu murwa katika msimu huu wa vibes. ‘Data Kama Lote inawapa wateja hadi mara mbili ya vifurushi vya intaneti watakavyonunua kupitia menu iliyoboreshwa ya *147*0#. Pembeni yake …

Read More »

MTANGAZAJI ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA

GAMBA2

MTANGAZAJI wa Idhaa ya Sauti ya Kiswahili (DW) ya Ujerumani, Isack Gamba amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwake chini humo. Mmoja wa marafiki zake amesema  jana Gamba hakuonekana kazini kuanzia siku ya Jumanne ndipo leo  walienda kutoa taarifa polisi, waliofika nyumbani kwake na kuvunja mlango wakamkuta Gamba ameshafariki dunia.” Akiwa nchini, Gamba …

Read More »

SERIKALI KUREJESHA HALI YA WANANCHI KUJILETEA MAENDELEO

????????????????????????????????????

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akipokea Maelezo ya Mradi wa ujenzi ya Shule Shikizi iliyopo kata ya Mwambao Kijiji cha Mweyubaruti Kibiti Mkoani Pwani. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akikabidhiwa  mabati kwa …

Read More »

AIBU WAZIRI NDITIYE ATEMBELEA MRADI WA DGMP BANDARINI

????????????????????????????????????

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Karim Mattaka akimkaribisha Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye mara baada ya kuwasili eneo la bandarini kukagua ujenzi wa mradi wa maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam. Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Karim Mattaka akitoa maelezo kwa Naibu Waziri …

Read More »

UHAKIKI WA UBORA WA UTAONGEZA THAMANI YA RASILIMALI ZA MAJI

index

Na Ismail Ngayonga,MAELEZO DAR ES SALAAM   MAJI ni rasilimali muhimu  kwa maisha ya binadamu na maendeleo ya jamii na sekta mbalimbali za kiuchumi zikiwemo viwanda, kilimo, uvuvi na utalii. Katika kufikia azma ya Serikali ya kuwapatia wananchi majisafi na salama, Wizara ya Maji na Umwagiliaji inatekeleza mipango yake kwa …

Read More »