Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / October / 19

Daily Archives: October 19, 2018

MUHIMBILI WAHITIMISHA HUDUMA ZA KIBINGWA MUSOMA

001

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Musoma mkoani Mara, Dkt. Joachim Eyembe leo akiwaaga wataalamu wa afya kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) baada ya kumaliza kutoa huduma ya matibabu kwa njia mkoba kwa kushirikiana na wataalamu wenzao wa Hospitali ya Rufaa ya Musoma. Baadhi ya wataalamu wa Muhimbili wakiwa …

Read More »

TACAIDS-MAAMBUKIZI YAPO JUU KWA KUNDI LA WANAWAKE HASA VIJANA WA KIKE ,HIVYO TUPAMBANE NA MAAMBUKIZI MAPYA

IMG_20181019_175915

Kaimu mkurugenzi idara ya mwitikio wa kitaifa ,kutoka TACAIDS  ,Audrey Njelekela akizungumza ,wakati akifungua mkutano uliolenga kupitia mipango ya utekelezaji wa afua za ukimwi kwa asasi za kiraia na mitandao ya vijana pamoja na zinazojishughulisha kuwahudumia watuamiaji wa dawa za kulevya,uliifanyika Bagamoyo ,Pwani Mratibu wa asasi za kiraia kutoka TACAIDS …

Read More »

TRA YATOA ONYO KWA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO

Mwandumbya

  Kamishna wa Kodi za Ndani wa TRA Bw. Elijah Mwandumbya akijibu hoja za wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam alipokutana nao kwa mazungumzo katika mkutano uliofanyika mtaa wa Mchikichi eneo la Kariakoo Mfanyabiashara wa Kariakoo Bw. Emmanuel Mwakatungila, akiuliza swali wakati wa mkutano kati Kamishna wa …

Read More »

WATANZANIA WATAKIWA KUPAMBANA NA MAGUGU VAMIZI LIKIWEMO GUGU KAROTI

Gugu+karoti+4

Ahmed Mahmoud Arusha Serikali imetakiwa kuaandaa mkakati wa kitaifa wa kupambana na magugu vamizi likiwemo gugu karoti ambalo limeendelea kuleta madhara kwa wanyama na binadamu. Kufuatia tishio la mmea hatari unaofahamika kwa jina la gugu karoti (Partheniun hysterophorus)kwa afya za binadamu,mifugo na mazingira wadau mbali mbali wamekutana na kupewa elimu …

Read More »

WAZIRI MKUU AMKABIDHI WAZIRI JAFO ORODHA YA WATUMISHI

PMO_9061

*Ni wa halmashauri ya wilaya ya Bahi waliogoma kuhamia kituo cha kazi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemkabidhi Waziri wa Nchi, OR-TAMISEMI, Selemani Jafo orodha ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi ili awachukulie hatua baada ya kugoma kuhamia katika kituo chao cha kazi na kuendelea kuishi jijini Dodoma.   …

Read More »

UJERUMANI KUFADHILI TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA 2019

DSC007

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Dkt. Detlef Waechter akibadilishana nyaraka za mkataba wa ufadhili na Mheshimiwa Simai Mohamed Said (Mwakilishi Jimbo la Tunguu),  Mwenyekiti wa  Bodi ya Wadhamini ya Busara Promotion katika Ubalozi wa Ujerumani Dar es Salaam jana Oktoba 18,2018. Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Dkt. Detlef Waechter akiagana …

Read More »

MAREKANI YAPONGEZA JUHUDI ZA TANZANIA KATIKA KUVUTIA WAWEKEZAJI

Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson

Na Grace Semfuko –MAELEZO Serikali ya Marekani imesema inatambua juhudi za Serikali ya Tanzania za kuvutia wawekezaji na kwamba Mazingira mazuri ya uwekezaji yanayofanywa na Serikali yatasaidia kufikia Uchumi wa kati na wa Viwanda. Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Dkt Inmi Patterson amesema kufuatia juhudi hizo Serikali yake inaungana …

Read More »

RAIS MAGUFULI AICHANGIA TAIFA STARS MIL.50

2

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameichangia timu ya Taifa ya   mpira wa miguu (Taifa stars) kiasi cha fedha shilingi milioni 50, ambazo zitatumika katika maandalizi ya wachezaji hao ambao wanatarajia kuwa na mechi dhidi ya timu ya Lesotho. Akizungumza  leo …

Read More »

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BUNGE LA CHINA

PIC 1

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Mgeni wake Mheshimiwa Prof. Lou Jiwei ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China (CPPCC) alipomtembelea hii leo na kufanya nae mazungumzo kwenye Ukumbi wa Spika Jijini Dodoma. Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akisalimiana na …

Read More »

SERIKALI KUONGEZA MAWASILIANO ENEO LA UWEKEZAJI MKURANGA

JPEG. NA. 3

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kulia) akifafanua jambo wakati wa ziara yake ya kukagua upatikanaji wa mawasiliano kwenye vijiji mbali mbali vya Wilaya ya Mkuranga. Wa pili kulia ni Mbunge wa jimbo hilo Abdallah Ulega na wa kwanza kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Mfuko …

Read More »

WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI WATAKIWA KUWATUMIKIA WATUMISHI WA UMMA WANAOWASIMAMIA ILI KUWAJENGEA ARI YA UTENDAJI KAZI

0015

Naibu Katibu Mkuu,  Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,  Bi.Dorothy Mwaluko akizungumza na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu waliohudhuria kikao kazi kilichofanyika ukumbi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) jijini Dodoma. 0013 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa …

Read More »

Serikali inatekeleza miradi ya maji yenye thamani ya trilioni 5

images

Na; Frank   Mvungi -MAELEZO Waziri wa Maji, mheshimiwa Profesa Makame Mbarawa, amesema serikali ya awamu ya tano inatekeleza miradi ya maji yenye thamani ya shilingi trilioni tano kote nchini. Akizungumza katika kipindi cha Tunatekeleza kinachorushwa na runinga ya TBC1, Profesa Mbarawa amesema kiasi hicho cha fedha kilichotengwa kwa ajili ya …

Read More »

SERIKALI YAIPA NFRA BIL 15 UNUNUZI WA NAFAKA ILI KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA CHAKULA YANAPOTOKEA MAJANGA

1R6A0110

Waziri wa Kilimo Dkt Charles Tizeba (Mb), akisisitiza mpango wa serikali kukabiliana na njaa wakati akihutubia wananchi waliojitokeza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani Kitaifa ambayo yamefanyika kwenye viwanja vya JK Nyerere katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma jana tarehe 16 Octoba 2018. (Picha Na Mathias Canal, WK) Waziri wa …

Read More »

SERIKALI YAZIDI KUIJENGEA UWEZO TMA KWA KUKAMILISHA UNUNUZI WA RADAR NYINGINE YA HALI YA HEWA

index

Mkurugenzi mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi na Mwakilishi wa ECC kutoka Marekani wakisaini mkataba wa radar ya hali ya hewa itakayofungwa Mtwara, shughuli hiyo ikishuhudiwa na mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya TMA Dkt.Buruhani Nyenzi na wanasheria kutoka TMA na ECC …………………………………………………………………………… Katika jitihada za kuzidi kuboresha huduma za …

Read More »