Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / October / 20

Daily Archives: October 20, 2018

Matukio Katika Picha Tamasha la Wajasiriamali wanawake Jijini Dodoma

3

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa  Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile akisisitiza kuhusu  hatua iliyochukuliwa na Serikali katika kuwawezesha wajasiriamali wadogo kupata alama  ya ubora wa bidhaa wanazozalisha ili kuchochea ujenzi wa uchumi wa Viwanda ambapo Serikali inalipa gharama hizo kwa wajasiriamali wadogo, hayo  ilikuwa wakati wa …

Read More »

WAZIRI MKUU ATOA SIKU 25 KWA WATUMISHI CHAMWINO

PMO_9095

  Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Chamwino wakimshangilia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo kuzungumza na watumishi hao, Oktoba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,  Dkt. Bilinith Mahenge wakati …

Read More »

SERIKALI KUIMARISHA ULINZI MAENEO YA UTALII

PIX 4

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza  na wadau wa sekta ya Utalii ambapo aliwahikikishia nia ya serikali kuimarisha ulinzi maeneo yanayotumika kwa shughuli za utalii lengo ikiwa ni kuongeza mapato  kwa nchi na kutumia fursa zinazopatikana katika sekta hiyo. Kikao hicho kimefanyika Katika Ukumbi …

Read More »

MHE.RIDHIWANI KIKWETE KUWANUNULIA KOMBATI JESHI LA AKIBA

Ridhiwani Kikwete mara baada ya kukagua jeshi la Akiba la vijana wa chalinze

Na Shushu Joel,Chalinze. JESHI la akiba limekuwa ni msaada mkubwa katika jamii ya tanzania kutokana na vijanawengi wanaojiunga na jeshi hilo punde tu wanapomaliza mafunzo hayo upelekea kuwa ni kichocheo kikubwa katika jamii juu ya  suala zima la ulinzi na usalama sehemu wanazotoka vijana hao. Katika jimbo la chalinze mkoani …

Read More »

POLISI KISHAPU YAKABIDHI GARI JIPYA KUTOKA MGODI WA MWADUI

1

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack akiliangalia gari alilokabidhiwa kwa ajili ya Jeshi la Polisi wilayani Kishapu. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack akitoa maelekezo na kumkabidhi funguo na kadi ya gari Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD) ya Kishapu, Emmanuel Galiyamoshi. Anayeshuhudia kushoto ni Alchelaus Mutalemwa. …

Read More »

RC SHINYANGA AKAGUA MRADI WA UPANUZI KITUO CHA AFYA

IMG_9209

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack akikagua ubora wa matofali yalitengendezwa kwa ajili ya kujenga majejngo ya kituo cha afya Kishapu kinachofanyiwa upanuzi.   …………………. Na Robert Hokororo, Kishapu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack amekagua mradi wa upanuzi wa kituo cha afya Kishapu ulioanza kutekelezwa …

Read More »

MFANYABIASHARA MO DEWJI APATIKANA AKIWA SALAMA

mohamed-dewji-milliardaire-tanzanien-investit-en-afrique

Taarifa zilizotufikia alfajiri ya leo, Oktoba 20, 2018, zinasema kuwa Mfanyabiashara Bilionea Mohamed Dewji maarufu kwa jina la Mo Dewji amepatikana na amerejea nyumbani kwake kuungana na familia yake akiwa salama. Kwa mujibu wa mtandao wa Makampuni ya Mohamed Enterprises ya MeTL Group, Mo amerejea nyumba ikiwa ni siku ya …

Read More »

Serikali Yawekeza Sh. Bilioni 45 Kwenye Miradi ya Maji Mtwara

1

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akitoa msisitizo kwa Jumanne Mackenzie, mkandarasi kutoka Kampuni ya Singilimo Enterprises Ltd akamilishe mradi wa maji wa Makong’onda, uliopo katika Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara. Ujenzi wa mradi wa maji wa Chipingo-Mkaliwata, wilayani Masasi katika mkoa wa Mtwara ukiendelea. Mkurugenzi Mtendaji wa MANAWASA, Mhandisi …

Read More »