Tuesday , January 22 2019

Home / MCHANGANYIKO / Matukio Katika Picha Tamasha la Wajasiriamali wanawake Jijini Dodoma

Matukio Katika Picha Tamasha la Wajasiriamali wanawake Jijini Dodoma

1

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa  Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile akisisitiza kuhusu  hatua iliyochukuliwa na Serikali katika kuwawezesha wajasiriamali wadogo kupata alama  ya ubora wa bidhaa wanazozalisha ili kuchochea ujenzi wa uchumi wa Viwanda ambapo Serikali inalipa gharama hizo kwa wajasiriamali wadogo, hayo  ilikuwa wakati wa Tamasha la Mwanamke Mjasiriamali linalofanyika Jijini Dodoma likishirikisha wajasiriamali wa hapa nchini na kutoka nchini Burundi.

2

Afisa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kati  Bw. Sileja Lushibika akieleza hatua zinazopaswa kufuatwa na mjasirimali ili kupata alama ya ubora kwa mmoja wa wananchi waliofika katika Banda la Shirika hilo wakati wa Tamasha la Mwanamke  Mjasiriamali linalofanyika Jijini Dodoma likishirikisha wajasiriamali wa hapa nchini na kutoka nchini Burundi.

3

Afisa Elimu, Habari na Mawasiliano wa Wakala wa Vipimo (WMA) Bw. Paulus  Oluochi akizungumzia umuhimu wa kuzingatia vipimo kwa wajasirimali wakati wa kufungasha na kuzalisha bidhaa mbalimbali ili kuchochea dhana ya ujenzi wa uchumi wa Viwanda,hiyo ilikuwa wakati wa Tamasha la Mwanamke  Mjasiriamali linalofanyika Jijini Dodoma likishirikisha wajasiriamali wa hapa nchini na kutoka nchini Burundi.

4

Afisa Elimu, Habari na Mawasiliano wa Wakala wa Vipimo (WMA)Bw. Paulus  Oluochi akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa katika kuhakikisha kuwa wajasiriamali wote wanafikiwa na huduma za Wakala huo ili kutekeleza kwa vitendo matwakwa ya sheria ya vipimo na kanuni zake.

5

Afisa Vipimo wa Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) Bi. Zaidat   Gharibu akionesha jinsi wanavyohakiki vipimo mbalimbali ikiwemo upimaji wa  gesi yakupikia majumbani.

6 7 8 9 10 11 12

Sehemu ya mabanda  ya wajasiriamali wanaoshiriki  Tamasha la Mwanamke Mjasiriamali linalofanyika  Jijini Dodoma likishirikisha wajasiriamali wa hapa nchini na kutoka nchini Burundi  kama yanavyoonekana katika picha.

(Picha zote na  Frank Mvungi MAELEZO, Dodoma

About Alex

Check Also

_MG_9933

CCM PANGANI YAMTUNUKU TUZO YA SHUKRANI RAIS DKT MAGUFULI KWA UAMUZI WAKE WA KURIDHIA KUTIA SAINI UJENZI WA BARABARA YA TANGA-,PANGANI HADI BAGAMOYO

Mwenyekiti Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Pangani Hamis Mnegero akizungumza na waandishi wa habari …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

seventeen + 18 =