Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / October / 21

Daily Archives: October 21, 2018

WMA YATOA ONYO KWA WATAALAMU WAKUCHEZEA VIPIMO

IMG_8385

Mwananchi akiuliza maswali kutoka kwa Afisa Elimu, Habari na Mawasiliano wa Wakala wa Vipimo (WMA)Bw. Paulus  Oluochi kuhusu jinsi gani anaweza kupatiwa elimu saahihi ya  sheria vipimo na kanuni zake alipotembelea bando hilo katika Tamasha la Mwanamke  Mjasiriamali linalofanyika Jijini Dodoma likishirikisha wajasiriamali wa hapa nchini na kutoka nchini Burundi. …

Read More »

WAZIRI MKUU KUFUNGUA MAONESHO YA WIKI YA AZAKI JIJINI DODOMA

kasimu+pic

Waziri  Mkuu  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, anatarajiwa kufungua maonyesho ya wiki ya Asasi za kiraia jijini Dodoma kesho Washiriki 800 kutoka asasi za Kiraia zaidi ya 250 watashiriki , kuanzia Oktoba 22 hadi 26 mwaka huu Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi mtendaji wa The Foundation …

Read More »

WAKAZI WA VIJIJI KUMI NA MBILI WANAOZUNGUKA MSITU WA HIFADHI YA SERIKALI WA NGEZI VISIWANI PEMBA WAANZA KUNUFAIKA NA MATUMIZI YA MAJIKO

885-768x512

Na Masanja Mabula –Pemba WAKAZI wa vijiji kumi na mbili vinavyozunguka hifadhi ya msitu wa Serikali wa Ngezi kisiwani Pemba wameanza kunufaika na matumizi ya majiko ya mkombozi kutoka Jumuiya ya Vijana Tumbe yanayotumia kuni kidogo. Utumiaji wa majiko hayo utasaidia kudhibiti vitendo vya  hujuma ndani ya hifadhi hiyo vinavyofanywa …

Read More »

DKT. MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA 37 LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO

6.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akijaribu moja ya fulana alizopatiwa na Mjasaliamali mchoraji Baraka Aj (kulia) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo yanaliyofunguliwa rasmi jana jumamosi Oktoba 20, 2018. Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. …

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA KUBOMOLEWA KWA UZIO NA KUSITISHA UJENZI

PMO_9547

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Bw. Godwin Kunambi kubomoa uzio wa mabati uliojengwa kwenye eneo la wazi lililotengwa kwa ajili ya kuchezea watoto na kusitisha mara moja shughuli za ujenzi kwenye eneo hilo. Pichani, Waziri Mkuu akimwonyesha Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi   ( …

Read More »

FAINALI ZA MASHINDANO YA VILABU VYA KODI ZAFANA

PICHA 1

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere akiwakabidhi zawadi wanafunzi wa St. Joseph wakati wa fainali za mashindano ya vilabu vya kodi kwa Shule za Sekondari za Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani zilizofanyika katika Chuo cha Usimamizi wa Kodi (ITA) Jijini Dar es Salaam. …

Read More »

Wateja wa Tigo Sasa Wanaweza Kununua Maudhui Mtandaoni Kupitia Tigo Pesa

Tigo-live-it-love-it

*Tigo Pesa na Google team waungana kuwezesha Watanzania kulipia maudhui au application yoyote inayopatikana Google Play Store …………………………………………………….. Je umewahi kutaka kununua muziki, cinema, apps au kusoma maudhui kwenye mtandao wa Google Play Store lakini ukashindwa kufanya hivyo kwa sababu hukuwa na kadi ya benki? Tangu Juni ya mwaka huu, …

Read More »

MRADI WA EADD KUKUZA SOKO LA TASNIA YA MAZIWA NCHINI

maziwa+pic

Na Ismail Ngayonga-MAELEZO-DAR ES SALAAM TAKWIMU ya zao la maziwa nchini zinaonyesha kuwa, Tanzania inazalisha maziwa lita bilioni 2.4 kwa mwaka,  ambapo 70% huzalishwa na Ng,ombe wa asili ambao uzalishaji wake ni kati ya lita moja mpaka lita tano kwa siku. Wakati  Shirika la Afya Duniani  (WHO) na Shirika la chakula na Kilimo (FAO) …

Read More »

MAOFISA WA POLISI WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR

POLICE TOUR 2

    Maofisa wa Jeshi la Polisi wakimsikiliza Meneja wa ubora wa TBL,Rebecca Semoka kuhusiana na mchakato wa uzalishaji bia walipotembelea kiwanda cha Ilala. Maofisa wa Jeshi la Polisi wakiangalia mitambo ya uzalishaji bia Maofisa wa polisi wakipata maelezo kuhusu shughuli za TBL Wakipatiwa maelezo ya jinsi vitengo mbalimbali vinavyofanya …

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA MRADI WA UMWAGILIAJI MPWAYUNGU UKAGULIWE

PMO_9119

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Bilinith Mahengeampeleke Afisa Kilimo wa mkoa Bw. Bernad Abraham  akakague mradi wa umwagiliaji wa Mpwayungu wilayani Chamwino ili kubaini waliohusika na ubadhilifu wa sh. bilioni 1.2 za mradi huo. Alitoa agizo hilo jana jioni (Jumamosi, Oktoba 20, 2018) baada ya mbunge wa jimbo …

Read More »