Tuesday , March 26 2019

Home / 2018 / October / 22

Daily Archives: October 22, 2018

RC KATAVI ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA ILUNDE-MLELE

index

Atoa WIKI MBILI kwa uongozi wa Wilaya ya Mlele umuonyeshe eneo la kujenga HOSPITALI YA WILAYA: Asema serikali imeshaleta Fedha shilingi milioni 500 za ujenzi wa hospitali ya Wilaya hivyo haoni sababu ya kuendelea kuchelewa kuanza ujenzi Mkuu wa mkoa leo ameshiriki ujenzi wa Kituo cha Afya ILUNDE na kuwapongeza …

Read More »

USHIRIKIANO WA TAASISI ZA DINI NA SERIKALI NI MUHIMU-MAJALIWA

PMO_9865

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hasani Bin Mussa Kabeke wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza  Oktoba 22, 2018 akiwa njiani kwenda mkoani Simiyu ambako kesho anatarajia kufungua maonesho ya wajasiriamali.   Sheikh huyo amechaguliwa hivi karibuni kushika wadhifa huo. Kushoto ni …

Read More »

MAJALIWA AWASILI JIJINI MWANZA

PMO_9861

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hasani Bin Mussa Kabeke wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza  Oktoba 22, 2018 akiwa njiani kwenda mkoani Simiyu ambako kesho anatarajia kufungua maonesho ya wajasiriamali.   Sheikh huyo amechaguliwa hivi karibuni kushika wadhifa huo. Kushoto ni …

Read More »

TFDA YATOA ELIMU YA MADHARA YA SUMUKUVU KWA WASINDIKAJI

DSC_0054

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw.Maduka Kessy akizungumza na wajasiriamali hawapo picha wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wasindikaji wadogo wa bidhaa za unga,unga mchanganyiko ( Composite Flour)na siagi ya karanga yanayofanyika Jijini hapa Baadhi ya washiriki wa Mafunzo ya wasindikaji wadogo wa bidhaa za unga,unga mchanganyiko ( Composite Flour)na …

Read More »

Mkurugenzi aondoa sintofahamu kuhusu Sumbawanga mpya

SUM

Mkurugenzi wa manispaa ya Sumbawanga Jacob Mtalitinya.   ………………………………………………………………………………….. Mkurugenzi wa Mnaispaa ya Sumbawanga Jacob Mtalitinya ameondoa sintofahamu iliyokuwa imesambaa katika manispaa hiyo juu ya maagizo na maelekezo mablimbali aliyoyatoa katika kuboresha huduma kwa kukusanya mapato na kumsaidia mwananchi mmoja mmoja kujiboreshea maisha katika manispaa hiyo. Mtalitinya alisema kuwa sula la …

Read More »

JENGA TANZANIA IMARA NA LUCKY CEMENT

New Picture (1)

JE WEWE NI MKANDARASI? , JE UNA DUKA LA VIFAA VYA UJENZI ?  JE WEWE NI MWAAJIRI/ SACCOS /VICOBA AMBAO WANAWEZA KUWADHAMINI WAFANYAKAZI WAO KUPATA CEMENT? AINA ZA CEMENT ZETU NI 32.5 CEM II NA 42.5 CEM I JE UNGEPENDA KUA WAKALA WA LUCKY CEMENT  KATIKA MKOA WOWOTE  TANZANIA? WASILIANA …

Read More »

SERIKALI YAWATAKA WATANZANIA KUJIKITA KATIKA UJASIRIAMALI

SI

Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega akiteta jambo na mtunzi wa kitabu Maida WaziriWATANZANIA wametakiwa kuwa na msukumo wa kuthubutu kuanzisha shughuli za ujasiriamali ambazo zitakua na kuleta tija kwake yeye mwenyewe na kwa taifa kwa ujumla.Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama …

Read More »

TGNP Yawapika Wana GDSS kuhusu Swala La Uwajibikaji

IMG_1169

Viongozi na wanajamii kutoka sehemu mbalimbali za jiji la Dar es salaam wahimizwa kuhusu maswala mtambuka ya kufahamu haki na wajibu wao katika uwajibikaji kwa ngazi ya mtaa na kata.  Afisa Programu ya Harakati na Ujenzi wa Nguvu za Pamoja Anna Sangai akitoa ufafanuzi wa jambo fulani mbele ya washiriki …

Read More »

RC MAKONDA ATANGAZA FURSA KWA VIJANA WENYE UTAALAMU WA IT

index

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda anawaalika vijana wote wenye utaalamu wa Teknolojia yani IT kufika Ofisini kwake Tar 01/11/2018 Asubuhi kwaajili ya kuunda Mfumo wa kuratibu Uwajibikaji wa Watendaji wa Umma ilikuhakikisha kero na malalamiko ya wananchi yanashughulikiwa kwa uharaka. Mfumo huo utakuwa ukipokea malalamiko …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI MBUNGE WA MAKETE PROFESA NORMAN SIGALA AMBAYE AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mbunge wa Makete Profesa Norman Sigala King ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Mbunge wa Makete Profesa Norman Sigala King ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es …

Read More »

DC KINONDONI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MWENGE

1

  Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Daniel Chongolo akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Mwenge alipokutana nao kwenye ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo kulia ni Kazi Maduhu Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni na kushoto ni Mweka hazina wa Manispaa hiyo Bw. Max Tabonwa. …

Read More »

MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA JIPYA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, AWATAKA WAJUMBE WALIOTEULIWA WATHIBITI AJALI NCHINI

PIX 1

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akifurahi jambo wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa (kushoto) alipokua anazungumza katika kikao cha kwanza cha …

Read More »

AMMY NINJE ATEULIWA KUWA MKURUGENZI WA UFUNDI WA TFF

images

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemthibitisha Ammy Conrad Ninje kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa shirikisho hilo. Ninje anachukua nafasi ya Oscar Milambo aliyekuwa anakaimu nafasi hiyo kwa muda tangu katikati ya mwaka kufuatia Salum Madadi kubadilishiwa majukumu. Mchezaji huyo wa …

Read More »

ZIDISHENI MATUMIZI YA TEHAMA MAHAKAMANI: JAJI MZUNA

1

Jaji Mfawidhi-Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, Mhe. Mosses Mzuna  (aliyesimama) akizungumza na Watumishi wa Mahakama ya Wilaya Ngorongoro. Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Ngorongoro,  Mhe. Demetrio Nyakunga akisoma taarifa ya utendaji wa Mahakama hiyo mbele ya Mhe. Jaji Mfawidhi. Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha,  Mhe. Mosses …

Read More »

MWL.RAYMOND AITIKISA JANG’OMBE

DSC_0724

KATIBU Mkuu wa UVCCM Mwl.Raymond Mwangwala akiwahutubia wananchi katika kampeni za kumnadi mgombea wa CCM nafasi ya Uwakilishi Ramadhan Hamza Chande  katika Mkutano uliofanyika uwanja wa Tawi la CCM Kidongo Chekundu. Mgombea uwakilishi tiketi ya CCM Jimbo la Jang’ombe  ndugu Ramadhan Hamza Chande(kushoto) akiomba kura za ndio katika mkutano huo …

Read More »

RIDHIWANI KIKWETE AUNGANA NA WASANII KUMZIKA MASHAKA

Ridhiwani Kikwete akiteta jambo na wasanii mbalimbali waliojitokeza kwenye maziko ya msanii mwezao Mashaka jana.

Na Shushu Joel,Dar MBUNGE wa jimbo la chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete ameungana na wasanii wa kada mbalimbali katika kumzika msanii maarufu wa maigizo nchini Ramadhani Ditopile aliyewai kuwa msanii wa kundi la sanaa la kaole. Mashaka alifariki juzi asubui wakati akiwa anapata matibabu katika hospital ya …

Read More »