Monday , February 18 2019

Home / 2018 / October / 23

Daily Archives: October 23, 2018

Mapato Sekta ya Madini Yaongezeka Maradufu

kai

Frank   Mvungi- MAELEZO Mapato yanayotokana na madini ya Tanzanite yameongezeka kutoka milioni 166 mwaka 2015 hadi zaidi ya shilingi bilioni 1.28 kwa kipindi cha Januari hadi Septemba 2018. Akizungumza  katika kipindi cha “TUNATEKELEZA” Waziri wa Madini Mhe. Angellah Kairuki amesema kuwa kuongezeka kwa mapato hayo ni matokeo ya hatua zilizochukuliwa …

Read More »

WAJUMBE WAPYA WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI WAPIGWA MSASA WA MASUALA YA USALAMA BARABARANI ILI KUWAJENGEA UWEZO KATIKA UTEKELEZAJI WAO WA MAJUKUMU YA BARAZA

PIX 2

NDG.  MACKPHASAN BUBERWA, WAKILI NA AFISA MABORESHO YA SHERIA NA KESI MKAKATI TOKA TANGANYIKA LAW SOCIETY(TLS) AKIWASILISHA MADA KUHUSIANA NA MASUALA YA USALAMA BARABARANI KATIKA NGAZI YA KIMATAIFA KWA WAJUMBE WAPYA WA BARAZA JIPYA LA USALAMA BARABARANI KATIKA SEMINA YA KUHUSIANA NA KANUNI ZA USALAMA BARABARANI ILIYOANDALIWA NA TANGANYIKA LAW …

Read More »

Wadau Wanaosimamia Kemikali Hatarishi Wakumbushwa Kujisajili

DSC_0259

Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko, akiongea wakati wa ufunguzi wawarsha ya siku moja na wadau wanaojishughulisha na usimamizi wa mizigo ya kemikali hatarishi (Dangerous Cargo) nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania, Da es Salaam leo. Katibu wa Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania, …

Read More »

TEMBO WAHARIBU MAZAO YA WAKULIMA SEGWA HUKO FUKAYOSI

IMG-20181023-WA0028

  Mbunge jimbo la Bagamoyo, Dk.Shukuru Kawambwa akizungumza katika ziara yake aliyoifanya Mwavi kata ya Fukayosi ,Bagamoyo Mkoani Pwani .Mwenyekiti wa kijiji cha Mwavi,Shabani Mkumbi akielezea tatizo la uvamizi wa tembo kwa Mbunge wa jimbo la Bagamoyo Picha na Mwamvua Mwinyi   ………………………. NA MWAMVUA MWINYI, FUKAYOSI   BAADHI ya …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

1

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza tunawashikilia watu wawili  ambao ni Yasini Julius, miaka 36, mkazi wa Mwananchi na Lyidia Teonest, miaka 30, mkazi wa Mahina, kwa kosa la kupatikana  na dawa za kulevya aina ya bhangi inayokadiriwa kuwa na uzito wa kilogramu 240 ikiwa imehifadhiwa kwenye mifuko mitano ya …

Read More »

Safari ya kufikisha Asali ya Tanzania kimataifa Yaiva

IMG_0179

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Japhet Justine  (wapili kulia) akizungumza na ugeni kutoka na Kampuni ya Follow the Honey Tanzania inayojishughulisha na uzalishaji wa asali nchini kuhusu utayari wa TADB katika kuchagiza uzalishaji wa asali kwa ajili ya kukidhi soko la ndani na nje ya nchi. Wanaomsikiliza ni Mwanzilishi …

Read More »

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA KABLA YA VIKAO VYA BUNGE KUANZA JIJINI DODOMA

PIX 2

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto) akifurahi jambo wakati alipokua anazungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mussa Zungu, wakati walipokua wanatoka katika kikao cha Kamati hiyo, kilichofanyika Bungeni, jijini Dodoma leo. Waziri wa Mambo ya Ndani …

Read More »

KAMATI ZA BUNGE ZAFANYA VIKAO JIJINI DODOMA

PAC 1

       Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma leo. Wajumbe hao wakiongoozwa na Mwenyekiti Mhe. Naghenjwa Kaboyoka wamekutana na Mwenyekiti wa Bodi na Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari  (TPA).   Viongozi …

Read More »

UMOJA WA MATAIFA KUADHIMISHA MIAKA 73 TOKEA KUANZISHWA

UN pic 1 Mhe. Ndumbaro

Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akizungumza na Waandishi leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere ikiwa ni matayarisho ya kusherehekea miaka 73 ya Siku ya Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 24 Oktoba husherehekewa Duniani kote na …

Read More »

WAZIRI MKUU AITAKA SIDO KUBUNI TEKNOLOJIA RAFIKI

PMO_0229

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Maonesho ya Shirika la  Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kwenye uwanja wa Nyakabindi mkoani Simiyu, Oktoba 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Badhi ya wananchi wa  mkoa wa Simiyu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kufungua Maonesho ya Shirika …

Read More »

VIGOGO WA WETCU WANAYOKESI YA KUJIBU

index

NA MWANDISHI WETU TABORA Hakimu Mkazi  Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Tabora Chiganga Mashauri amesema kuwa waliokuwa viongozi wa chama Kikuu cha Wakulima wa zao la Tumbaku Kanda ya Magharibi (WETCU) wanayo kesi ya kujibu hivyo wanatakiwa kuleta utetezi wao.   Uamzi huo umetolewa jana na Hakimu Chiganga baada …

Read More »

SERIKALI YAAINISHA DAWA MUHIMU ZINAZOPATIKANA MSD

????????????????????????????????????

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akifafanua hali ya upatikanaji wa dawa nchini  kwa wajumbe wa kamati ya Bunge ya Huduma za jamii nchini hawapo pichani wakati wa kikao cha kamati ya hiyo kinachoendelea katika ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Read More »

GEKUL AIKACHA CHADEMA,ALA KIAPO KUITUMIKIA CCM

IMGL0884

Na John Walter-Babati Aliyekuwa Mbunge Wa Jimbo La Babati Mjini Kupitia Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo [CHADEMA] Paulina Gekul Amepokelewa Rasmi Na Chama Cha Mapinduzi Pamoja Na Aliyekuwa Diwani Wa Kata Ya Maisaka Kupitia Chama hicho Abrahamani Kololi,Mara Baada Ya Kujivua Uanachama Huo kwa kile Walichokieleza ni kuchoshwa na Mambo …

Read More »

SERIKALI KUPUNGUZA MATATIZO KWA WAKATI, YAAGIZA MFUMO WA KIELEKTRONIKI UFUNGWE HOSPITALI NA VITUO AFYA CYA UMMA

DSC06691

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA SERIKALI imesema haiwezi kutatua matatizo yote ya wananchi kwa wakati mmoja bali itaendelea kupunguza changamoto zinazoikabili jamii katika sekta ya afya na barabara. Pia imeipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kwa kutekeleza kwa ufanisi mkubwa miradi ya sekta ya afya na miundombinu ya barabara na kuwawezesha …

Read More »

JAFO AWATWISHA MZIGO MEYA, MKURUGENZI MANISPAA YA ILEMELA

DSC06694

Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo akikagua miradi ya ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela. Mhandisi Charles Mathias wa kampuni ya Ushauri ya Nimeta Consultancy akimwelekeza jambo Waziri …

Read More »

MKUU WA OPERESHENI MAALUM ZA JESHI LA POLISI NCHINI NAIBU KAMISHNA SABAS AKIZUNGUMZA NA WANAVIJIJI WA MKOA WA MTWARA NA KUKAGUA VIPENYO WANAVYOTUMIA WAHALIFU KUKIMBILIA NCHINI MSUMBIJI

1

Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akitoa Elimu kwa wanakijiji wa Chikong’o, Wilayani Tandahimba, Mkoa wa Mtwara juu ya kukabiliana na wageni wanaoingia maeneo hayo wakitokea sehemu mbalimbali za Nchi na Nchi jirani ya Msumbiji hiyo itasaidia kupunguza uhalifu katika maeneo na …

Read More »

UKAGUZI WA MIRADI YA BUNGE INAYOTEKELEZWA NA SUMA JKT

SUMA JKT 3

Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Hussein Ally Mwinyi alipomtembelea ofisini kwake leo mjini Dodoma. Waziri mwinyi ametembelea Ofisi ya Bunge kukagua miradi mitatu 3 ya ujenzi ya inayotekelezwa na Suma JKT.   Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai na Waziri …

Read More »

NECTA YATANGAZA MATOKEO DARASA LA SABA, YATAZAME HAPA

msonde

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (darasa la saba) kwa mwaka 2018 ambapo matokeo yanaonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 4.76% tofauti na ufaulu wa 2017 ambao ulikuwa asilimia 72.76% Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mkuu wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde, …

Read More »