Monday , February 18 2019

Home / 2018 / October / 24

Daily Archives: October 24, 2018

SHIRIKA LAPANDA MITI 150 KWA SHULE MBILI ZA SEKONDARI ARUSHA

images

Na Ahmed Mahmoud, Arusha Shirika la Hand in Hand Eastern Afrika, linalojihusisha na utoaji wa mafunzo ya ujasirimali ,limegawa miti ya kivuli 150  katika shule ya sekondari ya Losurway na Ngarenaro zilizopo katika jiji la Arusha kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi kutunza mazingira. Akizungumza wakati wa kupanda  miti hiyo, Meneja …

Read More »

MAZUNGUMZO YA AMANI YA BURUNDI KUFANYIKA LEO BAADA YA KUAHIRISHWA JANA

burundi-flag-amp-map-vector-14215783

Na Ahmed Mahmoud Arusha Mazungumzo ya usuluhishi ambayo yalikuwa yaanze jana yamekwama baada ya serikali kutotuma wawakilishi katika mazungumzo hayo yanayotarajiwa kuanza kesho baada ya leo kuahirishwa baada ya taarifa za serikali ya Burundi kutokuta mwakilishi katika kazungumzo hayo. Mazungumzo hayo ya tano yanazozikutanisha asasi za kiraia vyama vya kisiasa …

Read More »

WACHIMBAJI WA MADINI WAPEWA ELIMU JUU YA TAHADHARI YA MIONZI

_91064117_pic-wachimbaji

Na Ahmed Mahmoud Arusha Zaidi ya wataalamu 20 kutoka katika kampuni mbalimbali za uchimbaji madini nchini wanatarajiwa kuwa mabalozi chanya katika kutoa elimu kuhusu tahadhari na matumizi sahihi ya mionzi kwa wachimbaji pamoja na jamii.  Akizungumza na wataalamu hao mkurugenzi wa tume ya nguvu za mionzi (Atomic) Profesa Lazaro Busagala …

Read More »

MHAGAMA: UNGENI MKONO JITIHADA ZA SERIKALI

????????????????????????????????????

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mkurungezi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la UNICEF, Nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Leila Pakkala alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma, Oktoba 24, 2018. Waziri wa …

Read More »

MTAWALA WA RAS AL KHAIMAH ATETA NA DK.SHEIN LEO

DSC_6661

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh   Saud bin Saqr  Al  Qasimi   (kushoto) wakati   alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kabla ya kuondoka nchi akimaliza ziara yake akiwa na ujumbe wa Viongozi  mbali mbali …

Read More »

Idadi wa wachangiaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF)waongezeka

IMG-20181024-WA0032

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii leo  jijinini Dodoma ambapo alisema wachangiaji wa mfuko huo wameongezeka kutoka wanachama 164,706 mwaka 2001/2002 hadi …

Read More »

Kongamano la Biashara Kufanyika kesho

MWIJAGE+PIC

Na Grace Semfuko-MAELEZO. WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la wafanyabiashara wa Tanzania na Ubelgiji litakalofanyika tarehe 25-27 Oktoba mwaka huu na kushirikisha makampuni 41 na wafanyabiashara wakubwa 200. Kongamano hilo litakaloanza kesho Alhamisi Jijini Dar Es linalenga kujenga uzoefu na kutangaza fursa za …

Read More »

TUME YAONYA WATAKAOHARIBU UCHAGUZI

1

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mbarouk Salum Mbarouk akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kwa wasimamizi wa uchaguzi yanayofanyika jijini Dodoma ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo manne na kata 47 za Tanzania Bara. Baadhi ya wakuu wa idara …

Read More »

Twanga Pepeta yato reflekta kwa bodaboda Kinondoni

IMG_8863

Dar es Salaam. Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 20 ya bendi ya African Stars (Twanga Pepeta), imekabidhi viakisi mwanga (Reflectors) kwa madereva wa bodaboda wa Manispaa ya Kinondoni kama kumbukumbu ya gwiji wa bendi hiyo Abuu Semhando “Baba Diana” aliyefariki kwa ajali ya pikipiki. Twanga Pepeta itafanya onyesho lake la …

Read More »

TANZANIA HAKUNA UBANAJI WA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI-MAJALIWA

PMO_1713-768x666

*Asisitiza kwa  atakayeenda kinyume na sheria, Serikali itamuwajibisha WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kwamba nchini Tanzania hakuna ubanaji wa uhuru wa vyombo vya habari wala taasisi zisizo za kiserikali. Amesema jambo hilo linadhihirishwa na uwepo wa jumla ya vituo vya redio 152, ambavyo kati yake ni vituo vitatu tu ndivyo vinavyomilikiwa na Serikali. …

Read More »

VIBARUA VYA MADEREVA WA SERIKALINI HATARINI

PIX 1

  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na waandishi wa habari na wajumbe wa Baraza hilo, ambapo aliwataka madereva wa magari ya Serikali kufuata sheria za barabarani na atakaye vunja sheria hizo atakamatwa, …

Read More »

MAHAKIMU MBULU, WAKUMBUSHWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KIKAMILIFU

2

Jaji Mzuna akikagua majalada ya Mahakama ya mwanzo ya Endagikot wilayani Mbulu. ……………………… Na Catherine Francis, Mahakama Kuu Arusha Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu- Kanda ya Arusha, Mhe. Mosses Mzuna, amewakumbusha Mahakimu kutekeleza wajibu wao ipasavyo ili kuhakikisha haki inatendeka kwa kila mwananchi na kwa wakati. Akiwa ziarani Mahakama ya Wilaya …

Read More »

Muhimbili, TAPSEA Yawapiga Msasa Makatibu Muhtasi Nchini

003

Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala katika Hispitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Makwaia Makani akifungua semina ya siku tatu ya makatibu muktasi nchini  kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili, Prof. Lawrence Museru. Semina hii inafanyika Muhimbili na inashirikisha makatibu muhtasi kutoka katika mikoa 13 nchini. Baadhi ya makatibu muhtasi kutoka …

Read More »

RC Wangabo Aagiza kushughulikia Udumavu kuongeza Ufaulu

IMG_4381

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo   ………………… Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewaagiza wakurugenzi kushirikiana na madiwani kuhakikisha suala la kupunguza udumavu katika mkoa wa Rukwa linakuwa ni ajenda ya kudumu katika vikao vya mabaraza ya madiwani pamoja na mikutano ya hadhara katika kuwaeleimisha wananchi …

Read More »

MKATABA WA MAKUBALIANO YA PARIS KUIWEKA SALAMA TANZANIA

WhatsApp-Image-2018-09-28-at-16.45.163

Na Ismail Ngayonga,MAELEZO,DAR ES SALAAM MABADILIKO ya tabia nchi ni mabadiliko ya mtiririko wa mfumo wa hali ya hewa yanayochukua muda mrefu au mfupi na kusababisha hali mbaya za hewa ama uchache wa hali inayohitajika na kusababsisha madhara. Inaelezwa kuwa kwa kiasi kubwa, mabadiliko ya hali ya hewa yanasabishwa na …

Read More »