Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / October / 25

Daily Archives: October 25, 2018

WAZIRI LUKUVI AAGIZA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA USHIRIKA KUTOONDOLEWA ENEO LA LAMBO ESTATE NA KUPATIWA EKARI MBILI KILA MMOJA

DSC_4448

  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimsikiliza Meneja wa Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools Manufacturing Co Ltd cha eneo la Viwanda la Weruweru wilaya ya Hai Andreano Nyaluke wakati wa ziara ya kushughulikia migogoro ya ardhi katika mkoa wa Klimanjaro. Waziri wa Ardhi Nyumba …

Read More »

UFUNGAJI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI UWAKILISHI JIMBO LA JANG’OMBE

DSC_8424

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akihutubu wananchi wa Chama cha Mapinduzi katika mkutano wa hadhara wa ufungaji wa kampeni za Uwakilishi uliofanyika leo viwanja vya Matarumbeta  katika jimbo la Jang’ombe Wilaya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AKAGUA ENEO LA UJENZI WA BANDARI BAGAMOYO

JPEG. NA. 1

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akifafanua jambo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu wakati wa ziara yake kwenye eneo la ujenzi wa bandari, Bagamoyo mkoani Pwani Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akigusa …

Read More »

TUNAFANYA KAZI KWA KUZINGATIA KATIBA NA SHERIA NA SIO KWA SHINIKIZO – DPP

IMG_0089

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) akizungumza katika mkutano wake na wanahabari jijini Dodoma alipokuwa akizungumzia kufikishwa mahakamani kwa watumishi waa makampuni ya uchimbaji dhahabu nchini na makampuni yao Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) akizungumza katika mkutano wake na wanahabari jijini Dodoma alipokuwa akizungumzia kufikishwa mahakamani kwa watumishi waa makampuni ya …

Read More »

WANANCHI WA CHALINZE WAHAKIKISHIWA KUPATA MAJI APRIL 2019-SAMIA

25

NA MWAMVUA MWINYI, CHALINZE  SERIKALI imewahakikishia wananchi wa jimbo la Chalinze ,mkoani Pwani kuwa wataondokana na tatizo la maji na kubaki historia ifikapo mwezi april mwakani.  Tatizo la maji limekuwa likiwapa shida wananchi hao kwa miaka mingi hali iliyokuwa ikiondoa imani na serikali yao.  Akizungumza na wakazi wa Chalinze, makamu …

Read More »

USAILI WA BONGO STAR SEARCH KUFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAONI

index

  Dar es Salaam  Baada ya kukamilika kwa Usaili wa Shindano la Bongo Star Search katika mikoa minne Tanzania bara, Mwanza, Arusha, Mbeya and Dar es Salaam sasa usaili unaendelea kupitia Mitandao ya kijamii hasa Instagram na Facebook. Usaili huo wa mtandaoni unatarajiwa kudumu kwa muda wa wiki tatu kuanzia …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA YAKE BAGAMOYO

21

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasa Mhandisi Cyprian Luhemeja (kulia) ya miundo mbinu ya maji itakavyokuwa mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa tanki la maji litakalokuwa na uwezo wa kubeba lita milioni 6, …

Read More »

UNESCO kufunza elimu ya dijiti kwa wanafunzi 200

JITAMBULISHA

   Mkufunzi Kiongozi kutoka Shirika lisilo la kiserikali la Apps and Girls, Bw. Wilhelm Oddo akitambulisha msafara aliombatana nao akiwemo Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Bi. Nancy Kaizilege(wa tano kushoto) kwenye ofisi za walimu wa Shule ya Sekondari …

Read More »

Dkt. Ndumbaro Amekutana kwa Mazungumzo na Balozi wa China

1H7A2183

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya watu wa China Mhe. Wang Ke, katika mazungumzo hayo yaliyojikita katika kuimarisha mahusiano kwenye sekta mbalimbali zikiwemo Elimu, biashara, kilimo na teknolojia. Pamoja na mambo mengine …

Read More »

Tanzania na Ubelgiji Kushirikiana Sekta ya Uwekezaji

2

Naibu Waziri , Wizara ya Viwanda,  Biashara na Uwekezaji, Injinia  Stella Manyanya akiwahutubia washiriki wa kongamamano  la uwekezaji na biashara (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo uliofanyika  mapema leo Jijini  Dar es Salaam. Baadhi ya washiriki wa kongamano  la uwekezaji baina  ya Makampuni 41 kutoka Ubelgiji na Sekta …

Read More »

AWAMU YA TANO YA MAZUNGUMZO YA KUSAKA AMANI YA BURUNDI YAANZA LEO

DSCF0075

Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin mkapa akifungua majada wa mazungumzo ya kusaka amani ya nchi ya Burundi kwenye ukumbi wa mikutano wa Ngurdoto Mountain Lodge leo wilayani Arusha   ……………………….. Na Ahmed Mahmoud Arusha Serikali yashindwa kushiriki licha ya juhudi za msulushi, kundi kubwa la viongozi washiriki wakiwemo …

Read More »

DKT.AKUTANA NA MRATIBU WA UN HAPA ZANZIBAR

DSC_7681

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) hapa Zanzibar Bibi.Dorothy Temu-Usiri (katikati) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) …

Read More »

WATENDAJI WAKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI WAENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA, BUNGENI JIJINI DODOMA

PIX 1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (katikati), akimfafanulia jambo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt. Arnold Kihaule, wakati walipokua wanatoka katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika Bungeni, jijini …

Read More »

Wanaotoa Vitisho kwa Walimu Wapewa Angalizo

1

Katibu, Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu, Bibi Winifrida Rutaindurwa akitoa hotuba mbele ya Walimu Wakuu, Wakuu wa Shule, Maafisa Elimu Kata na Wathibiti Ubora (hawapo pichani) wa Manispaa ya Jiji la Dodoma katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Dodoma. Kulia ni Kaimu Katibu Msaidizi Wilaya ya Dodoma, …

Read More »

IGP SIRRO AWATAKA WANANCHI WA UVINZA MKOANI KIGOMA KUENDELEA KUTOA TAARIFA SAHIHI ZITAKAZOFANIKISHA KUWAKAMATA WALIOJIHUSISHA NA MAUAJI YA ASKARI POLISI

2

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Uvinza Mhe. Mwanamvua Mlindoko, wakati alipowasilia wilayani Uvinza Tarafa ya Nguruka mkoani Kigoma Jana 24/10/2018, kwa lengo la kuzungumza na wananchi kufuatia tukio la kushambuliwa na kuuawa kwa askari wawili na wingine mmoja kujeruhiwa wakati wakitekeleza …

Read More »