Monday , December 10 2018

Home / 2018 / October / 26

Daily Archives: October 26, 2018

TAIFA STARS YAPANGUA RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU TANZANIA BARA

Taifa Stars

  Ofisa Mtendaji wa Bodi ya Ligi Tanzania Bara (TPL), Boniphace Wambura amesema wameamua kusogeza mbele baadhi ya mechi kupisha maandalizi ya timu ya taifa itakayoweka kambi Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) dhdi ya Lesotho. Mechi hizo pamoja na …

Read More »

AZAKI ZALITAKA BUNGE KUTOKUPITISHA MISWADA YA DHARURA

BUNGE JUNI 14

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na washiriki mbali mbali kutoka Asasi za kirai (hawapo kwenye picha) wakati akifunga maonyesho ya Asasi za Kiraia 2018 yenye kauli mbiu“Tanzania yaViwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” yaliyofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 katika ukumbi wa African Dream Jijini Dodoma. Washiriki Mbali mbali …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIFUNGA MAONYESHO YA ASASI ZA KIRAIA 2018 YALIYOFANYIKA JIJINI DODOMA

q

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society (FCS), Bw. Francis Kiwanga wakati alipowasili katika ufungaji wa maonyesho ya Asasi za Kiraia 2018 yenye kauli mbiu “Tanzania yaViwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” yaliyofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 katika ukumbi wa African …

Read More »

MWANZA KUFURIKA NA VIBE KAMA LOTE LA TIGO FIESTA 2018

1

Mkuu wa Mkoa Wa Mwanza, Mhe. John Mongella akizungumza na waandishi wa habari leo kufungua rasmi pazia la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote litakalofanyika jumamosi hii uwanja wa CCM Kirumba Mkoani humo. Wengine pichani kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa,Uthman Madati na Msanii Nikki Wa Pili. Mkuu wa …

Read More »

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MKURANGA LEO

19

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kutengenezea Gypsum Board kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Knauf kilichopo Mwanambaya Mkuranga Bw. Zachopolous Georgions. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa Rais wa …

Read More »

WAKAGUZI WA BIO-TEKNOLOJIA YA KISASA WAPEWA MAFUNZO

3

Katika jitihada za kuendelea kukuza uelewa wa wadau na jamii nzima kuhusu matumizi salama ya teknolojia ya uhandisi jeni /bio-teknolijia ya kisasa, Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Shirika la NEPAD chini ya Umoja wa Afrika hii leo wamefanya mafunzo kwa wataalamu kutoka  Wizara na Taasisi za Serikali …

Read More »

Muhimbili yawatunuku vyeti Makatibu Muhtasi nchini

????????????????????????????????????

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru akimkabidhi cheti Katibu Muhtasi wa Mamlaka ya Bandari Zanzibar, Bi. Zainabu Abdallah baada ya mkurugenzi huyo kuhitimisha mafunzo ya siku tatu jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa ukimwi.   Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mafunzo hayo leo ambayo yamefanyika …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

index

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linatoa rai kwa wazazi na walezi kuwa makini na watoto wao wadogo ikiwa ni pamoja na kuwawekea uangalizi mzuri kwa muda wote ili kuepuka madhara yanayoweza kuwapa watoto hao pindi wanapokuwa wenyewe. Kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na matukio ya watoto kuanzia umri …

Read More »

Mwanafunzi Bora Kitaifa Ataka kufika Sayari za Mbali

IMG_20181024_155248

Na Ahmed Mahmoud,Arusha Mwanafunzi aliyehitimu darasa la saba  katika shule ya msingi Tumaini Junior  iliyopo wilayani Karatu mkoani Arusha na kushika nafasi ya tatu Kitaifa,Given  Malyango(13) ambaye amechaguliwa kuwa mwanafunzi bora Kitaifa,ameeleza matumaini yake makubwa ni kuwa wanasayansi mwenye uwezo wa kufanya tafiti mbalimbali kwenye  sayari zilizo nje ya Dunia …

Read More »

SERIKALI YAITAKA WIZARA YA KILIMO IJITATHMINI

PMO_1970

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Wakuu wa Mikoa  ya Mtwara, Lindi, Pwani na Ruvuma  ambayo inalima  korosho na  imeanza kuuza zao hilo, wakuu  wa wilaya za mikoa hiyo, Wenyeviti  wa Vyama Vikuu vya Ushirika katika mikoa hiyo na Viongozi wa Juu wa Bodi ya Korosho Tanzania  kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Oktoba 26, 2018. …

Read More »

RC TABORA AWATAKA WAFANYABIASHARA MKOANI HUMO KUTOWA WATAZAMAJI BALI WAWE MSTARI WA MBELE KATIKA UWEKEZAJI

4

.Baadhi ya wakazi wa Tabora na hasa wafanyabiashara  na Wajasiriamali wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(hayupo katika picha) wakati akiwatangazia jana juu ya Jukwaa la Biashara na Uwekezaji litakalofanyika mwishoni mwa Mwezi Novemba mwaka huu. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(kulia) akibadilishana mawazo jana na Mkuu wa Wilaya …

Read More »

CHOO CHATITIA KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU

hea3

  Jengo la choo cha shule ya Msingi ya Seliani katika kijiji cha Olevolosi kata ya kimnyaki Wilaya ya Arumeru limetitia  katika tukio hilo ameokolewa  Mwanafunzi Mmoja wa Kiume aliepata majeraha sehemu na bado  jitahada za kuondoa kifusi kilichochanganyikana na matofali ambacho kimezama katika Shimo la choo kilichokuwa na matundu …

Read More »

CCM YASHINDA KITI CHA MWENYEKITI WA HALMASHAURI MONDULI

index

Na Ahmed Mahmoud Arusha CHAMA Cha Mapinduzi CCM kimeshinda kwa kwa kishindo katika uchaguzi wa mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli mkoani hapa baada ya aliyekuwa  mgombea wa wa nafasi hiyo kwa tiketi ya CHADEMA Rita Mona kujitoa kwenye kinyang’anyiro hicho. Licha ya Rita diwani wa kata ya Monduli …

Read More »

ZAWA YATAKIWA KUONGEZA VITUO VYA KULIPIA HUDUMA YA MAJI

index

Na Masanja Mabula MAMLAKA ya maji  Zanzibar –ZAWA- imetakiwa kuongeza vituo vya kulipia huduma ya maji ili kuodosha usumbufu wanaoupata wananchi kuifuata huduma hiyo katika ofisi za ZAWA Taifu Wete.  Baadhi ya wanaharakati wa  maendeleo kutoka baadhi ya shehia ya wilaya ya wete , wamesema kuwa uwepo na kituo kimoja …

Read More »