Monday , February 18 2019

Home / 2018 / October / 27

Daily Archives: October 27, 2018

LIVERPOOL YAICHAKAZA 4-1 CARDIFF,MANE APIGA MABAO MBILI

5477548-6323757-image-a-111_1540655331585

Sadio Mane akipongezwa na Xherdan Shaqiri baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 66 na 87 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Cardiff kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 10 na Shaqiri dakika ya 84, wakati …

Read More »

MARAIS KENYATTA,AKUFO-ADDO WATOA SOMO KWA VIJANA AFRIKA

1

Mwasisi wa jukwaa hilo, Tony Elumelu (kushoto), akiwa na Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo, kwenye jukwaa la TEF wakichambua kuhusu hali uchumi na umuhimu wa vijana Afrika kuwa wabunifu jijini Lagos, Nigeria Mwasisi wa jukwaa hilo, Tony Elumelu (kushoto), akiwa na Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo, wakiwa na kijana mshiriki …

Read More »

TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI-MAJALIWA

PMO_2227

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Bodi Mpya ya Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwenye Makazi ya Waziri Mkuu jijini Dsr es salaam Oktoba 27, 2018.  Kushoto kwake ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Profesa Faustin Kamuzora na kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Salum …

Read More »

Mhini aenda Ukujiunga St Felix Uingereza, aahidi kuleta medali ya kwanza ya kuogelea Tanzania

1

Muogeleaji, Dennis Mhini (wa nne kutoka kulia) akiwa na wazazi wake na ndugu na jamaa kabla ya kuondoka kwenda nchini Uingereza kuanza mafunzo ya mchezo wa kuogelea na kusoma katika shule ya St Felix. ……………………………………………………………………. Na Mwandishi wetu Dar es Salaam.  Mugogeleaji wa Tanzania kutoka klabu ya  Morogoro, (Mis Piranha) …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA WILAYANI KISARAWE

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe ,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  TAMISEMI Mhe. Selemeni Jafo mara baada ya kukagua ujenzi wa mradi wa tenki la maji litakalokuwa na uwezo wa kubeba lita milioni 6 katika …

Read More »

KATIBU MKUU MEJA JENERALI KINGU AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MUUNDO MPYA WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, JIJINI DODOMA LEO

PIX 5

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (kushoto), akizungumza na Wakuu wa Idara na Taasisi pamoja na maafisa mbalimbali wa Wizara hiyo, katika kikao cha kupitia taarifa ya utekelezaji wa muundo mpya wa Wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma leo.  Kushoto kwa Katibu Mkuu, …

Read More »

ARUSHA UNITED YAJIGAMBA KUWAPIGA VIBONDE WA KUNDI GREEN WARRIORS

image1

 Wachezaji wa Arusha United ‘wanautalii’ wakiwa katika mazoezi katika Uwanja wa Maj . Gen. Isamhuyo Mbweni Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wao wa leo jioni dhidi ya Green Warriors FC Kocha mkuu wa Arusha United ‘WanaUtalii’ Fred Felix Minziro akitoa maelekezo kwa wachezaji wa Arusha United. Na. Vero Ignatus …

Read More »

WATANZANIA TUENDELEZE UTAMADUNI WETU-MAJALIWA

PMO_2093

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwadhama  Polycarp Kardinali Pengo wakati alipowasili kwenye kijiji cha Makumbusho jijini Dar es salam kushiriki katika  Tamasha la Utamaduni wa Mtanzania kwa Jamii ya Watu wa Mkoa wa Lindi, Oktoba 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na …

Read More »