Monday , December 10 2018

Home / 2018 / October / 28

Daily Archives: October 28, 2018

DKT KALEMANI AWATAKA WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA YA UMEME

IMG-20181028-WA0019

Waziri wa Nishati dk.Medard Kalemani akizindua umeme wa Rea katika kijiji cha Kikumbaitale wilayani chato kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Chato Msafiri Simion Waziri wa Nishati Dkt .Medard Kalemani katika akipiga ngoma mara baada ya kuzindua umeme wa Rea Moja ya nyumba zilizowekewa umeme wakati wa uzinduzi huo Waziri …

Read More »

‘KMKM 10 KM RACE’ YASIMAMISHA SHUGHULI ZANZIBAR

????????????????????????????????????

Naibu Mkuu wa KMKM Capteni Khamis Simba Khamis akitoka nje ya Makao Makuu ya KMKM kuelekea eneo la kuanza mbio hizo za KMKM 10 Km Race.   Washiriki wa mbio  za KMKM 10 Km. Race wakianza kukimbiza kupitia mitaa mbali mbali ya Mji wa Zanzibar baada ya kuanzishwa na Naibu Mkuu …

Read More »

SAMIA AKATAA KUZINDUA STENDI KUU MPYA YA MAILMOJA KIBAHA

6

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uzalishaji Mhandisi Farid M. Abdallah wakati akikagua shughuli za ujanzi wa Reli ya Kisasa “Standard Gauge” katika kijiji cha Soga wilyani Kibaha mkoani Pwani. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Read More »

MWAKILISHI MTEULE WA JANG’OMBE AKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI

IMG_6710

AFISA wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Wilaya ya Mjini Mwanapili Khamis Mohamed (kulia) akimkabidhi  Cheti cha udhibitisho wa Ushindi wa nafasi ya Uwakilishi   Mwakilishi mteule wa Jimbo la Jang’ombe Ramadhan Hamza Chande (kushoto) , aliyekuwa Wakala wa Mgombea wa CCM katika Uchaguzi huo Rajab Uweje Yakoub (wa pili kushoto). …

Read More »

MAMA SAMIA SULUHU AIPONGEZA CHALINZE KWA MIRADI YA AFYA

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu akimpongeza mbunge wa jimbo la chalinze Ridhiwani Kikwete kwa utendaji bora wa Afya katika jimbo hilo.

……………………………. Na Shushu Joel,Chalinze. MAKAMU wa Rais Mama Samia Hasan Suluhu ameipongeza halmashauri ya wilaya ya chalinze iliyoko wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani  kwa utekelezaji wake wa miradi bora ya Afya yenye lengo la kumaliza changamoto za hupataji wa huduma za kiafya kwa wakazi wa maeneo hayo. Akizungumza na wananchi …

Read More »