Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / October / 29

Daily Archives: October 29, 2018

DKT. NDUGULILE ALIA NA MIMBA ZA UTOTONI MANYONI.

images

Na Mwandishi Wetu Manyoni Singida Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amesikitishwa na uwepo wa watoto wengi katika wodi za kujifungulia katika Hospitali ya Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida. Dkt. Ndugulile ameyasema hayo leo Wilayani Manyoni Mkoani Singida wakati akifanya majumuisho …

Read More »

Rukwa wajipanga kutumia Mkaa mbadala kuokoa mazingira.

IMG_4537

Bi. Halima Mpita (Kulia) akitoa ufafanuzi juu ya matumizi ya mkaa wa makaa ya mawe kwa wadau mabalimbali waliohudhuria katika semina hiyo.     Mkaa wa mawe unavyowaka. ………………………………………………………………….. Mkoa wa Rukwa umejipanga kupambana na uharibifu wa mazingira kwa kuhakikisha wanatumia rasilimali za makaa ya mawe yanayopatikana katika kijiji cha Nkomolo …

Read More »

WAZEE SUKAMAHELA WALALAMIKIA AINA MOJA YA CHAKULA

IMG_20181029_162003

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na Wazee na Wasiojiweza waishio katika Makao ya Wazee ya Sukamahela yaliyopo Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida. Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW. …………………………………………………………………………………….. Na Mwandishi Wetu Manyoni Singida Wazee na wasiojiweza waishio katika …

Read More »

HAJI MANARA ATEULIWA KUWA BALOZI WA ASAS DIARIES LIMITED

1

Meneja Masoko wa Kampuni ya ASAS DIARIES LIMITED Bw. Jimmy Kiwelu akimkabidhi tuzo maalum ya Ubalozi wa Badhaa za kampuni hiyo Bw. Haji Manara katika mkutamno uliofanyika leo kwenye mgahawa wa Food Point Namanga jijini Dar es salaam ambapo atakuwa balozi wa kipindi cha miaka miwili. Meneja Masoko wa Kampuni …

Read More »

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS KATIKA KIWANDA CHA KNAUF MKURANGA- PWANI

PHOTO KNAF 1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Sululu Hassan akipata taarifa ya maendeleo ya uwekezaji wa kampuni ya KNAUF nchini kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Tanzania, Bw. Zachopolous Georgions.  Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios …

Read More »

Mwakilishi wa UN WOMEN Awasilisha Hati za Utambulisho

1c

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou. Baada ya kupokea Hati hizo Dkt. Mahiga alitumia fursa hiyo kumkaribisha nchini na kumuhakikishia kumpatia Ushirikiano wa …

Read More »

MGANGA MKUU SINGIDA APEWA WIKI MBILI KUBORESHA AFYA MAKAZI YA WAZEE

IMG_20181029_085456

Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo yaJamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiongea na  Wazee waishio Makao ya Wazee Sukumahela  Wilayani Manyoni wakati wa ziara take inayoendelea Mkoani Singida. Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo yaJamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akikagua Jiko  kinapoandaliwa chakula cha Wazee waishio Makao ya Wazee Sukumahela  …

Read More »

DMDP YALETA MABADILIKO JIJI LA DAR ES SALAAM

2

Msimamizi Kiongozi  wa DMDP toka Benki ya Dunia Erick Dickson (aliyesimama) akitoa neno la utangulizi wakati wa ufunguzi wa kikao cha mapitio ya utekelezaji wa mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (Dmdp) kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Lapf Jijini Dar es salaam. …………………….. Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI. Wakati utekelezaji …

Read More »

MWAKYEMBE AAGIZA WAMILIKI NA WAHARIRI WA TANZANITE KUJIELEZA

index

Na mwandishi wetu, Dodoma. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb), amesema habari iliyochapishwa na gazeti la kila siku la Tanzanite la leo Jumatatu tarehe 29 Oktoba, 2018 lenye habari zenye tuhuma za kisiasa dhidi ya Viongozi kadhaa, haziakisi msimamo wa Serikali na ameagiza mmiliki …

Read More »

RC MJINI MAGHARIB MAHMOUD AWAKABIDHI ZAWADI WANAFUNZI WALIOPASI MICHIPUO SKULI YA FUONI KATIKA SHEREHE YA KUWAAGA WANAFUNZI WA MSINGI

1

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib Ayoub Mohamed Mahmoud akiwakabidhi zawadi ya mashine ya kufulia, feni na Jiko Walimu wastaafu wa skuli ya Fuoni msingi, Asha Khamis na Hemedi  katika Sherehe ya kuwaaga wanafunzi waliomaliza Darasa la sita  zilizofanyika Skulini kwao Baadhi ya Walimu wa Skuli ya Fuoni msing wakionyesha …

Read More »

TADB,YARA KUENDELEA KUCHAGIZA TIJA KATIKA UZALISHAJI WA KILIMO

IMG_0408

. Meneja Mkuu wa YARA Tanzania, Bw. William Ngeno (kushoto) akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Japhet Justine (kulia) wakati walipokutana kuzungumzia mikakati ya kuongeza uzalishaji wa mazao ya kilimo nchini. Wengine pichani ni maofisa kutoka TADB na YARA Tanzania. Meneja wa Utafiti wa Udongo wa YARA Tanzania, …

Read More »

PROF. KABUDI AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA PAMOJA WA 16 WA MAWAZIRI WA BIASHARA WA NCHI ZA AFRIKA, KARIBEANI, NA PASIFIKI NA UMOJA WA ULAYA

IMG-20181028-WA0028

Waziri wa Katiba na Sheria Prof.Palamagamba Kabudi  ameongoza ujumbe wa Tanzania ulioshiriki mkutano  wa pamoja wa 16 wa Mawaziri wa Biashara wa nchi za Afrika, Karibeani na Pasifiki (ACP) na Umoja wa Ulaya (EU) uliofanyika jijini Brussels nchini Ubelgiji Oktoba 26, 2018. Mbali na Mkutano huo, Mheshimiwa Profesa Kabudi alishiriki …

Read More »

KIKAO CHA TANO CHA MAZUNGUMZO YA BURUNDI CHAMALIZA LEO

download

 baadhi ya viongozi wa vyama vya kisiasa wakiimba wimbo wataifa la burundi baada kushiriki mazungumzo yao ya kusaka amani ya taifa hilo jana ……………………… Na Ahmed Mahmoud Arumeru Mazungumzo ya kusaka amani ya Burundi chini ya Msuluhishi wa mazungumzo hayo Rais Mstaafu Benjamini Mkapa yamemalizika leo kwa kupokea ripoti ya …

Read More »

ITALIA YAIAHIDI AFRIKA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI

logo

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   Italia yaiahidi Afrika Ushirikiano wa kiuchumi   Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Italia na Afrika wameazimia kukuza na kuimarisha Ushirikiano katika nyanja mbalimbali, hususan biashara na uwekezaji kwa ajili ya maendeleo ya kweli barani Afrika.   Mawaziri hao walifikia azimio hilo wakati …

Read More »

DC KITUNDU:WAZAZI PELEKENI WANAFUNZI VETA

IMGL1140

Na John Walter-Babati Mkuu wa wilaya ya Babati Mheshimiwa Elizabeth Kitundu amewataka wazazi na walezi kuhakikisha watoto wote waliofaulu darasa la saba wanaendelea na elimu ya Sekondari huku kidato cha nne ambao hawatafanikiwa kuendelea kidato cha tano wakiendelea kupata mafunzo katika vyuo vya Ufundi stadi [VETA]. Mkuu wilaya ametoa wito …

Read More »