Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / October / 30

Daily Archives: October 30, 2018

KUNAMBI AUNDA TUME KUBAINI MAFISADI WA SOKO

MKURUGENZI DODOMA

Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Godwin Kunambi ameunda kamati ya watu kumi kwa ajili ya kumsaidia kutatua malalamiko yaliyopo kati ya wafanyabiashara dhidi ya viongozi wa soko la sabasaba jijini hapa. Kuundwa kwa kamati hiyo kumetokana na malalamiko toka kwa wafanyabiashara kufuataia kuwepo kwa tuhuma za ufisadi dhidi ya viongozi …

Read More »

NIMERIDHISHWA NA HATUA ZA AWALI ZA UWEKEZAJI MKINGA-MAJALIWA

RG1A8025

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea eneo la mradi wa ujenzi wa viwanda 11 katika kijiji cha Mtimbwani wilayani Mkinga, ambapo amesema ameridhishwa na hatua za awali za uwekezaji huo. Katika eneo hilo vinatarajiwa kujengwa viwanda mbalimbali kikiwemo cha saruji cha Hengya, kiwanda cha vioo, kiwanda cha vifaa vya kisasa vya ujenzi, uzalishaji …

Read More »

CCM YAPATA PIGO ARUSHA BAADA YA KADA WAKE KUFARIKI DUNIA

IMG_20181029_171711

Na Ahmed Mahmoud Arusha Chama cha Mapinduzi ccm kata ya Themi,Mkoa wa Arusha kimepata pigo kufuatika kifo cha Mwenyekiti wake wa Mtaa Polisi line, Dionis Msele aliyefariki dunia oktoba 23 mwaka huu jijini Dar es salaam. Akitoa salamu kwa niaba ya chama cha mapinduzi katika misa maalumu ya kumwombea Marehemu iliyofanyika katika kanisa katoliki  la Mt. Thereza jijini Arusha,Mwenyekiti wa ccm kata hiyo,Thomasi Munisi amemweleza marehemu Msele kuwa alikuwa kiongozi mchapakazi mcha mungu  aliyewahi  kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi ndani ya chama na serikali . Katika msiba huo mzito Mamia ya wakazii mbalimbali wa eneo hilo,wanasiasa na wananchi wakiongozwa na chama cha mapinduzi walishiriki vyema Maziko ya kiongozi huyo yaliyofanyika Makabuli ya Njiro jiji hapa ,ambapo mwili huo ulisindikizwa na msafara wa magari zaidi ya 50 ,pikipiki zilizokuwa zimepambwa na wafuasi wa chama cha mapinduzi wakitanguliwa na Redbridge.

Read More »

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI TANGA KWA ZIARA YA KAZI

PMO_2482

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Tanga kuanza ziara  ya kazi mkoani humo, Oktoba 30, 2018. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim …

Read More »

Jazia kupunguza uhaba wa Dawa Rukwa

IMG_4597

Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Bw. Bernard makali (Kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Maranatha Pharmacy Ltd. Bw. Stephen Lengeni (kushoto) wakiweka saini katika mkataba wa kusambaza dawa na vifaa tiba kwa mkoa wa Rukwa. Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Bw. Bernard makali (Kulia) akimkabidhi mkataba wa kusambaza dawa …

Read More »

WATAKIWA KUTUMIA VIZURI FEDHA ZA MIFUKO YA MAENDELEO

index

Na Masanja Mabula –Pemba MWAKILISHI wa jimbo la Konde Omar Seif Abeid amewataka wawakili  wa majimbo pamoja na wabunge kuzitumia fedha za mifuko ya maendeleo kwa kutekeleza shughuli za maendeleo ya wananchi. Amesema fedha hizo ambazo zinatolewa na Serikali kupitia viongozi hao zinapaswa kutumika kama ilivyokusudiwa. Akizungumza kwenye hafla ya …

Read More »

POLISI,TRA KILIMANJARO WANASA KIWANDA FEKI CHA KUTENGENEZA POMBE KALI.

G03A6470

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi wa Polisi ,Hamisi Issah (anayeongea na Simu ) akiongozana na Meneja Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kilimanjaro ,Godfrey Kitundu walifika kwenye nyumba inayoaminika kuwa kiwanda cha kutengeneza Pombe kali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Hamisi Issah akitizama baadhi ya …

Read More »

“OPRAS Iwe nyenzo ya Mikaba ya Utendaji kazi” Nzunda

3

Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia elimu OR-TAMISEMI Ndugu Tixon Nzunda, akifungua mafunzo ya maafisa elimu kutoka Wilaya na Mkoa wa Singida juu ya mfumo wa upimaji utendaji kazi kwa njia ya wazi OPRAS jijini Dodoma katika ukumbi wa Land Mark (Picha na Atley Kuni- OR-TAMISEMI) Mwakilishi kutoka Mradi wa Kuimarisha Mifumo …

Read More »

IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA RWANDA

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda DCG Dan Munyuza, leo 30/10/2018 walipokutana katika eneo la Kirehe karibu na mpaka unaotenganisha nchi hizo mbili Tanzania na Rwanda ambapo baadae watafanya kikao cha Ujirani mwema kitakachojadili masuala mbalimbali ya …

Read More »

KAMPUNI YA KILUWA GROUP YAWATAMBULISHA WADAU WAKE WA UWEKEZAJI WA VIWANDA KWA MKUU WA MKOA WA PWANI

GY3A0185

Mkuu wa mkoa wa Pwani,Mhandisi Evarist Ndikilo akimsikiliza Mwenyekiti wa Makampuni ya Kiluwa Group Ltd,Mohamed Kiluwa alipokuwa akiwatambulisha Wadau wake wa uwekezaji kutoka nchini china,waliofika Oktoba 29,2018  kumtembelea na kujitamulisha ofisini kwake ,kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Yinengda New Material Technology,Mayi Hong akiwa ameambatana na Wenzake Wane.Kampuni hiyo …

Read More »