Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / October / 31

Daily Archives: October 31, 2018

Zaidi ya Wakulima Mia Mbili kunufaika na Elimu ya kilimo Biashara

index

Na Ahmed Mahmoud,arusha. Zaidi ya wakulima mia mbili wanatarajiwa kunufaika na elimu ya kilimo biashara na  kuondokana na kilimo cha mazoea na kuweza kuongeza pato la uchumi zaidi.  Aidha elimu hiyo tayari  imeanza kutolewa na  Chama  cha Wakulima wa Maua,Matunda na Mbogamboga(TAHA) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa kilimo Kwa …

Read More »

MIKAKATI YA KUTOKOMEZA MDUDU MBUNG’O DHIDI YA MIFUGO

picha ya FIRMI BANZI

Pichani, Mdudu mbung’o Firmi Banzi Mtaalamu wa masuala ya Nyuklia.Mdudu mbung’o Dkt. Imna malele-mtaalamu wa magonjwa ya mifugo akizungumza na wanahabari baada ya ufunguzi wa mafunzo NA: VERO IGNATUS-ARUSHA. Jumla ya nchi 10 duniani zimekutana jiji Arusha kwa lengo la kujifunza mbinu za kisasa na matumizi ya tecknolojia,katika kudhibiti magonjwa …

Read More »

TAKUKURU MKOANI ARUSHA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 11

IMG_20181031_173057_837

Na. Vero Ignatus, Arusha Imeelezwa kuwa Taasisi ya kupambana na Rushwa mkoa wa Arusha imepokea jumla ya malalamiko 108 kwa njia mbalimbali ikiwa ni jitihada za kupambana na rushwa mkoani hapo. Akitoa ripoti ya miezi mitatu ya kiutendaji  Naibu mkuu wa Takukuru mkoa wa  Arusha Frida Wikesi amesema taarifa hizo …

Read More »

DK. KALEMANI -TUTAHAKIKISHA TUNADHIBITI CHANGAMOTO YA KUKATIKA KWA UMEME VIWANDANI

IMG-20181031-WA0041

WAZIRI wa Nishati Dk Merdad Kalemani ,wakati alipotembelea maonyesho ya bidhaa za viwandani yanayoendelea viwanja vya sabasaba, Pichandege Kibaha Pwani, ikiwemo banda la shirika la Maendeleo ya Petroli nchini ( TPDC), na kuelekeza kutangaza vituo vinavyosambaza gesi asilia. (picha na Mwamvua Mwinyi)  ……………………… NA MWAMVUA MWINYI, PICHANDEGE  WAZIRI wa Nishati Dk …

Read More »

BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO KUHAMASISHA UZALISHAJI WA MAZIWA

IMG_0531

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Japhet Justine (kulia) akimkaribisha Meneja Mkuu wa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO), Prof. Philemon Wambura (kushoto) alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Japhet Justine akizungumza na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO), Prof. …

Read More »

RC Mnyeti Aongeza Chachu ya Ufaulu Wanafunzi Kiteto

hhh

Na John Walter- MANYARA Imeelezwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti ameongeza chachu ya ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba, baada ya kuwatumbua walimu wakuu wa shule za msingi 28. Mnyeti, emetajwa kuongeza ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba 2018, Wilayani Kiteto kutoka 59% mwaka jana …

Read More »

PRISONS YAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO NA MDHAMINI MPYA

IMG_20181031_133015

Kamishna wa Miundo Mbinu na Uzalishaji Afande Tusekile Mwaisabila (aliyevaa sare za jeshi) akipokea moja ya jezi ya kijani toka kwa Mkurugenzi wa Macron tawi la Tanzania ndugu Suleiman Karim ofisini kwa Kamishna Makao Makuu ya Magereza leo tarehe 31 Oktoba 2018 ………………………. Na Moses Sebastian, Jeshi la Magereza. Timu …

Read More »

KAMATI YA KATIBA NA SHERIA YAKUTANA NA WIZARA YA FEDHA

KATIBA 1

Naibu waziri wa Elimu,  Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Mheshimiwa Tate William Ole-Nasha  akitoa Taarifa ya Wizara ya Wizara ya Katiba na Sheria kuhusu Mkakati wa Utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka  mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria leo katika Ofisi …

Read More »

SERIKALI IMEDHAMIRIA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA-MAJALIWA

PMO_2661

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto  akiwa katika ziara ya Mkoa wa Tanga Oktoba 31, 2018. Kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na wapili kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa …

Read More »

SERIKALI YA TANZANIA YAANZA MAZUNGUMZO NA UJERUMANI YA MGAO WA MAPATO YATOKANAYO NA MJUSI MKUBWA ‘DINOSAUR’ KUPITIA WATALII

IMG_4198

Baadhi ya  mabaki ya Mjusi mkubwa mwenye urefu wa mita 13.7 kwenda juu aliyegunduliwa miaka 100 iliyopita katika eneo la Tendaguru mkoani Lindi aliyepo katika makumbusho nchini Ujerumani ambao kwa sasa Serikali ya Tanzania imeanza mazungumzo kuona jinsi gani itaanza kupata gawio lake kupitia watalii. ………………………………………………….. Serikali ya Tanzania kupitia …

Read More »

Meya Mwita ahudhuria Kongamano la Mameya Nchini Moroko

09

MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita ameondoka jijini hapa leo kuelekea nchini Moroko kuhudhuria kongamano la Mameya kutoka majiji 84 Barani Afrika. Katika kongamano hilo ambalo litafanyika Nchini humo watajadili mambo mbalimbali kuhusiana na ukuaji wa majiji sambamba na hali ya ubora wake. Kongamano hilo la …

Read More »

TPDC -YAJIPANGA KUONGEZA VITUO VYA KUJAZA GESI ASILIA KATIKA MAGARI PAMOJA NA KUFIKISHA MAJUMBANI NA VIWANDANI

IMG-20181031-WA0026

Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini ( TPDC),  Kapuulya Musomba, (wa kwanza kulia) akieleza jambo. (picha na Mwamvua Mwinyi)  Mkuu wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo alipotembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini ( TPDC),kwenye maonyesho ya bidhaa za viwandani huko Pichandege Kibaha Pwani (picha na …

Read More »