Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / November

Monthly Archives: November 2018

DIAMOND PLATNUMZ AWADATISHA MASHABIKI WAKE MJINI IRINGA USIKU HUU

01

Mwanamuziki Nasib Abdul Maarufu kama Diamond Platnumz akitumbuiza usiku huu kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa katika tamasha kubwa la Wasafi Festival, Tamasha la leo ni Mwendelezo wa matamasha yake baada ya lile lililofanyika mkoani Mtwara kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona na kuweka rekodi ya kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki …

Read More »

MUHIMBILI YASISITIZA WATAALAM KUFANYA TAFITI ZA AFYA

001

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru akizungumza katika kongamano la pili la kisayansi kuhusu wataalam wa afya kutoa huduma bora kwa mama na mtoto. Prof. Museru amefunga kongamano hilo leo ambalo lilianza jana. Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Prof. Museru kwenye kongamano hilo. Prof. Museru akimtunuku …

Read More »

JAMII YAASWA KUACHA FIKIRA POTOFU JUU YA UGONJWA WA KIFAFA

IMG_9000

Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Ndani wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa William Matuja akiwasilisha utafiti wake juu ya Ugojwa wa Kifafa katika muhadhara  wa Kiprofesa uliofanyika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS). Profesa Matuja alifanya utafiti wa Ugonjwa wa Kifafa kwa muda wa miaka …

Read More »

JAFFO WAKUU WA IDARA WAZEMBE WAONDELEWE KATIKA NAFASI ZAO

1-1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) Seleman Jaffo  akitoa maagizo leo  wakati wa mkutano wake na watumishi wa Manispaa ya Tabora Baadhi ya watumishi wa Manispaa ya Tabora na Madiwani wakisikiliza maagizo yaWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali …

Read More »

SERIKALI YAWATOA WASIWASI WAFANYABIASHARA WA UGANDA

1

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyabiashara wa mafuta wa Uganda mara baada ya kukutani nao jijini Mwanza. …………………………………………………………………………….. Serikali imewahakikishia wafanyabiashara wa mafuta kutoka uganda kuwa imejipanga kutatua  changamoto zote zilizopo kwenye usafirishaji ili kupunguza gharama za uchukuzi  kati ya …

Read More »

UNICEF identifies youth role in SDG

IMGL0031

By Our Reporter  Young citizens in Tanzania can play a significant role to enable the country realize its Vision 2025, the global Sustainable Development Goals and Agenda 2063. Speaking in Dar es Salaam on Tuesday during World Children’s Day celebrations , United Nation Children’s Fund (UNICEF) Representative Ms. Maniza Zaman …

Read More »

Takukuru Yawapandisha Watu Watatu kizimbani

index

……………………. Na Ahmed Mahmoud Arusha Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa{TAKUKURU} Mkoani Arusha ja imewapandisha kizimbani watu wawili akiwemo Mwandishi wa habari,Sulemani Wambura{47} Mkazi wa Temeke Jijini Dar es Salaam kwa kosa kujifanya wafanyakazi wa Benki ya Tanzania{BOT} na kuomba rushwa ya Shilingi milioni 30 kwa mmoja wa wamiliki …

Read More »

BABA MZAZI AWAUA WATOTO WAKE WATATU AKIWEMO WA MIEZI 10,KISA UGOMVI BAINA YAKE NA MKEWE

IMG_20181109_114654

Kamanda wa polisi wa mkoani Pwani,Wankyo Nyigesa akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na matukio mbalimbali yaliyotokea mkoani hapo .(picha na Mwamvua Mwinyi) ………………………. NA MWAMVUA MWINYI,PWANI JESHI la polisi mkoani Pwani ,limethibitisha kutokea kwa vifo vya watoto watatu akiwemo wa miezi kumi ,waliouawa kwa kunyweshwa sumu na baba yao …

Read More »

KIKAO CHA MAANDALIZI YA UJENZI WA OFISI ZA WMNN

1

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima ambaye pia ni Mwenyekiti wa kikosi kazi cha ujenzi wa ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchini akizungumza na wajumbe kutoka Jeshi la Magereza na baadhi ya wakuu wa Idara na vitengo wa wizara hiyo (hawapo …

Read More »

RATIBA YA MECHI ZA USIKU ZA LIGI KUU UWANJA WA TAIFA YARUDISHWA

index

Mechi zote za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokuwa zichezwe usiku kabla ya kurudishwa saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam zitaendelea na ratiba ya awali kama inavyoonesha kwenye ratiba. Baada ya kushauriana/kujadiliana na mmiliki wa Uwanja wa Taifa,changamoto zilizosababisha mechi hizo za saa 12 jioni na saa 1 …

Read More »

Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo

Baadhi ya washiriki Master Tanzania 201819

WASHIRIKI wa Shindano la Master Tanzania 2018/19, wanatarajiwa kutambulishwa leo Forty Forty Club, iliyopo Tabata Bima, jijini Dar es Salaam.   Akizungumza na gazeti hili jana, Mratibu wa shindano hilo, Michael Maurus, alisema kuwa utambulisho huo ni sehemu ya maandalizi ya shoo ‘bab kubwa’ ya mchujo itakayofanyika wikiendi ya pili …

Read More »

SERIKALI INAFANYA MAPITIO YA LESENI ZA UCHIMBAJI-MAJALIWA

1

  *Zitakazobainika kutofanya kazi kwa muda mrefu itazichukua    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali inafanya mapitio ya leseni zote za uchimbaji wa madini na zile ambazo zitabainika kuwa hazijafanya kazi kwa muda mrefu zitachukuliwa na kisha maeneo hayo hayo yatagawiwa kwa wachimbaji wadogo. Amesema Wizara ya madini imeimarishwa  na …

Read More »