Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / November / 01

Daily Archives: November 1, 2018

SERIKALI YATOA BILIONI 21 UJENZI MIUNDOMBINU MTWARA

WhatsApp Image 2018-11-01 at 10.54.19

Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa (mwenye shati Jeupe) akikagua ujenzi wa mfereji wa maji kutoka Skoya, Nabwaba, Shakuru hadi Mtepwezi. Mfereji wa kuondoa maji kutoka Skoya, Nabwada Shakuru hadi Mtepwezi Ujenzi wa soko la Chuno Na Evaristy Masuha – Mtwara  Serikali kupitia mradi wa uendelezaji miji Mkakati …

Read More »

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA NMB DODOMA

pic 1

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza jambo na Watendaji Waku wa Benki ya NMB Dodoma waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Waku wa Benki ya NMB Dodoma waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo. Spika …

Read More »

CCM NYAMAGANA YAWATIMUA MAKATIBU WAWILI KWA UDHALILISHAJI

DSC06810

Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana Salum Kallia akisoma tamko la kuwavua uongozi makatibu wa Siasa na Uenezi wa kata za Buhongwa na Mkolani, Hassani Bushagama na Zephelin Maiko Shibugulu, mbele ya wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu   wilayani Nyamagana jana. Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA KONGAMANO LA HALI YA UCHUMI NA SIASA NCHINI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU YA UONGOZI WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO LILILOFANYIKA KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa Mshiriki Maalum, akizungumza na Wageni mbalimbali wakiwemo Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Viongozi wa Kiserikali, Mabalozi kutoka nchi mbalimbali, pamoja na wananchi   waliohudhuria katika Kongamano la Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha …

Read More »

KONGAMANO – PROF. SHIVJI AMPONGEZA RAIS DKT.MAGUFULI KWA DHAMIRA YAKE YA KUFUFUA SEKTA YA VIWANDA NCHINI

index

Profesa Shivji amepongeza nia ya Rais Magufuli ya kutaka kufufua sekta ya viwanda, lakini ameitaka Serikali kuhakikisha inalinda malighafi za nchi ili kuweza kunufaisha Watanzania. Hayo ameyasema leo Novemba 1, 2018 katika Kongamano la Kitaaluma lililohusu uchumi ambalo limefanyikia Chuo Kikuu cha Dar Esta Salaam. Amesema kuwa Mataifa ya Magharibi …

Read More »

MADIWANI WA UYUI WAPIGA ‘STOP’ MICHEZO YA BONAZA (KAMARI)

6

NA TIGANYA VINCENT,RS TABORA HALMASHAURI ya Wilaya ya Tabora (Uyui) imepiga marufuku michezo ya kamara maarufu kama Bonaza inachezwa kwenye maeneo ya starehe kama vile Baa na Hoteli.   Hatua imechukuliwa ili kuzuia uhalifu ambao umeanza kutokea kwa baadhi ya watoto wanapokutwa wazazi wao wameweka shilingi 200 wanazipitia ili wakachezo …

Read More »

SERIKALI YAMALIZA MGOGORO WA KIWANDA CHAI MPONDE

PMO_3047

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Bumbuli ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba wakati alipowasili kwenye kiwanda cha Chai cha Mponde wilayani Lushoto akiwa  katika ziara ya Mkoa wa Tanga, Novemba 1, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) …

Read More »

EALA YAPITISHA MUSWADA WA TAKWIMU

dsc_0516

Na Ahmed Mahmoud Arusha Bunge la Afrika mashairiki (EALA)jana limepitisha Muswada wa sheria ya Takwimu ambapo muswada huo ni muhimu sana wakati jumuiya hiyo inaelekea kwenye sarafu ya pamoja. Akichangia katika bunge hilo Mbunge wa Afrika Mhandishi Mohammed Habibu Mnyaa amesema kuwa muswada huo umekuwa umerudiwa rudiwa  sana na hivyo …

Read More »

DKT. DAMAS NDUMBARO AAPISHWA BUNGE LA EALA

708A8541

Na Ahmed Mahmoud Arusha Naibu waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa Atahakikisha analinda maslahi ya Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki sanjari na kushirikiana na wenzake kutatua changamoto za jumuiya hiyo. Dkt.Ndumbaro ameyasema hayo mara baada ya kuapishwa katika bunge la …

Read More »

NAIBU WAZIRI NDUGULILE AZITAKA NGOs KUFUATA VIPAUMBELE VYA TAIFA

1

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Singida Bw. Pascas Mragili kushoto kwake wakikata utepe kufungua shughuli za kikundi cha Wasichana Wajasiliamali cha  Bonga Forum kinachoendesha shughuli zake kwa ufadhili wa Shirika lisilo la Kiserikali la SEMA  wengine …

Read More »

TIC yazitaka Taasisi zote kuvutia mazingira ya uwekezaji

th

Na Grace Semfuko-MAELEZO Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Geoffrey Mwambe amezitaka Taasisi na Mashirika ya Serikali kutathmini mifumo yao ya utendaji kazi na kuangalia maeneo muhimu ya kuyafanyia kazi ili kuharakisha juhudi za kuvutia wawekezaji Nchini. Mwambe amesema Kila Sekta na Taasisi Nchini zinayo maeneo muhimu ya kuvutia …

Read More »

MAMA WA WATOTO PACHA APATIWA MSAADA WA SH 700,000

001

Mama Ester Simoni wa watoto pacha ambao walizaliwa wakiwa wameungana sehemu ya tumboni na baadaye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuwafanyia upasuaji wa kuwatenganisha akipokea msaada wa fedha taslimu Sh. 750,000 kutoka kwa mjumbe Emmanuel  Ole Kileli wa Kikundi cha Kusaidia na Kuelimisha Jamii (MASSOD). Wajumbe wa Kikundi cha Kusaidia …

Read More »

Wawekezaji toka China kuwekeza Tanzania

th

Na Grace Semfuko-MAELEZO Tanzania imepokea wawekezaji kutoka Jimbo la Guangzhou Nchini China watakaokuja kuwekeza nchini kwenye eneo la ukanda wa uwekezaji la Kilua lililopo Kibaha Mkoani Pwani ambao watawekeza kwenye viwanda vya ngozi kwa ajili ya kutengeneza bidhaa mbalimbali. Akizungumzia ujio huo wa wawekezaji wa China Mkurugenzi Mkurugenzi wa Uhamasishaji …

Read More »

TIC -YAJIIMARISHA KUDHIBITI CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAWEKEZAJI

Q

Mkuu wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo (anaesaini)alipotembelea banda la maonyesho ya ,kituo cha uwekezaji Tanzania( TIC )katika maonyesho ya bidhaa za viwandani Pichandege ,Kibaha Pwani,(wa kulia )ni meneja wa kanda ya Mashariki wa kituo hicho,Venance Mashiba. Mkuu wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo (kushoto )akizungumza wakati alipotembelea banda …

Read More »

Mama wa Watoto Pacha Apatiwa Msaada wa Sh700,000

????????????????????????????????????

Mama Ester Simoni wa watoto pacha ambao walizaliwa wakiwa wameungana sehemu ya tumboni na baadaye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuwafanyia upasuaji wa kuwatenganisha akipokea msaada wa fedha taslimu Sh. 750,000 kutoka kwa mjumbe Emmanuel  Ole Kileli wa Kikundi cha Kusaidia na Kuelimisha Jamii (MASSOD). Wajumbe wa Kikundi cha Kusaidia …

Read More »

KAMATI ZA BUNGE ZAFANYA VIKAO JIJINI DODOMA

PIC 2

   Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuhusu hali ya migogoro ya ardhi Nchini katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Taarifa hiyo iliwasilishwa na Kamishna wa Ardhi …

Read More »