Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / November / 02

Daily Archives: November 2, 2018

MWANRI APIGIA DEBE UWEKEZAJI TABORA

IMG_0701

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bw. Aggrey Mwanri (katikati) akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Japhet Justine (kulia) kuhusu fursa za uwekezaji mkoani Tabora wakati mkuu huyo wa mkoa alipotembelea ofisi za TADB jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Bw. Januaris Maganga kutoka Shirika la Magazeti ya Serikali …

Read More »

DKT.TULIA ATOA RAI KWA MIKOA NA WILAYA NCHINI KUIGA MKOA WA PWANI KWA KASI YA UWEKEZAJI

IMG_20181031_104031

NAIBU Spika wa Bunge ,Dkt .Tulia Ackson ,alipotembelea maonyesho ya bidhaa za viwandani ,Pichandege Kibaha Mkoani Pwani Banda la kampuni inayojishughulisha na uingizaji wa dawa za kutibu maji nchini (Junaco), (wa katikati)ni ofisa uendeshaji wa kampuni hiyo ,Edwin Magere. Picha na Mwamvua Mwinyi ……………………… NA MWAMVUA MWINYI,PWANI NAIBU Spika wa …

Read More »

SERIKALI YATILIA MKAZO KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA

1

Mkurungenzi wa uwezeshaji  sekta binafsi Ofisi ya Waziri Mkuu Bedason Sheranda akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa mashauriano kati ya sekta binafsi na Serikali kuhusu mpango kazi jumuishi wa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini (CAP)  uliofanyika  jijini Dodoma alipokuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi Waziri …

Read More »

WAZIRI MKUU: TUTAHAKIKISHA WANANCHI WOTE WANAPATA MAJI

PMO_3185-768x512

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Soni wilayani  Lushoto akiwa katika ziara ya mkoa wa Tanga, Novemba 1, 2018 …………………… *Aagiza vijiji vyenye shida ya maji Bumbuli vibainishwe   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha wananchi katika vijiji vyote nchini wanapata huduma ya safi na salama …

Read More »

WALIOVAMIA MSITU WA NAMWAI WAPEWA SIKU 14

index

Na. Andrew Chimesela – Morogoro Wananchi waliovamia msitu wa Namwai  ambao upo Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro, wamepewa siku 14 za kutojihusisha na shughuli za kibinadamu katika msitu huo, kuboboa makazi yao na kuondoka, vinginevyo wataondolewa kwa nguvu kwa mujibu wa sheria ya misitu ya mwaka 2002. Agizo hilo limetolewa …

Read More »

MTANZANIA JONESIA RUKYAA KUCHEZESHA AFCON YA WANAWAKE

index

Mwamuzi wa Tanzania Jonesia Rukyaa amechaguliwa kuchezesha Fainali za Afrika za Wanawake zitakazofanyika nchini Ghana. Rukya amechaguliwa katika orodha ya Waamuzi wa katikati akiwa ni Mtanzania pekee. Jumla ya Waamuzi wa katikati 13 wamechaguliwa na Waamuzi wasaidizi 12. Fainali hizo pia zitatumika kupata timu zitakazowakilisha Afrika kwenye Fainali za Kombe …

Read More »

RAS TABORA AWATAKA WAKUU WA IDARA ZA UMMA KUEPUKA KUTENGENEZA MAKUNDI KWENYE MAENEO YAO YA KAZI

2B

 Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Singida Buhacha Kichinda(kushoto) akitoa salamu za washiriki kabla ya Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Msalika Makungu(katikati) ajafunga mkutano jana wa siku mbili uliwashirikisha Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa wanashughulikia Utawala na  Rasilimali watu , Makatibu Tawala Wilaya , Wakuu wa Idara za Utawala na  Rasilimali watu na …

Read More »

NIMEFARIJIKA NA MAENDELEO YA VIWANDA-MAJALIWA

PMO_3267

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema amefarijika na maendeleo ya ujenzi wa viwanda kwenye mkoa wa Tanga kwa sababu vitasaidia katika ukuaji wa uchumi na kuongeza ajira. Aliyasema hayo jana jioni (Alhamisi, Novemba 1, 2018) alipotembelea kiwanda cha saruji cha Rhino na kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh, vyote …

Read More »

Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Yakabidhi Msaada wa Mchele Kwa Ajili ya Kambi za Wanafunzi wa Kidato cha Nne Kujiandaa ni Mitihani Yao ya Taifa Wilaya ya Kusini Unguja

IMG_8683

Afisa Muandamizi wa Masoko Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Ndg. Mohammed Ismail Khamis,akimkabidhi msaada wa mchele kilo Elfu mbili (Tani 2) Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa kwa ajili ya Kambi ya Wanafunzi wa Skuli za Wilaya ya Kusini Unguja wanaojiandaa kwa Mitihani yao ya …

Read More »

KAMATI YA BAJETI YAKUTANA NA WIZARA YA FEDHA

PIC 2

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti Mheshimiwa George Simbachawene akielezea jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokuwa ikijadili Taarifa za Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2019/2020 na Mwongozo wa maandalizi ya Mpango wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2019/20 – 2021/22 katika kikao cha Kamati hiyo …

Read More »

MAJALIWA ATEMBELEA VIWANDA JIJINI TANGA

PMO_3290

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Soni wilayani  Lushoto akiwa katika ziara ya mkoa wa Tanga, Novemba 1, 2018 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu uzalishaji wa saruji  kutoka kwa Bw. Pradeep Punlana  (katikati) ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha saruji cha  Rhino kilichopo eneo …

Read More »

DC KIBAHA AFUNGUKA SAMIA KUKATAA KUZINDUA STENDI MPYA MAILMOJA ADAI YEYE ALISHAGUTUKA KUKATAA KUUPOKEA MRADI HUO

IMG_20181101_100738

MKUU wa wilaya ya Kibaha  ,Assumpter Mshama akizungumza na waandishi wa habari , wakati akitolea ufafanuzi masuala mawili ambayo makamu wa Rais Samia Suluhu aliyagusia kwenye ziara yake aliyoifanya wilayani humo,mwishoni mwa wiki iliyopita . Picha na Mwamvua Mwinyi ……………… NA MWAMVUA MWINYI,PWANI MKUU wa wilaya ya Kibaha  ,Assumpter Mshama, …

Read More »