Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / November / 03

Daily Archives: November 3, 2018

MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA MVINYO JIJINI DODOMA

24

   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suuhu  Hassan akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wake katika sekta ya mvinyo na zao la zabibu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Alkovintages Bw. Archard Kato wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma. …

Read More »

WIZARA, MIKOA ONDOENI VIKWAZO UJENZI WA VIWANDA-MAJALIWA

PMO 5633

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Bibi Florence Max Mambali  wakati alipotembelea banda la Kampuni ya kufuga  kuku na kuzalisha vifaranga vya kuku ya Mkuza Chicks  katika Maonesho ya Viwanda  Mkoa wa Pwani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba uliopo katika eneo la Picha ya Ndege, Kibaha, Oktoba 3, 2018. (Picha na …

Read More »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGA MAONESHO YA VIWANDA KIBAHA

PMO_3912 (1)

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa leo Novemba 3, 2018, amefunga wiki ya maonesho ya viwanda Kibaha, Mkoani POwani, yaliyokuwa yakifanyika kwenye viwanja vya CCM-Sabasaba, eneo la Picha ya Ndege. Moanesho hayo yaliyofunguliwa na Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Oktoba 29, 2018, …

Read More »

NIMERIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA SGR-MAJALIWA

PMO_3687

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la reli Tanzania  (TRC), Masanja Kadogosa kuhusu ujenzi wa Reli ya SGR wakati alipotembelea kambi ya Kampuni ya Yapi Markezi inayojenga Reli hiyo,  katika eneo la Shaurimoyo jijini Dar es salaam, Novemba 3, 3018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa …

Read More »

DKT ABBASI ASEMA SERIKALI IMEBORESHA SEKTA YA AFYA

4O3A2570-310x165

Na Grace Semfuko-MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt Hassan Abbas amesema  Serikali ya awamu ya tano ya Rais Dkt John Pombe Magufuli imeongeza kasi ya ujenzi wa  Hospitali za Wilaya na vituo vya afya nchini ambapo kwa miaka mitatu pekee jumla ya vituo hivyo 67 vimejengwa ukilinganisha na 77 vilivyojengwa …

Read More »

WAKULIMA WAKUBALI KUANZA KUUZA KOROSHO KWA BEI ISIYOPUNGUA 3000

1R6A1367

  Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb) akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye mnada wanne wa msimu wa uuzaji korosho 2018/2019 wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji na kata ya Mdimba Mkoani Mtwara jana tarehe 2 Novemba 2018. (Picha Zote Na Mathias Canal, WK) Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mnada wanne …

Read More »

BITEKO KUTATUA MGOGORO BAINA YA KIJIJI CHA NGULA NA MMILIKI WA ENEO LA UCHIMBAJI WA MADINI YA DHAHABU WA NYATI RESOURCE

DSC_6277

Mkazi wa kijiji cha Ngula, Mindi Masasi (kushoto) akimsikiliza Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko (hayupo pichani). Katikati ni Mtoto wa Mindi Masasi,  Makanika Chalo pamoja na Mwenyekiti wa kata ya Bujula (jina halikupatikana) Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko akihutubia wananchi wa kijiji cha Ngula na wachimbaji wadogo wadogo …

Read More »

KATIBU MKUU MEJA JENERALI KINGU AONGOZA KIKAO CHA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, KUJADILI HOJA ZA KAMATI ZA BUNGE ZA PAC NA NUU, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

PIX 1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kulia) akiongoza kikao cha Watendaji Wakuu wa Wizara yake, cha kujadili hoja zilizotolewa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama …

Read More »

MGANGA MFAWIDHI KITUO CHA AFYA MAGUGU ANUSIRIKA KUTUMBULIWA

1

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akifanya akitoa maelekezo kwa uongozi wa Kituo cha Afya Magugu jana alipotembelea kituo hicho kujionea namna huduma za Afya zinavyotolewa hospitalini hapo. Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW ……………… Na Mwandishi Wetu Manyara Naibu Waziri wa …

Read More »

NGARIBA WABADILI MBINU ZA UKEKETAJI

2

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile pamoja na Kaimu Katibu Tawala wa MKoa wa Mnyara  Bw. Anza-Amen Ndossa wakionesha Wajumbe wa Kamati ya Dawati la Ulinzi wa Wanawake na Watoto Mkakati wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MATAKUWA) mara baada …

Read More »

BancABC Yaja na Ofa kwa Wateja wa Akaunti za Amana

pix1

· Wateja wanaoufungua akaunti za amana kupata riba hadi asilimia 14 papo hapo.BancABC Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya Atlas Mara na ambao imeorodhesha kwenye soko la hisa la London, imepiga hatua nyingine kwenye soko baada ya kutangaza ofa kabambe kwa wateja wakati huu wa kuelekea msimu wa Krismasi na …

Read More »

NAIBU WAZIRI NDUGULILE ABAINI MADUDU KITUO CHA AFYA MAGUGU

2

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akifanya ukaguzi katika mahabara ya hospitali ya Mkoa wa Manyara jana alipotembelea hospitali hiyo kujionea namna huduma za Afya zinavyotolewa hospitalini hapo. Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile …

Read More »