Friday , March 22 2019

Home / 2018 / November / 04

Daily Archives: November 4, 2018

MKOA WA KATAVI WAJIPANGA KUKUZA KILIMO CHA KAHAWA

index

Mkuu wa Mkoa wa Katavi yupo Mkoani Kigoma akiwa ameongoza na viongozi na watalaam wa Kilimo kujifunza namna watakavyoendeleza Kilimo cha Kahawa mkoani Katavi Mheshimiwa Amosi Makalla ameendelea na ziara yake mkoani humo kwa lengo la kujifunza namna ya kuweza kukuza zao la kahawa ili wananchi wake waweze kunufaika na …

Read More »

MAN CITY YATUMA SALAMU KWA MAN UNITED,YAICHAPA 6-1 SOUTHAMPTON

5754086-6351695-image-m-146_1541349727196

  Wachezaji wa Manchester City wakimpongeza Raheem Sterling baada ya kufunga mabao mawili dakika za 45 na ushei na 67 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Wesley Hoedt aliyejifunga dakika ya sita, Sergio …

Read More »

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA MISA YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 150 YA UINJILISHAJI, AFYA NA ELIMU ILIYOFANYIKA BAGAMOYO MKOANI PWANI

12

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini mbalimbali wa Kanisa Katoliki, Maaskofu pamoja na Wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi  katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na Elimu mara baada ya Misa iliyofanyika Bagamoyo Mkoani Pwani. Rais …

Read More »

UTEUZI WA WAKURUGENZI WA WA BODI YA TAWA

DSC_7521

Kufuatia uamuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, wa kumteua Meja Jenerali (Mstaafu) Hamisi R. Semfuko kuwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania – TAWA, Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Dkt. Hamisi A. Kigwangalla (Mb.), amefanya uteuzi wa wajumbe …

Read More »

SBFIC KUWAPIGA MSASA WAJASIRIAMALI, TAASISI ZA FEDHA

3

MKURUGENZI Mkaazi wa Shirika la Savings Bank Foundation for International Cooperation Steven Noel Safe akizungumza kwenye hafla ya  kufunguliwa kwa ofisi za shirika hilo lisilo la kiserikali katika eneo la Bwiru , Ilemela jijini Mwanza.kushoto kwake ni Mtendaji Mkuu wa Benki ya Akiba ya Tubingen Ujerumani Dr. Christoph Gogler ambaye …

Read More »

SHERIA KUTUMIKA KUDHIBITI VIMELEA HATARISHI

????????????????????????????????????

Mtaalamu wa masuala ya Ulinzi na Usalama wa vimelea,  Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Jacob Lusekelo akiwasilisha mada juu ya hatua zilizochukuliwa na serikali  katika ulinzi na usaama wa vimelea hatarishi , wakati wa mkutano wa wataalam wa afya moja Jijini Dar es salaam.  Mkurugenzi …

Read More »

TDL YANG’ARA TAMASHA LA MVINYO DODOMA

MVINYO 01

Makamu wa Rais wa Tanzania,Mh.Samia Suluhu Hassan (kushoto),akimsikiliza,Meneja Masoko wa TDL,Isaria Kilewo alipotembelea banda la maonyesho la bidhaa za mvinyo za kampuni hiyo Spika Job Ndugai, akimsikiliza,Meneja Masoko wa TDL,Isaria Kilewo alipotembelea banda la maonyesho la bidhaa za mvinyo za kampuni hiyo Baadhi ya wananchi waliotembelea banda hilo wakifurahi zoezi …

Read More »

KALEMANI:ILI KUONDOA ADHA YA KUKATIKA UMEME,VITUO VYA KUPOOZA NA KUSAMBAZA UMEME VIFANYIWE UKAGUZI WA KILA SIKU ASUBUHI

IMG_20181103_170704_3

Waziri wa Nishati, Dk.Medard Kalemani, (katikati) akipita katika mitaa ya kijiji cha Nsalaga kukagua Miundombinu ya usambazaji wa huduma ya Umeme, unaotekelezwa na Shirika la Umeme,  nchini (Tanesco) ambapo ametoa siku 14,kwa wananchi hao kuunganishwa na huduma hiyo. Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani (katikati mwenye kipaza sauti) akizungumza na …

Read More »

WAZIRI LUGOLA APIGA MARUFUKU VIONGOZI KUWATISHA, KUWANYANYASA ASKARI, WATUMISHI WANAOTOA KERO ZAO KATIKA VIKAO VYAKE, AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA GEREZA MBIGIRI MKOANI MOROGORO

PIX 1

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akionyesha moja ya nyumba ya askari wa Gereza la Mbigiri, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro, ambayo inahitaji matengenezo. Lugolo alifanya ziara ya kushtukiza katika Gereza hilo la Kilimo kwa lengo la kupata kero na kuimarisha uzalishaji wa kilimo na ufugaji. …

Read More »

MHANDISI NA MGANGA MKUU WILAYA YA MBULU WAKALIA KUTI KAVU

IMG_2488

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiwa amebeba mtoto Constantine alipotembelea wodi ya watoto katika hospitali ya Dareda iliyoko Wilaya ya Babati Vijijini katika ziara yake kuangalia huduma za hospitali na vituo vya Afya Mkoani Manyara. …………………….. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo …

Read More »

JUVE YAICHAPA 3-1 CAGLIARI,RONALDO APEWA TUZO YA MABAO 400

5733868-6350035-image-a-73_1541276487397

Cristiano Ronaldo wa Juventus akionyesha jezi aliyozawadiwa kabla ya mchezo wa Serie A na Cagliari jana Uwanja wa Allianz mjini Torino jana kwa kufikisha mechi 400 za klabu kwenye tano kubwa Ulaya. Juventus ilishinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Paulo Dybala dakika ya kwanza, Filip Bradaric aliyejifunga dakika ya 38 na Juan …

Read More »