Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / November / 05

Daily Archives: November 5, 2018

POLISI BINGWA TAEKWONDO KENYA YA PILI, RPC AWAITA OFISINI

G05A5410

Mchezaji mwenye umri mdogo toka Kenya akiwa ameuangushwa chini baada ya kupigwa teke na mchezaji wa timu ya Taekwondo ya Polisi Arusha katika mchezo wa mashindano ya Nane Nane yaliyofanyika jana katika ukumbi wa Tripple A uliopo jijini hapa na Polisi kuibuka mshindi. Wachezaji wa timu ya Polisi Arusha Taekwondo …

Read More »

BancABC Yaja na Ofa kwa Wateja wa Akaunti za Amana

PIX4

Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi BancABC Joyce Malai (kushoto) kutangaza hatua ya benki hiyo kutoa ofa maalum kwa wateja wote wanaofungua akaunti za amana ambapo Watapata riba ya asilimia 14 papo na inaanza leo Novemba mosi mpaka Disemba 31 mwaka huu. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Hazina wa …

Read More »

UKARABATI KIVUKO CHA MV. CHATO WAKAMILIKA

PIC 5

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle kulia akijadiliana jambo na Meneja wa kampuni ya Kizalendo ya Songoro Marine Boatyard ya jijini Mwanza Major Songoro mara baada ya kukagua kivuko cha MV. Chato ambacho ukarabati wake umemalizika, kivuko hicho chenye uwezo wa kubeba …

Read More »

JUMLA YA 25 KUUNGANISHWA NA UMEME WA GRID

DSC_0976

Waziri wa Nishati,Dkt.Medardi Kalemani   akiwahutubiwa wananchi wa kijiji cha Ngalawale wilayani Ludewa akiwakikishia kuwashwa kwa umeme kijiji hapo. Waziri wa Nishati,Dkt.Medardi Kalemani akizima Genereta la kutumia mafuta mazito  kuzalisha umeme katika  wilaya ya Ludewa.     (Picha zote na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe,) ………………….. Christopher Philemon – Njombe …

Read More »

DAWA YA WAKEKETAJI WATOTO WACHANGA YAJA

4

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile  akiwa na Wasichana waliokolewa na vitendo vya ukatili  wa ukeketaji wanaopatiwa mafunzo ya ujasiliamali  na Kituo cha Mtandao wa Kupambana na Ukeketaji Orkesumet Simanjiro Mkoani Manyara. Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW ……………… Na Mwandishi Wetu …

Read More »

WAZEE WA KIMILA WA KIMASAI LAIGWANANI WAWEKA AZIMIO LA NAMALULU LA KUMSOMESHA MTOTO WA KIKE MPAKA PHD

2

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile pamoja na Laigwenani wa Kimasai Mzee  Maika Ngukuu (84) wakizindua Kituo cha Mtandao wa Kupambana na Ukeketaji cha Shirka la NAFGEM kilichopo Orkesumet Simanjiro mkoani Manyara. Picha na Kitengo cha MAwasiliano WAMJW ……………………. Na Mwandishi Wetu …

Read More »

DKT HASSAN ABBASI AANISHA MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU MADARAKANI (2015-2018)

5.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na waandishi wa vyombo vya habari nchini kuhusu Mafanikio ya kijamii na kiuchumi yaliyofikiwa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kipindi cha miaka mitatu madarakani (2015-2018). Mkutano huo umefanyika leo Jumatatu Novemba 5, 2018. …

Read More »

TANZIA:MARTIN DEPORES MATUNDA AFARIKI DUNIA

index

Martin Depores Matunda amefariki dunia leo asubuhi nyumbani kwake Sinza jijini Dar es salaam. Mwili wa marehemu unatarajiwa kuagwa siku ya Jumatano saa saba mchana nyumbani kwake Sinza na utasafrishwa siku hiyo kwenda Mjini Bukoba kwa ajili ya Mazishi ambayo yanatarejea Kufanyika Ijumaa ya Novemba 9 mwaka huu. Msiba upo …

Read More »

Wafugaji wa Nyuki Iringa kunufaika na kampuni ya Ruaha Farm

IMG-20181104-WA0000

KAMPUNI  ya  uchakataji  wa  asili  ya Ruaha farm  mkoani Iringa kupitia asali yake Ruaha  Honey  imeanza  kuwaokoa  kiuchumi  wafugaji wa  nyuki  mkoani Iringa kwa kutoa  mizinga na  kuwaunganisha na  soko la asali . “kampuni  ya Ruaha Farm  imekuja  kivingine  baada ya  kufunga mashine  za  kisasa  za  kuchakata  asali  yenye  ubora pasipo  kutumia vifaa vya  kienyeji kama moshi  na vingine “  Mkurugenzi  mtendaji wa kampuni ya Ruaha  Honey  Fuad Abri  alisema  kuwa  kampuni yake  imeendelea  kuunga mkono jitihada za  serikali  ya  awamu ya  tano  chini ya   Rais Dkt  John Magufuli …

Read More »

MKOA WA TANGA KUWA MWENYEJI WA MAZOEZI YA MAFUNZO YA USHIRIKIANO IMARA 2018 YA KIJESHI YA VIKOSI VYA MAJESHI YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

1

MKUU wa Mafunzo na Operesheni Jeshini(JWTZ) Meja Jenerali Alfed Fabian Kapinga kushoto akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusu kufanyika mafunzo ya Kijeshi mkoani Tanga yanayo julikiana kama “Ushirikiano Imara 2018” ambayo yatahusisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki  kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella  Mkuu wa …

Read More »

DC Jokate Atembelea Pacha Waliotenganishwa Muhimbili

001

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Jokate Mwegelo akiwa na Ester Simon baada ya kumtembelea leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako pacha walifanyiwa upasuaji wa kuwatenganisha kutokana na kuzaliwa wakiwa wameungana. DC Jokate Mwegelo akisalimiana na Ester Simon baada ya kumtembelea wodini leo.   Pichani ni watoto …

Read More »