Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / November / 06

Daily Archives: November 6, 2018

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA JIONGEZE TUWAVUSHE SALAMA

23

¬†Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Jiongeze Tuwavushe Salama” jijini Dodoma. ¬†Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionesha taarifa inavyoonyesha hali halisi ilivyo sasa katika masuala yanayohusu uzazi salama …

Read More »

DKT. JINGU AWATAKA WATUMISHI WA WIZARA KUTOFANYA KAZI KWA MAZOEA

Pix 1

Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. John Jingu akizungumza na Watumishi wa Idara Kuu hiyo katika ukumbi wa Chuo Kikuu Dodoma kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi katika kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo. ……………………….. …

Read More »

DKT. MPANGO AWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA 2019/20

1

¬† Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma, Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020. Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma, Mapedekezo ya …

Read More »

WATANZANIA KUFAIDI MATUNDA YA RELI YA KISASA MWAKANI

index

*Waziri Mkuu alidhishwa na kasi ya ujenzi *Asilimia 96 ya walioajiriwa ni Watanzania MIUNDOMBINU ni muhimu katika maendeleo ya Taifa lolote ambalo linalohitaji kusonga mbele kiuchumi, kijamii kwa sababu husaidia Serikali katika kufanikisha malengo iliyojiwekea. Miundombinu hiyo ambayo inalenga kuboresha na kuimarisha uchumi inajumuisha ujenzi wa miradi mbalimbali ya uchukuzi …

Read More »

WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WABUNGE WALIO KULA KIAPO BUNGENI LEO

PMO_3032

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Liwale, Mohamed Kuchauka baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma leo .Novemba 6/2018.¬† Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara baada ya kula kuapo Bungeni jijini Dodoma .leo .Novemba 6/2018 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa …

Read More »

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AWAAPISHA WABUNGE WALIOHAMIA CCM

1

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai akimuapisha Mh. Julius Kalanga Laizer mbunge wa jimbo la Monduli¬† leo Bungeni jijini Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai akimuapisha Mwita Mwikwabe Waitara mbunge wa jimbo la Ukonga¬† leo Bungeni jijini …

Read More »

WAZIRI MKUU AMPA SIKU SABA WAZIRI MWIJAGE KUSIMAMIA KIBALI CHA BM MOTORSWAZIRI MKUU AMPA SIKU SABA WAZIRI MWIJAGE KUSIMAMIA KIBALI CHA BM MOTORS

KIBANO

Na Scolastica Msewa, Kibaha. ………………………………………………………………………… WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amempa siku saba Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage kuhakikisha Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linatoa kibali kwa kampuni ya BM Motors cha kutengeneza na kuunganisha bodi za magari.¬† Waziri Mkuu alisema hayo wakati akifunga maonesho ya Wiki ya …

Read More »

KUMEKUCHA NAMTUMBO MARATHON, MAMIA WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA

New Picture

Wanariadha kutoka maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi wamejitokeza kwa wingi kushiriki Namtumbo Marathon inayotarajiwa kutimua vumbi wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma ambapo maelfu ya wakazi wa wilaya hiyo na vitongoji vyake wamekuwa wakizitazamia mbio hizo kuanza wakati wowote ili nao wapate fursa mbalimbali za kushiriki katika mbio hizo. …

Read More »

Barclays Bank Tanzania Launches Superfans Campaign in a Style

????????????????????????????????????

Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed (left) passes the ball to former Arsenal footballer, Robert Pires during the official launch of¬† BBT Superfans United campaign in Dar es Salaam last weekend. Designed for bank‚Äôs customers, one needs to opens a current account or swipe card frequently during the campaign …

Read More »