Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / November / 07

Daily Archives: November 7, 2018

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO

PMO_7284

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Malindi Ally Saleh, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Novemba 7, 2018. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa viti maalum Salma Kikwete, Bungeni jijini Dodoma. Novemba 7, 2018 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu …

Read More »

BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) YAAHIDI MAKUBWA PANGANI

IMG-20181107-WA0034

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Ndg. Japhet Justine akiungumza na viongozi wa wilaya ya Pangani wakati wa kikao chao cha pamoja kuhusiana ushirikiano  Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah akizungumza katika kikao hicho kulia ni Afisa Tawala wa wilaya ya Pangani Gibson George  Afisa Tawala wa wilaya ya …

Read More »

WAZIRI MKUU AWAONYA WAAGIZAJI WA TAULO ZA KIKE

PMO_7373

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wabunge na wananchi waliyohudhuria kwenye uzunduzi wa Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia, katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma Novemba 7, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu …………………. *Ni wale wazaoziuza kwa bei ya juu licha ya Serikali kuziondolea kodi *Asisitiza …

Read More »

Serikali Kuendelea Kufutia Milki Mashamba Yaliyotelekezwa

BN1d

Naibu Waziri wa Ujenzi, Josephat Kwandikwa  akijibu swali wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa 13 wa Bunge leo jijini Dodoma. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Pwani Mhe. Zaynabu Matitu (hayupo pichani) kuhusu changamoto za …

Read More »

UINGEREZA KUSAIDIA JUHUDI ZA TANZANIA KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPITIA ATCL

Photo 2 (1)

Naibu Katibu Mkuu Maliasili na Utalii, Dkt.Aloyce Nzuki akimkabidhi majarida na vipeperushi vya utalii wa Tanzania (promotional materials) mwakilishi wa Serikali ya Uingereza katika masuala ya biashara  Andrew Rosindell . Mwakilishi wa Serikali ya Uingereza katika masuala ya biashara  Andrew Rosindell  akisoma moja ya majarida ya utalii alipotembelea banda la Tanzannia katika maonesho …

Read More »

AGPAHI YASAIDIA SERIKALI MAGARI,BAISKELI

DSC06894

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela akisisitiza jambo kwenye kikao kazi cha wadau wa afya mkoani humu kilichoandaliwa na Shirika la AGPAHI kujadili mikakati ya uboreshaji afya na mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI pamoja na Lishe. Klia ni Naibu Meya wa Jiji la Mwanza Bhiku Kotecha na katikati …

Read More »

TANESCO ARUSHA YAKUSANYA BILION 9.7 KWA MWEZI

index

Na Ahmed Mahmoud Arusha Shirika la umeme mkoa wa Arusha(TANESCO) linakusanya kiasi cha billion 9.7 kwa mwezi kama bili za umeme kwa wateja wake mkoani hapa ambapo wamejipanga kuhakikisha wanaongeza wigo wa ukusanyaji mapato. Akiongea na wanahabari ofisini kwake Meneja wa shirika hilo Mhandisi Herini Mhina amesema kuwa  licha ya …

Read More »

RAMADHANI SHAURI NA AZIZI ULIZA WASA INI KUZIPIGA DESEMBA 31

IMG_0426

Mratibu wa mpambano wa masumbwi nchini Chaurembo Parasa Katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Azizi Uliza kushoto na Ramadhani Shauri baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Desemba 31 katika uwanja wa Kinesi uliopo Shekirango Picha na Super D Boxing News Mabondia Azizi Uliza kushoto wakitazamana kwa usongo mara baada ya kusaini …

Read More »

PROF.MBARAWA AZIONYA MAMLAKA ZA MAJI

IMG_1764

Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa akisisitiza umuhimu wa Watendaji  Wakuu wa Mamlaka za Maji na Wahandisi wa Maji Mikoa kuhakikisha kuwa wanatekeleza majukumu yao kwa weledi ili kutimiza  azma ya Serikali ya Awamu ya Tano kuhakikisha kuwa wanawafikisha huduma ya maji safi na salama kwa wananchi.hayo yamejiri  leo Jijini …

Read More »

WALIOFARIKI AJALI YA MSATA WATAMBULIWA MAJINA YAO -RPC WANKYO

IMG-20180928-WA0022

NA MWAMVUA MWINYI, PWANI WATU sita kati yao akiwemo mtoto mchanga jinsia ya kike ,waliofariki dunia katika ajali ,iliyotokea kijiji cha Msata, barabara kuu ya Segera /Chalinze mkoani Pwani ,wametambuliwa majina yao ili ndugu wakabidhiwe kwa ajili ya mazishi.  Akitoa taarifa za muendelezo kuhusu ajali hiyo, kamanda wa polisi mkoani …

Read More »

WODI YA UZAZI KATIKA KITUO CHA AFYA CHALINZE CHAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UFINYU WA JENGO,VITANDA NA WATUMISHI WA AFYA

FB_IMG_1541581355554

NA MWAMVUA MWINYI,CHALINZE WODI ya uzazi katika kituo  cha afya Chalinze,mkoani Pwani inakabiliwa na baadhi ya changamoto ikiwepo ufinyu wa jengo hali inayosababisha wakati mwingine akinamama wazazi kusongamana na kulazimika kulala wawili katika kitanda kimoja. Aidha kina tatizo jingine la upungufu wa vitanda  na watumishi wa afya hasa madaktari . …

Read More »

SERIKALI INAENDELEA KUIMARISHA USIKIVU WA TBC NCHI NZIMA:DKT.MWAKYEMBE

PICHA WAZIRI

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa bungeni Jijini Dodoma. …………………… Na Shamimu Nyaki –WHUSM. Katika kuimarisha usikivu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Serikali imeendela kuweka mikakati mizuri ya kuongeza usikivu wa shirika hilo hapa nchini kutegemea na upatikanaji wa fedha. Hayo yamesemwa leo …

Read More »

UNESCO YATAKA JUHUDI ZAIDI ZA WALIMU KUINUA ELIMU

FAITH

Mgeni rasmi Mkuu wa kitengo cha Elimu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Bi. Faith Shayo akizungumza na walimu pamoja na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati hafla ya utoaji tuzo na kutambua michango inayotolewa katika huduma za elimu iliyoandaliwa na ‘HIMT AWARDS’ na kufanyika …

Read More »