Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / November / 08

Daily Archives: November 8, 2018

UFUNGUZI WA ZOEZI LA MEDANI JIJINI TANGA

images

  Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuwa kesho tarehe 09 Novemba, 2018 kutakua na ufunguzi wa Zoezi la Medani Mkoani Tanga liitwalo USHIRIKIANO IMARA 2018, litakalohusisha Majeshi ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Vyombo vya Habari vinakaribishwa kwenye ufunguzi …

Read More »

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

CHINA 3 ..

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke aliyemtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.   Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika …

Read More »

CHIRWA ASAINI RASMI AZAM, AAHIDI KUIFANYIA MAKUBWA AZAM

WhatsApp Image 2018-11-08 at 06.33.12

Mshambuliaji Obrey Cholla Chirwa akikabidhiwa Jezi ya timu ya Azam fc na Kocha Mkuu wa Kikosi hicho Hans Van De Plujim mara baada ya kusaini kandarasi za kutumikia  klabu hiyo  kwa mwaka mmoja leo Jijini Dar es Salaam. ………………….   Na Agness Francis, Globu   ya Jamii. Uongozi wa klabu ya …

Read More »

OKWI ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA TPL

index

MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Emmanuel Okwi amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019.  Okwi anayecheza nafasi ya ushambuliaji, alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Yahya Zayd wa Azam na Eliud Ambokile wa Mbeya City …

Read More »

Serikali Yatoa Rai kwa Wananchi Kuendelea Kuasili Watoto

PMO_7721

Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu swali la Mbunge wa Tabora Mjini mheshimiwa Emmanuel Mwakasaka, kwa niaba ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto mheshimiwa Ummy Mwalimu leo bungeni. Waziri Kigwangala amejibu maswali ya wabunge kwa mara ya kwanza baada ya kutokuwepo bungeni …

Read More »

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI 8.11.2018

PMO_8964

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa Bunda Boniphace Mwita, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akijibu maswali ya papo kwa papo, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018. Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Khamis Kigwangala, akifurahia jambo na Mbunge wa Mlalo Lushoto Rashid Shangazi, Bungeni …

Read More »

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA UMEPUNGUA KWA ASILIMIA 3.2

1

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii  kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Ephraim Kwesigabo akitoa taarifa ya mfumuko wa bei kwa mwezi Oktoba 2018 ambao umeshuka kufikia asilimia  3.2 kutoka asilimia 3.4 kwa kipindi cha mwaka unaoiushia mwezi Septemba, 2018 . hiyo ilikuwa tarehe 8 oktoba 2018 …

Read More »

Announcement for Opportunities to Study in Ireland

th

  PRESS RELEASE Announcement for Opportunities to Study in Ireland Applications are invited from qualified Tanzanians to apply for Irish Aid Fellowship Programme for the year 2018/2019.   The call for applications is now open and the closing date for receipt of applications from Tanzania is 12pm on Friday 30th …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA UKUMBI WA MIHADHARA NA BWENI

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya Bweni jipya la Wanafunzi wa Kike litakalochukua wanafunzi 150 kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki Dkt. Ezekiel Mwakalukwa wakati wa hafla ya ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadhara na Bweni la Wanafunzi …

Read More »

VITENDO VYA HUKATILI ULETA ATHARI ZA MUDA MREFU KWA MTOTO

1

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu akiongea na wadau mbalimbali hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kikao kazi cha kujadili kitini cha mwongozo wa kutokomeza ukatili mashuleni mapema leo mjini Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Dkt. John …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MADAKTARI BINGWA WA MOYO KUTOKA NCHINI ISRAELI, WATAALAMU MBALIMBALI PAMOJA NA MADAKTARI WAWILI KUTOKA NCHINI MAREKANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

11

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wataalamu mbalimbali wa Afya wakiwemo Madaktari bingwa wa Moyo kutoka nchini Israeli, pamoja na Madaktari wawili kutoka nchini Marekani, Ikulu jijini Dar es Salaam.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa …

Read More »

SIDO NGUZO MUHIMU KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA

index

Na Ismail Ngayonga MAELEZO DAR ES SALAAM TANZANIA kama zilivyo nchi nyingine duniani inahitaji uchumi wa viwanda ili kuleta mageuzi ya haraka na kujenga msingi imara wa uchumi kwa kutumia ipasavyo rasilimali zilizopo na kukuza Pato la Taifa na kutoa nafasi nyingi na endelevu za ajira. Uamuzi wa Serikali wa …

Read More »

SERIKALI KUTAFUTA SOKO LA UHAKIKA ZAO LA KOROSHO

PMO_7373-310x165

  SERIKALI imewataka wananchi hususani wakulima wa korosho nchini kuendelea kuwa wavumilivu na watulivu wakati ikiendelea kuzungumza na wanunuzi wakubwa wa korosho kutoka maeneo mbalimbali duniani ili kupata masoko ya uhakika ya zao hilo.  Kauli hiyo imetolewa leo (Alhamisi, Novemba 8, 2018) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akijibu swali …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTHIBITISHAJI WA NYARAKA

logo

      TANGAZO KWA UMMA   TAARIFA KUHUSU UTHIBITISHAJI WA NYARAKA   Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuukumbusha Umma kwamba wale wote wanaohitaji kupata huduma ya kuthibitisha vyeti na nyaraka mbalimbali wanatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo:   (1)  Huduma hizo zinatolewa katika Ofisi za …

Read More »

MAN UNITED YAICHAPA 2-1 JUVENTUS YA RONALDO LIGI YA MABINGWA ULAYA

5902614-6364201-image-a-110_1541627366219

Juan Mata akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kusawazisha dakika ya 86 kwa shuti la mpira wa adhabu ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Juventus zikiwa zimesalia dakika 10 katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Allianz mjini Torino. Cristiano …

Read More »