Wednesday , November 14 2018

Home / MCHANGANYIKO / MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU SABA MKOANI KILIMANJARO

MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU SABA MKOANI KILIMANJARO

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Kilimanjaro tayari kwa ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo.

2

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Anna Mghwira akisoma taarifa ya Mkoa mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye ameanza ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani humo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

About Alex

Check Also

1H7A0153

Dkt. Ndumbaro Ajibu Maswali Bungeni

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

eight + twelve =