Thursday , March 21 2019

Home / MCHANGANYIKO / MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI 8.11.2018

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI 8.11.2018

PMO_7553

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa Bunda Boniphace Mwita, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.

PMO_7644

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akijibu maswali ya papo kwa papo, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.

PMO_7681

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Khamis Kigwangala, akifurahia jambo na Mbunge wa Mlalo Lushoto Rashid Shangazi, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.

PMO_7721

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Khamis Kigwangala, akijibu swali Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.

PMO_7744

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018

PMO_8907

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na baadhi ya Wabunge, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.

PMO_8956

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 8, 2018.

PMO_8959

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Azza Hilal, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 8, 2018.

PMO_8964

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Vunjo James Mbatia, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 8, 2018.

PMO_8983

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Buyungu Christopher Chizza, kwenye jengo la utawala Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About Alex

Check Also

IMG_7568

Lishe Endelevu kumaliza Tatizo la Udumavu Mkoa wa Rukwa

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule akitoa nasaha wakati wa kufungua kikao cha …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

19 + 8 =