Wednesday , November 14 2018

Home / MCHANGANYIKO / SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

pic%2Ba
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan alipotembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
pic%2Bb
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan alipotembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
pic%2Bc
 Balozi wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan akimpa Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai zawadi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
pic%2Bd
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dodoma.
PICHA NA BUNGE

About Alex

Check Also

1H7A0153

Dkt. Ndumbaro Ajibu Maswali Bungeni

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

14 − six =