Wednesday , November 14 2018

Home / MCHANGANYIKO / SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

CHINA 1

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke aliyemtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.  

CHINA 2

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

CHINA 3 ..

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang  Ke alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

CHINA 4

  1. Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang  Ke akiwa katika Picha ya pamoja na Wabunge ambao ni wajumbe wa Chama cha urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na nchi ya China alipokutana nao leo Bungeni Jijini Dodoma.

CHINA 5.... CHINA 5A

  1. Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang  Ke akizungumza na Wabunge ambao ni baadhi ya wajumbe wa Chama cha Urafiki wa Kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Nchi ya China alipokutana nao leo Bungeni Jijini Dodoma.

About Alex

Check Also

1H7A0153

Dkt. Ndumbaro Ajibu Maswali Bungeni

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

20 − 17 =