Friday , November 16 2018

Home / MCHANGANYIKO / UFUNGUZI WA ZOEZI LA MEDANI JIJINI TANGA

UFUNGUZI WA ZOEZI LA MEDANI JIJINI TANGA

images 

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuwa kesho tarehe 09 Novemba, 2018 kutakua na ufunguzi wa Zoezi la Medani Mkoani Tanga liitwalo USHIRIKIANO IMARA 2018, litakalohusisha Majeshi ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Vyombo vya Habari vinakaribishwa kwenye ufunguzi wa Zoezi hilo utakaoanza saa 03:00 asubuhi katika eneo la Mlingano, jijini Tanga.

Usafiri kwa ajili ya Waandishi wa Habari kutoka mjini Tanga kwenda Mlingano na kurudi utakuwepo. 

About Alex

Check Also

IMG-20181115-WA0010

MSHINDI WA NYUMBA ALIA KWA UCHUNGU KUFUATIA USHINDI WA BIKO

Mkurugenzi Mkuu wa Biko, Charles Mgeta wa pili kutoka kulia akimkabidhi hundi ya sh milioni …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

19 + 7 =