Tuesday , January 22 2019

Home / MCHANGANYIKO / VINARA MASUALA YA JINSIA BUNGENI WAJENGEWA UWEZO WA UCHAMBUZI WA BAJETI KIJINSIA

VINARA MASUALA YA JINSIA BUNGENI WAJENGEWA UWEZO WA UCHAMBUZI WA BAJETI KIJINSIA

V25A2010

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza  jambo wakati wa kikao kazi na Vinara wa Masuala ya Jinsia Bungeni kilichofanyika leo tarehe 8 Novemba 2018 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

V25A2018

V25A1874

Mbunge wa Jimbo la Welezo na Mjumbe wa Masuala ya kijinsia Bungeni Mhe. Saada Mkuya (kushoto)akizungumza jambo wakati wa kikao kazi na Vinara wa Masuala ya Jinsia Bungeni kilichofanyika leo tarehe 8 Novemba 2018 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni Mjumbe na Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Leah Komanya

V25A1958 V25A1982  V25A2030

Makamu Mwenyekiti wa Wabunge Vinara wa Masuala ya kijinsia Bungeni Mhe. Suzanne Lyimo akiongoza kikao kazi wa Masuala ya Jinsia Bungeni kilichofanyika leo tarehe 8 Novemba 2018 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

V25A2039

Mwezeshaji kutoka TGNP Mtandao, Dkt. Geofrey Chambua (aliesimama) akizungumza na Vinara wa Masuala ya Jinsia Bungeni ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao kilichofanyika leo tarehe 8 Novemba 2018 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson

V25A2070

About bukuku

Check Also

_MG_9933

CCM PANGANI YAMTUNUKU TUZO YA SHUKRANI RAIS DKT MAGUFULI KWA UAMUZI WAKE WA KURIDHIA KUTIA SAINI UJENZI WA BARABARA YA TANGA-,PANGANI HADI BAGAMOYO

Mwenyekiti Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Pangani Hamis Mnegero akizungumza na waandishi wa habari …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

13 − 5 =