Monday , December 10 2018

Home / MCHANGANYIKO / MAKAMU WA RAIS ZIARANI WILAYA SIHA

MAKAMU WA RAIS ZIARANI WILAYA SIHA

1-min

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Siha Dkt. Andrew Method (kulia) wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa wodi ya mama na mtoto katika hospitali ya Wilaya ya Siha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

4-min

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ufunguzi wa hospitali ya Wilaya ya Siha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

6-min

Pichani Hospitali ya Wilaya ya Siha inavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

10-min

Sehemu ya Wakazi wa Kijiji cha Matabi wilayani Siha wakiwa wamejitokeza kwenye mkutano wa hadhara ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

12-min

Sehemu ya Wakazi wa Kijiji cha Matabi wilayani Siha wakiwa wamejitokeza kwenye mkutano wa hadhara ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

13-min

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa kijiji cha Matabi wilayani Siha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

14-min 15-min

About bukuku

Check Also

UZ3b

Tutaendelea Kuunga Mkono Juhudi za Mhe. Rais Magufuli Katika Kulinda Utamaduni Wetu – Waziri Mwakyembe

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa hafla za …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

three × four =