Tuesday , March 26 2019

Home / MCHANGANYIKO / KONGAMANO LA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII TANZANIA 2018

KONGAMANO LA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII TANZANIA 2018

KONGAMANO UMMY

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu(Mb) anapenda kuutaarifu umma kuwa kuanzia tarehe 26-29/11/2018 kutakuwa Kongamano na Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wataalamu wa Maendeleo ya Jamii, kutoka Taasisi za Serikali na binafsi utakaofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Lush Garden.

Kauli Mbiu ya Mkutano kwa Mwaka 2018: “Wataalamu wa Maendeleo ya Jamii ni Chachu katika kufikia Uchumi wa Kati”.

About Alex

Check Also

AA

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

5 × three =