Saturday , March 23 2019

Home / MICHEZO / Mchezo Mpya wa Supa Tano Wazinduliwa Tanzania

Mchezo Mpya wa Supa Tano Wazinduliwa Tanzania

 • Kwa shilingi 1,000 tu mchezaji anaweza kushinda hadi 10,000,000/- kila baada ya dakika 10

Kampuni
ya The Network inayosimamia michezo ya namba nchini Tanzania leo
imezindua mchezo wa namba ujulikanao kama Supa Tano ambapo mshindi
anaweza kushinda hadi milioni 10,000,000/- kila baada ya dakika 10.

Huu
unakuwa ni mchezo pekee kwa sasa nchini Tanzania ambapo mshindi anaweza
kupata kiasi kikubwa ndani ya dakika kumi tu. Mchezo wa Supa Tano pia
unakuwa ni mchezo pekee wenye kutoa fursa nyingi zaidi za ushindi hapa
nchini.
Meneja wa Fedha wa The Network,Bwana Jacob Millinga, amesema ‘Supa
Tano ni mchezo mpya wa namba ambao wachezaji wanaweza kucheza viwango
mbalimbali kati ya shilingi 1000 mpaka 20,000. Mchezo unatoa nafasi ya
kushinda hadi mara 10,000 ya dau uliloweka, ambacho ni kiasi kikubwa
kuliko mchezo wowote Tanzania’ anasema Kupitia Supa Tano mchezaji
anapata nafasi nyingi zaidi za ushindi, kwani kila namba anayolinganisha
analipwa kuanzia namba 2, 3, 4 au namba 5 kwenye droo za kila dakika
10, na wakati huo huo kila shilingi 1000 yake inampa nafasi ya kuingia
kwenye SupaMzuka Jackpot siku za Jumapili na Jumatano.

‘Mchezaji
anacheza kupitia simu yake ya mkononi kwa kutuma shilingi 1,000 kwenda
namba ya kampuni ambayo ni 551551 ikifuatiwa na kumbukumbu namba ambazo
zitakuwa namba zake 5 za bahati kati ya 0-9, na kama ameshinda anatumiwa
kiwango cha pesa cha ushindi wake moja kwa moja kwenye namba yake ya
simu’ alifafanua balozi wa Supa 5, Yvone Cherry maarufu kama Monalisa.

Mchezo
wa Supa 5 unaendeshwa kwa uwazi na usimamizi wa serikali kupitia Bodi
ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania. Matokeo yote ya washindi na zawadi
walizoshinda yatawekwa kwenye tovuti ya: www.supatano.co.tz.

Akizungumza
wakati wa uzinduzi huo mwakilishi wa Bodi ya michezo ya Kubahatisha
Tanzania (GBT), amesema mchezo wa Supa 5 unaongeza fursa nyingine za
ushindi kwa watanzania lakini ni muhimu kwa wachezaji kucheza kwa
ustaraabu bila kutumia pesa ya matumizi muhimu kwenye mchezo huu.

 Meneja
wa Fedha wa kampuni ya The Network. Jacob Millinga akizungumza leo
mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani), wakati wa uzinduzi wa
mchezo wa namba ujulikanao kama Supa Tano ambapo mshindi
anaweza kushinda hadi milioni10,000,000/- kila baada ya dakika
10,uzinduzi huo umefanyika leo jijini Dar

‘Mchezaji anacheza kupitia simu yake ya mkononi kwa kutuma shilingi
1,000 kwenda namba ya kampuni ambayo ni 551551 ikifuatiwa na kumbukumbu
namba ambazo zitakuwa namba zake 5 za bahati kati ya 0-9, na kama
ameshinda anatumiwa kiwango cha pesa cha ushindi wake moja kwa moja
kwenye namba yake ya simu’ alifafanua balozi wa Supa 5, Yvone Cherry
maarufu kama Monalisa kwa Wanahabari leo jijini Dar.
 Balozi wa Supa 5 Adam Mchovu akitoa ufafanuzi mbele ya Waandishi wa habari namna ya kucheza mchezo huo wa namba ujulikanao kama Supa 5 kupitia simu ya mkononi,ambapo mshindi
anaweza kushinda hadi milioni10,000,000/- kila baada ya dakika 10,uzinduzi huo umefanyika leo jijini Dar
Uzinduzi
wa Mchezo wa namba ujilikanao kwa jina la Supa 5 ukiwa tayari
kuzinduliwa rasmi na wananchi kuanda kuucheza mchezo huo kwa njia ya
simu zao za Kiganjani.

About Alex

Check Also

NGEREJA 4D

MATUKIO KATIKA PICHA :UONGOZI WA BUNGE SPORTS CLUB WAITAKIA HERI TIMU YA TAIFA STARS

Mwenyekiti wa Timu ya Michezo ya Bunge (Bunge Sports Club), Mhe. William Ngereja akizungumza na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

one × 4 =