Tuesday , December 11 2018

Home / MCHANGANYIKO / Waziri Mwakyembe Akutana na Uongozi wa MISA –TAN kujadili maendeleo katika Sekta ya Habari

Waziri Mwakyembe Akutana na Uongozi wa MISA –TAN kujadili maendeleo katika Sekta ya Habari

PIX 2 PIX 1 A

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Habari ya MISA –TAN kuhusu maendeleo ya sekta ya Habari leo Jijini Dodoma.

 PIX 2

Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari ya MISA – TAN Bibi.Salome Kitomary (Kushoto) akitoa maelezo mafupi kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Katikati) wakati Taasisi hiyo ilipokutana nae leo Jijini Dodoma.Kulia ni Mkurugeni Msaidizi Idara ya Habari Bw. Rodney Thadeus.

PIX 3

Mkurugeni Msaidizi Idara ya Habari Bw. Rodney Thadeus akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Katikati) kuzungumza na  Uongozi wa Taasisi ya Habari ya MISA – TAN leo Jijini Dodoma.

PIX 4

Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari ya MISA –TAN  Wakili James Marenga akizungumza wakati wa kikao kati ya taasisi hiyo na  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia) kuhusu maendeleo ya sekta ya Habari leo Jijini Dodoma.

PIX 5

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Taasisi ya Habari ya MISA –TAN pamoja na baadhi ya viongozi wa Wizara yake.

 

About Alex

Check Also

PICHA A-min

RC MTAKA ATEKELEZA AGIZO LA RAIS, KUWAGAWIA VITAMBULISHO WAJASIRIAMALI WADOGO

  Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

eleven − four =